Saturday , 25 March 2023
Home Gazeti Habari za Siasa Lugola: Msitolee macho posho za polisi
Habari za Siasa

Lugola: Msitolee macho posho za polisi

Kange Lugola, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi. Picha Ndogo IGP, Simon Sirro
Spread the love

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola amezitaka familia za askari kutozitamani posho za chakula, badala yake watumie mishahara ya askari hao. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea).

Lugola ametoa agizo hilo leo tarehe 14 Novemba 2018 bungeni jijini Dodoma wakati akijibu swali la Mbunge wa Kinondoni, Maulid Mtulia.

“Kweli askari wanapokwenda mafunzoni fedha zao za chakula huwafata kokote wanakokwenda, lengo la fedha kwa ajili ya lishe tunaaka jeshi lenye lishe fedha hizi lazima azitumie kama fedha za chakula.

“Natoa wito wa familia za polisi kuna wakati wanazitamani wanazikodolea macho ninaomba waziache posho hizi watumie mishahara, posho wawaachie wenyewe,” amesema Lugola.

Aidha, Lugola amesema serikali itaendelea kuhuisha posho mablimbali za askari ili ziweze kuwanufaisha.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari za Siasa

Rais Samia aagiza iundwe kamati ya pamoja ya Mawaziri mradi wa BBT

Spread the love  RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amewaagiza mawaziri kuunda kamati...

Habari za Siasa

Rais Samia apangua makatibu tawala mikoa, ateua Kamishna DCEA

Spread the loveALIYEKUWA Kamishna wa Mamlaka ya Kudhibiti Dawa za Kulevya, Gerald...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

M/kiti bodi ya wadhamini Chadema afariki dunia

Spread the loveMWENYEKITI wa Bodi ya Wadhamini ya Chama cha Demokrasia na...

Habari za Siasa

Zitto: Nikifa Ado atavaa viatu vyangu

Spread the love  KIONGOZI Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe...

error: Content is protected !!