Tuesday , 21 May 2024

Month: January 2023

Michezo

Pele kuzikwa ghorofa ya 9 auone uwanja uliompa umaarufu

  MFALME na muasisi wa soka la kisasa kutoka Brazil, mkongwe Pele aliyefariki wiki iliyopita atazikwa katika ghorofa ya 9 ya makaburi ya...

Kimataifa

Wakatoliki waanza kuuaga mwili wa Papa mstaafu Benedict

  WAUMINI wa kanisa Katoliki leo tarehe 2 Januari, 2023 wameanza kutoa heshima zao mjini Vatican kwa papa mstaafu Benedict XVI, ambaye mwili...

Kimataifa

Dubai yafuta ushuru wa pombe kuvutia watalii

DUBAI imefuta ushuru wa asilimia 30 kwenye bidhaa za pombe ili kuvutia zaidi watalii watembelee jiji hilo. Pia imepanga kuacha kutoza leseni za...

Habari Mchanganyiko

Kijiji cha Sali, Ulanga ‘vululuvululu’

  MGOGORO kati ya uongozi wa Halmashauri ya wilaya ya Ulanga, mkoani Morogoro na Serikali ya Kijiji cha Sali, umesababisha kuvurugika kwa shughuli...

Habari MchanganyikoTangulizi

TRA yavunja rekodi, makusanyo yakua kwa 12.2%

  MAMLAKA ya mapato Tanzania (TRA), imevunja rekodi ya makusanyo ya mapato Kwa mwezi baada ya kukusanya Sh. 2.77 trilioni kati ya lengo...

Habari Mchanganyiko

Spika Tulia ahimiza viongozi wa dini kuhubiri amani

  SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson ametoa wito kwa viongozi wa dini na waumini wote...

Habari MchanganyikoTangulizi

Salamu za Rais Samia kuuaga mwaka 2022 na kuukaribisha mwaka mpya 2023

Ndugu Wananchi na Watanzania wenzangu; NAWASALIMU KWA JINA LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA! Nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu Mtukufu, Mwingi wa Rehema...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia ateta na Mbowe, Kinana Ikulu Dar

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amepokea taarifa ya Maendeleo ya mazungumzo ya mchakato wa maridhiano ya kisiasa, Ikulu Jijini Dar es Salaam...

error: Content is protected !!