Sunday , 28 April 2024
Home Gazeti Habari za Siasa Rais Samia atua Norway, ateta na mfalme
Habari za Siasa

Rais Samia atua Norway, ateta na mfalme

Spread the love
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na Mfalme Harald V wa Norway wakati wa Wimbo wa Taifa wa Tanzania ukiimbwa katika eneo la Mnara wa Kumbukumbu wa Taifa, Oslo nchini Norway tarehe 13 Februari 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akimpa zawadi Malkia Sonja mara baada ya kuwasili katika Kasri la Kifalme, Norway wakati wa ziara yake ya Kitaifa tarehe 13 Februari, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akikagua Gwaride la Heshima kabla ya kuweka shada la maua katika Mnara wa Kumbukumbu wa Taifa, Oslo nchini Norway tarehe 13 Februari 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Bunge la Norway (Storting) Svein Harberg mara baada ya kuwasili katika Ofisi za Bunge hilo Jijini Oslo tarehe 13 Februari 2024.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Biteko aipongeza GGML kudhibiti vifo, majeruhi mahali pa kazi

Spread the loveNAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko...

Habari za Siasa

Askofu Shoo awataka ACT kupigania maslahi ya Taifa, wasikubali kuhongwa

Spread the loveALIYEKUWA Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri, Askofu...

Habari za Siasa

Biteko aagiza waajiri kudhibiti vifo mahali pa kazi

Spread the love  NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Mavunde aibana kampuni kutimiza masharti ya mkataba

Spread the loveWaziri wa Madini, Anthony Mavunde ameitaka Kampuni ya Xin Tai...

error: Content is protected !!