Sunday , 5 May 2024
Home Kitengo Michezo Unakosaje maokoto za Meridianbet na mechi za EUROPA?
Michezo

Unakosaje maokoto za Meridianbet na mechi za EUROPA?

Spread the love

 

EUROPA Ligi hatua ya 16 bora kuendelea leo ambapo kutakuwa na mechi kibao zenye ODDS KUBWA pale meridianbet, na hizi ni mechi za mkondo wa pili. Je nani kukupatia mkwanja leo?

AS Roma kutoka kule Italia atakuwa mwenyeji wa Feyenoord ambao kushinda mechi hii wamepewa ODDS 3.47 kwa 2.08 pale meridianbet. Mechi hiyo itapigwa katika dimba la Stadio Olimpico, Rome huku mara ya mwisho kukutana walitoa sare. Je leo hii nani kuondoka na pointi 3 na kufuzu hatua ya robo fainali?. Suka mkeka wako hapa.

Nao Galatasaray Instanbul baada ya kushinda mchezo uliopita wakiwa nyumbani, leo hii atakuwa ugenini kukiwasha dhidi ya Sparta Prague kwenye mechi ya pili ya mtoano huku ushindi akipewa mgeni kwa ODDS 2.50 kwa 2.55 Je nani kushinda mechi hii leo. Jisajili ubeti sasa.

Vile vile Meridianbet wanakukumbusha kucheza michezo ya Kasino ya Mtandaoni ambayo inatolewa ndani ya meridianbet kama vile Poker, Roullette, Aviator, Rockertman, Keno, Sloti na mingine kibao. Ingia mchezoni na ucheze sasa.

Utamu mwingine wa mechi hizi utakuwa kule kwenye hii mechi ambayo inawakutanisha  Olympique Marseille FC dhidi ya Shakhtar Donetsk kutoka kule Ukrain. Wawili hawa walipokutana mara ya mwisho walitoshana nguvu. Je leo hii nani kuondoka na alama zote na kusonga mbele?. Mechi hii imepewa ODDS 1.68 kwa4.80. Tengeneza jamvi sasa.

Mechi ya pesa pia ni hii ya Sporting Lisbon ya Ureno ambao walitoa kichapo dhidi ya Young Boys Bern kutoka kule Uswizi mechi yao za mkondo wa kwanza. Na meridianbet wamempa mwenyeji nafasi kubwa za kushinda mchezo huu tena kwa ODDS 1.32 kwa 7.84. Wewe beti yako unaiweka wapi leo?

Kule Ufaransa pia kutakuwa na mechi nyingine ya mgeni Benfica Lisbon ambao ndio vinara wa ligi ya ureno ambao wataalikwa na Toulouse FC. Mechi za kwanza Benfica walishinda. Mechi hii imepewa ODDS3.72 kwa 1.93. Unasubiri nini sasa uka jamvi lako na ujumuishe mechi hii.

Nao vijana wa Stephano Pioli AC Milan baada za kutoa kichapo cha maana mechi yao iliyopita wakiwa nyumbani, leo hii watakuwa ugenini kujihakikishia nafasi za robo fainali dhidi ya Stade Rennes ya Ufaransa. Meridianbet wamempa Milan nafasi ya kushinda kwa ODDS 2.55 kwa 2.65. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000 meridianbet bashiri sasa.

SC Freiburg watakuwa wenyeji wa RC Lens hii leo baada za kutoka sare za bila kufungana mchezo wao wa kwanza, hivyo leo hii kila timu inazitaka pointi hizi. Mwenyeji kushinda ana ODDS 2.40 kwa 2.99. Je nani ataondoka na ushindi hii leo?.  Tengeneza mkeka wako haraka na meridianbet.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Michezo

Usiishie kuangalia tu game za leo, piga na mkwanja na Meridianbet

Spread the love  LIGI mbalimbali barani ulaya zitarejea tena Jumamosi ya leo...

Michezo

Ligi mbalimbali za pesa kuendelea leo

Spread the love Ijumaa ya leo ambapo mechi mbalimbali zinaendelea Duniani Meridianbet...

Michezo

Europa na Conference kukupatia pesa ndefu leo

Spread the love  ALHAMISI ya leo tutaenda kushuhudia mitanange ya kukata na...

Habari MchanganyikoMichezo

Wanamichezo Mei Mosi wachangia wahitaji vitu vya mil. 11.5

Spread the loveWanamichezo wanaoshiriki Michezo ya Mei Mosi Taifa 2024 jijini Arusha...

error: Content is protected !!