Thursday , 9 May 2024
Home 2018

Year: 2018

Habari za Siasa

Lukuvi sasa kutembea mkoa kwa mkoa

WAZIRI wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi ameamua kutembea mkoa kwa mkoa ili kukabili migogoro ya ardhi nchini. Anaripoti Regina...

Habari za Siasa

Kesi ya Mdee hakimu awakia serikali

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeutaka upande wa mashataka kuharakisha ushahidi kwenye kesi inayomkabili Halima Mdee Mbunge wa Kawe ya ya kutumia lugha...

Habari Mchanganyiko

Sumatra kutoa leseni ya muda mfupi

MAMLAKA YA Udhibiti na Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA) imefungua dirisha la maombi ya leseni za muda mfupi kwa wamiliki wa...

Elimu

Bosi ya Mikopo yafungua dirisha la rufaa

BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) leo tarehe 21 Novemba 2018 imeanza kupokea rufaa za mikopo kwa mwaka wa...

Habari za SiasaTangulizi

Mbunge Bwege atiwa mbaroni na polisi

VIONGOZI watatu wandamizi wa Chama cha Wananchi (CUF), wamekamatwa na jeshi pa polisi, wilayani Kilwa, mkoani Lindi, kwa tuhuma “zisizojulikana.” Anaripoti Faki Sosi...

Habari za Siasa

Upelelezi wakwamisha kesi ya Wema

KESI ya kuchapisha na kusambaza video ya ngono inayomkabili msanii wa filamu nchini, Wema Sepetu katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeahirishwa hadi...

Michezo

Yanga sasa rasmi bila Manji

WANACHAMA na mashabiki wa Yanga sasa wanapaswa kujiandaa kisaikolojia kuishi maisha bila Yusuf Manji baada ya jina la mwenyekiti huyo kutokuwapo miongoni mwa...

Habari za SiasaTangulizi

Kigogo ofisi ya RC Mwanza mikononi mwa Takukuru

KIGOGO katika ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Mwanza amekamatwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kwa kosa la kuomba...

Habari za Siasa

Sherehe za Uhuru zapigwa ‘stop’

RAIS John Magufuli amepiga ‘stop’ kufanyika Sherehe za Uhuru mwaka huu. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa amesema hayo leo...

Habari MchanganyikoTangulizi

Waraka wa Maulid waibua mauaji haya

WARAKA wa Maulid (Sikukuu ya Maulid) uliotolewa na Jumuiya na Taasisi za Kiislam Tanzania umeibuka na matukio mbalimbali yaliyotokea nchini. Anaripoti Yusuph Katimba...

Habari za Siasa

“Tusiiogope sheria ya vyama vya siasa tuikabili”

NI siku ya tatu tangu Serikali kuifikisha Bungeni Muswada wa sheria ya vyama vya siasa nchini ambapo umoja wa vyama vya siasa visivyokuwa...

Habari Mchanganyiko

Mahakama yaigeukia Serikali kesi ya kina Kitilya

MAHAKAMA ya hakimu Mkazi Kisutu imeutaka upande wa Jamhuri kuharakakisha upelelezi wa kesi inayomkabili Kamishna wa zamani wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA),...

Michezo

Salah, Mane tishio tuzo BBC

BAADA ya kutoka kwa orodha ya wachezaji watakao wania tuzo za BBC ya Mchezaji wa bora wa kandanda barani Afrika mwaka 2018, nafasi...

Habari za SiasaTangulizi

Waitara: Wathubutu waone

NAIBU Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mwita Waitara amesisitiza kuwa, marufuku ya wazazi kuchangishwa michango ya wananfunzi shuleni...

Habari za Siasa

Wavuvi 16 wa Tanzania kuburuzwa mahakamani Kenya

WAVUVI takribani 16 kutoka Tanzania wamekamatwa nchini Kenya Jumapili tarehe 18 Novemba 2018, kwa madai ya kuingia nchini humo kinyume na sheria na...

Habari Mchanganyiko

Msako wamiliki wa visima vya maji waja

SERIKALI kuanza msako wa wamiliki wa visima visivyolipiwa ada ya matumizi ya maji kwa ajili ya kuwachukulia hatua za kisheria kwa kuwafikisha mahakamani....

KimataifaTangulizi

Mbunge aliyefyatua risasi bungeni apelekwa ICC

MBUNGE Alfred Yekatom maarufu kama Rambo, aliyekamatwa na vyombo vya dola baada ya kufyatua risasi bungeni nchini Afrika ya Kati (CAR) amefikishwa katika...

Habari za SiasaTangulizi

CUF Lipumba yakaza kamba

WAKATI uchaguzi wa Serikali za Mitaa ukiendelea kukaribia mwakani, Chama cha Wananchi (CUF) kambi ya Prof. Ibrahim Lipumba imeeleza kuwa, ‘atakaye ajiunge nao.’...

Habari za Siasa

Tamaa ya cheo imempeleka Mtolea CCM

HAMAHAMA ya wabunge, madiwani na wanasiasa wa upinzani ndani ya vyama vyao na kujiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM) imeelezwa kuwa inasababishwa uroho...

Habari Mchanganyiko

Majambazi saba yauawa Mwanza

WATU saba wanaodaiwa kuwa ni majambazi wameuawa na jeshi la polisi mkoani Mwanza wakati wa majibizano ya kurushiana risasi na askari polisi. Anaripoti Moses Mseti,...

Michezo

Azam FC wafunguka kuhusu Niyonzima

KLABU ya Azam FC imethibitisha kuwa mpaka sasa hawajafanya mazungumzo yoyote na Haruna Niyonzima ambaye ni mchezaji wa timu ya Simba baada ya...

Habari Mchanganyiko

Askari mwingine wa Tanzania afariki DR Congo

WALINDA amani saba wa Umoja wa Mataifa akiwemo Mtanzania mmoja na wanajeshi sita wa Malawi wamepoteza maisha katika operesheni ya pamoja iliyofanywa na...

Habari za SiasaTangulizi

Serikali haijui athari za soko la Afrika Mashariki

SERIKALI imesema inafanya tathimini ili kujua athari ilizopata Tanzania kufuatia hatua yake ya kufungua masoko yake yote kwa pamoja katika soko la pamoja...

Habari za Siasa

CAG kufanya ukaguzi maalum kwenye miradi ya maji

SERIKALI imeshauriwa kumruhusu Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad kufanya ukaguzi maalum kwenye miradi ya maji kutokana...

Habari za SiasaTangulizi

Sababu za wanawake kuota ndevu, wanaume matiti zatajwa bungeni

MBUNGE wa Viti Maalum, Zainab Mndolwa ameitaka serikali kufanya utafiti kuhusu madai ya baadhi ya wanawake kuota ndevu na wanaume kuota maziwa kutokana...

Habari za Siasa

Swali la kwanza la Mwijage baada ya kuvuliwa uwaziri

MBUNGE wa Muleba Kaskazini,Charles Mwijage kwa mara ya kwanza ameuliza swali bungeni baada ya kuvuliwa wadhifa wa uwaziri wa viwanda na biashara na...

Habari za Siasa

Mbunge Ahmed Katani akana kujiuzulu

MBUNGE wa Tandahimba (CUF), Katani Ahmed Katani, amevunja ukimya na kuutangazia ulikwengu kuwa hawezi kujiuzulu wazifa wake wa ubunge. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma...

Habari za SiasaTangulizi

Mtolea awahi kabla ya dirisha la usajili CCM kufungwa

YAMETIMIA. Mbunge wa Temeke, kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Abdallah Mtolea, hatimaye amejiuzulu nafasi hiyo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Mtolea ametangaza...

Habari za Siasa

Ndugai awashushia vijembe wapinzani bungeni

SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai leo tarehe 15 Novemba 2018 akiwa bungeni jijini Dodoma, amewatania wabunge wa...

Habari za Siasa

Kiporo cha Ndugai chapata majibu

HATIMAYE swali lililogomewa na Spika wa Bunge, Job Ndugai kuhusu changamoto za baadhi ya watumishi wa umma kutopandishwa madaraja kuanzia mwaka wa fedha...

Habari za SiasaTangulizi

Wapinzani waliohamia CCM, wapewa ‘ofa’ maalum na Serikali

BAADHI ya mawaziri wamewapongeza wabunge waliohamia CCM wakitokea vyama vya upinzani, wakisema kuwa wana uhakika na kile walichokiamua katika kuungana na timu ya...

Michezo

Ranieri kumrithi Jokanovic Fulham

MKUFUNZI wa zamani wa Leicester City, Claudio Ranieri ameteuliwa kuwa Kocha Mkuu wa klabu ya Fulham inayoshiriki Ligi Kuu ya England mara baada ya...

Habari za Siasa

Waziri ataka bunge limpe tuzo Kikwete

NAIBU Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Juma Aweso amesema kama Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lingekuwa linatoa tuzo, angeshauri litoe kwa...

Habari za Siasa

Lugola: Msitolee macho posho za polisi

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola amezitaka familia za askari kutozitamani posho za chakula, badala yake watumie mishahara ya askari...

Habari za SiasaTangulizi

CCM yatuhumiwa kuihujumu ilani yake

CHAMA cha Mapinduzi (CCM) kimetuhumiwa kuhujumu ilani yake ya uchaguzi wa mwaka 2015 na wabunge wa upinzani. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea)....

Elimu

Serikali watia msisitizo viboko mashuleni

SERIKALI imepiga marufuku walimu kuwachapa viboko wanafunzi kinyume na utaratibu. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Agizo hilo limetolewa leo tarehe 13 Novemba 2018...

Habari za Siasa

Serikali yataja sababu za kugomea mkataba wa AU hizi hapa

SERIKALI imeeleza sababu za kutoridhia na kutia saini mkataba wa Jumuiya ya Afrika (AU) kuhusu masuala ya utawala bora, demokrasia na uchaguzi, ikisema...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Tizeba aibua shangwe bungeni

MBUNGE wa Buchosha, Dk. Charles Tizeba aliyekuwa Waziri wa Kilimo ameibua shangwe bungeni kwa kushangiliwa na wabunge aliposimama kwa ajili ya kuuliza swali...

Habari za Siasa

Tundu Lissu amvaa tena Rais Magufuli

KWA mara nyingine tena Rais Magufuli ametoa kauli yenye ukakasi mkubwa kwa Uhuru wa Mahakama. Anaandika Tundu Lissu, Ubelgiji … (endelea).  Iko hivi:...

Habari za Siasa

Sababu za kutemwa Mwijage, Tizeba hizi hapa

RAIS John Magufuli ametaja sababu za kuwaondoa, aliyekuwa Waziri wa Kilimo, Charles Tizeba na Waziri wa Viwanda na Biashara, Charles Mwijage, akisema kuwa...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Magufuli awatimua wanunuzi wa Korosho, sasa kununuliwa na Serikali

RAIS John Magufuli amezikataa kampuni 13 zilizojitokeza kununua korosho ghafi na badala yake ameiagiza Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) kutoa fedha...

Habari za Siasa

Orodha majaji wala rushwa yamfikia JPM

ORODHA ya majina ya baadhi ya majaji wanaodaiwa kuhusika na vitendo vya rushwa imemfikia Rais John Magufuli. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Akizungumza...

Habari za Siasa

JKT wakabidhiwa kiwanda cha korosho Lindi

BAADA ya Serikali kukitwaa kiwanda cha kuchakata korosho kilichopo mkoani Lindi Buko, Rais John Magufuli amekikabidhi kiwanda hicho kwa Jeshi la Kujenga Taifa...

Habari za Siasa

Nape bado ang’ang’ana na korosho, ahoji 400 mil za wakulima

MBUNGE wa jimbo la Mtama, Nape Nnauye amehoji mpango mbadala wa serikali katika kufidia fedha zinazochangwa na wakulima wa korosho, kwa ajili ya...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Magufuli awaapisha Mawaziri, Manaibu wapya

JOHN Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania muda mchache uliopita amewaapisha mawaziri wawili na manaibu wanne aliowateua siku ya Jumamosi tarehe 10 Novemba, 2018...

Habari za SiasaTangulizi

Maalim Seif: Zanzibar imetumbukizwa gizani

MKATABA  uliosainiwa Tarehe 23 Oktoba mwaka 2018 wa uchimbaji mafuta visiwani Zanzibar umetabiriwa kuwa ni chanzo kingeni cha Mgogoro ndani ndani ya Muungano...

Habari za SiasaTangulizi

Korosho yaondoka na mawaziri wawili

RAIS John Magufuli amefanya mabadiliko madogo ya Baraza lake la Mawaziri ambapo Charles Mwijage na Dk. Charles Tizeba wametemwa. Anaandika Faki Sosi …...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Magufuli aweka tayari magari ya kubebea Korosho

RAIS John Magufuli ambaye ni Amiri Jeshi Mkuu, amekagua magari ya Jeshi ya Kikosi ncha Usafirishaji cha 95KJ ambayo yanaweza kutumika kubebea korosho...

Michezo

Yanga yaridhia kufanya Uchaguzi

KLABU ya Yanga kupitia kamati ya uchaguzi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) wameanza zoezi la uchukuaji fomu kwa ajili ya...

Michezo

Simba kuivaa Mbabane Swallows Klabu Bingwa Afrika

MABINGWA wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba watamenyana dhidi ya Mbabane Swallows katika hatua ya awali ya michuano ya Ligi ya Klabu Bingwa...

error: Content is protected !!