Saturday , 4 May 2024
Home Habari Mchanganyiko Biteko asisitiza umuhimu wa EREA sekta ya nishati
Habari Mchanganyiko

Biteko asisitiza umuhimu wa EREA sekta ya nishati

Spread the love

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amekutana na kuzungumza na Katibu Mtendaji wa Taasisi ya Udhibiti wa huduma za Nishati kwa nchi za Afrika Mashariki (EREA), Dk. Geoffrey Mabea leo tarehe 26 Februari 2024 jijini Dar es Salaam. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea).

Kikao hicho kimejadili masuala mbalimbali ya nishati kwa nchi wanachama na umuhimu wa kujenga uwezo wa Wataalam katika Sekta ya Nishati ili kuongeza tija na huduma bora kwa wananchi.

Kikao hicho kimehudhuriwa na Waziri wa Maji, Nishati na Madini wa Zanzibar, Shaib Kaduara na Wataalam kutoka EREA.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari Mchanganyiko

RPC Dodoma akabidhiwa bunduki mbili za wahalifu

Spread the love  Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa ya Kulevya...

BiasharaHabari Mchanganyiko

NBC yazindua huduma maalum kwa wastaafu

Spread the loveBenki ya Taifa ya Biashara (NBC) imezindua huduma maalum kwa...

BiasharaHabari Mchanganyiko

NMB yazindua akaunti ya Kikundi

Spread the loveBenki ya NMB imezindua akaunti ya kikundi yenye  maboresho makubwa...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Wafanyakazi waidai STAMICO mishahara ya bilioni 1

Spread the loveWALIOKUWA wafanyakazi wa mgodi wa Shirika la Madini la Taifa...

error: Content is protected !!