Friday , 3 May 2024
Home Kitengo Biashara Meridianbet yaimarisha usafi Kijitonyama
Biashara

Meridianbet yaimarisha usafi Kijitonyama

Spread the love

MABINGWA wa michezo ya kubashiri kampuni ya Meridianbet leo imefanikiwa kufika maeneo ya Kijitonyamajijini Dar-esSaslaam katika zahanati inayopatikana katikaeneo hilo na kutoa msaada wa vifaa vya usafi.

Huu umekua utaratibu wa kampuni hiyo bingwa kabisa yamichezo ya kubashiri kwani wamefika kwenye Zahanati hiyokutoa vifaa vya usafi, Ambapo wametoa ndoo za kuwekeatakataka kwajili ya kuimarisha usafi katika eneo hilo

Lengo la Meridianbet kutoa ndoo za kuwekea Takataka katikaZahanati hiyo ni kuhakikisha wanaweka mazingira safi katikaeneo hilo, Kwani kuweka mazingira safi kwenye eneo ambalowatu wanapata huduma za kiafya ni jambo muhimu sana.

Mara nyingi Zahanati ndio sehemu zinazokua na uhitaji mkubwasana wa vifaa vya usafi kwani ni rahisi magonjwa kuambukizwakatika eneo, Hii inatokana na eneo hilo kukaribisha wagonjwawenye maradhi mbalimbali hivo ikiwa ni eneo ambalo usafihauzingatiwa inaweza kugeuka kua sehemu hatari zaidi na ndiosababu ya Meridianbet kutoka kipaumbele katika sekta hiyo leo.

 

Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano na Masoko kutoka Meridianbet Nancy Ingram amezungumza kwa niaba ya taasisibaada ya kutoa vifaa hivyo vya usafi”Kwanza kabisa sisi kamatimu ya Meridianbet tumefurahi kufika hapa leo, Lakini kubwazaidi lililotuleta hapa ni kutoa msaada wa vifaa vya usafiambavyo vitasaidia kuimarisha usafi katika Zahanati hii

Suka mkeka wako kwenye michezo mikali itakayopigwawikiendi hii katika ligi mbalimbali barani ulaya, Machaguo zaidiza 1000 yapo huku lakini vile vile Turbo Cash pia ipo. Unasubirinini sasa? Ingia meridianbet na ubashiri sasa.

Mbali na mkuu wa kitengo cha Mawasiliano na Masoko kutokaMeridianbet kuzungumza lakini pia Zahanati hiyo kutokamaeneo ya Kijitonyama ilikua na muwakilishi ambaye alipatafursa ya kuzungumza “Kwanza nipende kuwashukuru kampuniya Meridianbet kwa kufika hapa kutoa msaada huu, Kwanimmeonesha moyo wa kujali kwa kiwnago kikubwa jamboambalo ningependa  makampuni mengine yaige mfano huu

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Biashara

Cash Days Promo mamilioni yanakusubiri, cheza kupitia Meridianbet kasino 

Spread the love  JIANDAE kwa mshangao wa kustaajabisha Meridianbet kasino ya mtandaoni...

BiasharaHabari Mchanganyiko

NBC yazindua huduma maalum kwa wastaafu

Spread the loveBenki ya Taifa ya Biashara (NBC) imezindua huduma maalum kwa...

BiasharaHabari Mchanganyiko

NMB yazindua akaunti ya Kikundi

Spread the loveBenki ya NMB imezindua akaunti ya kikundi yenye  maboresho makubwa...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Wafanyakazi waidai STAMICO mishahara ya bilioni 1

Spread the loveWALIOKUWA wafanyakazi wa mgodi wa Shirika la Madini la Taifa...

error: Content is protected !!