Sunday , 5 May 2024
Home Kitengo Biashara Chronicles of Olympus 2 Zeus, sloti yenye historia ya Ugiriki
Biashara

Chronicles of Olympus 2 Zeus, sloti yenye historia ya Ugiriki

Spread the love

 

MBELE yako ni mchezo wa kasino ya mtandaoni wa kusisimua unaofanyika kwenye Mlima Olympus wenye historia kubwa sana nchi ya Ugiriki kutokana na kubeba siri kubwa ya Miungu 12 ya Ugiriki. JISAJILI NA MERIDIANBET ufurahie kasino ya mtandaoni yenye MAOKOTO kibao.

Mlima Olympus unachukuliwa kuwa mmoja wa milima inayotamaniwa zaidi duniani si tu kwa sababu ya aina mbalimbali za biolojia na mazingira, njia za kupendeza za kupanda, na uzuri wa asili usioharibiwa bali pia kwa sababu ya uhusiano wake uliokita mizizi na historia na falsafa ya kigiriki.

Mlima Olympus ulikuwa ni nyumba ya miungu 12 katika historia ya Ugiriki ya Kale. Kulingana na hadithi zilizoandikwa kwenye vitabu vingi vya mambo ya kale, mlima huo ulitengenezwa baada ya Vita vya Titanomachy, mapambano makubwa kati ya miungu wachanga wa Olympians na Titans.

Waliposhinda vita hivyo, miungu wa Olympian waliunda nyumba yao mpya ya kifahari ambayo ni Mlima Olympus. Mlima huo ulifunikwa na mawingu ambayo yalizuia macho ya wanadamu kuona kilele chake. Cheza mchezo huu wa Kasino ya Mtandaoni a ushinde maokoto huku ukifurahia historia na maajabu ya kale. CHEZA HAPA.

Miungu 12 wa Ugiriki ambao walikaa katika mlima huo ni; Zeus na mkewe Hera, Athena, Artemis, Poseidon, Apollo, Hester, Demeter, Aphrodite, Hermes, Ares, na Hephaestus. Ambao walikuwa wanakutana kila siku katika jumba la Zeus huko Panteoni na kujadiliana mambo mbalimbali ya kiutawala.

Chronicles of Olympus 2 Zeus ni sloti na Kasino ya mtandaoni kutoka kwa, Games Global. Mchezo huu una alama pori (wilds) na vizidishio (multipliers), mizunguko ya bure ambapo kiwango cha vizidishio huongezeka kila unapocheza.

Sloti ya Chronicles of Olympus 2 Zeus ni kasino ya mtandaoni yenye nguzo tano zilizopangwa kwenye mistari minne na ina jumla ya njia 1,024 za kushinda. Ili kupata ushindi, ni lazima upate alama tatu au zaidi zinazofanana kwenye mfuatano wa ushindi.

Unasubiri nini kuanza safari ya kufurahisha kuupanda mlima Olympus wenye historia kubwa ya Ugiriki. CHEZA KASINO YA MTANDAONI.

NB: Meridianbet ukijisajili tu unapata bonasi kibao za kasino mtandaoni na pia kila mechi inatoa odds kubwa PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Biashara

Pata Mil 450 ya Non Stop Drop ukicheza Meridianbet kasino

Spread the love  JIUNGE na promosheni ya Kusisimua iitwayo NON-STOP DROP, inayotolewa...

Biashara

Exim Bank yaendeleza malipo ya kidijitali na Chef’s Pride Dodoma

Spread the love  BENKI ya Exim imeingia makubaliano na Mgahawa wa Chef’s...

Biashara

Cash Days Promo mamilioni yanakusubiri, cheza kupitia Meridianbet kasino 

Spread the love  JIANDAE kwa mshangao wa kustaajabisha Meridianbet kasino ya mtandaoni...

BiasharaHabari Mchanganyiko

NBC yazindua huduma maalum kwa wastaafu

Spread the loveBenki ya Taifa ya Biashara (NBC) imezindua huduma maalum kwa...

error: Content is protected !!