Friday , 29 September 2023
Home Kitengo Maisha Elimu Serikali watia msisitizo viboko mashuleni
Elimu

Serikali watia msisitizo viboko mashuleni

Kiboko
Spread the love

SERIKALI imepiga marufuku walimu kuwachapa viboko wanafunzi kinyume na utaratibu. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea).

Agizo hilo limetolewa leo tarehe 13 Novemba 2018 bungeni jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Elimu, William Olenasha, ambapo amesema mwenye ruhusa ya kumchapa mwanafunzi viboko ni mkuu wa shule tena kwa sababu maalum.

“Marufuku mwalimu kumchapa mwanafunzi kinyume na utaratibu, marufuku mwalimu kuonekana akitembeea na kiboko kwa lengo la kumchapa mwanafunzi ni kinyume na sheria,” amesema.

Olenasha ametoa agizo hilo wakati akijibu swali la mbunge viti maalum, Rose Tweve aliyehoji mikakati ya serikali katika kuhakikisha uwepo wa ulinzi wa mtoto dhidi ya ukatili na unyanyasaji.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

ElimuHabari Mchanganyiko

Wanafunzi Nyamkumbu wanolewa na GGML kuhusu taaluma ya madini

Spread the loveZAIDI ya Wanafunzi 50 kutoka Shule ya Sekondari ya Wasichana...

Elimu

Green Acres kuwakatia bima wanafunzi wote

Spread the loveShule ya Green Acres imejipanga kufanya mambo makubwa kwa mwaka...

Elimu

Vipaji Green Acres vyawafurahisha wazazi

Spread the love WANAFUNZI wa Shule ya Msingi Green Acres, wamewapagawisha wazazi...

ElimuHabari Mchanganyiko

Mtwara Girls waondokana na changamoto ya maji

Spread the love  WANAFUNZI wa Shule ya Sekondari ya Wasichana mkoani Mtwara...

error: Content is protected !!