Saturday , 25 March 2023
Home Kitengo Maisha Elimu Makamu wa Rais mgeni rasmi Kongamano ya Jinsia
ElimuHabari Mchanganyiko

Makamu wa Rais mgeni rasmi Kongamano ya Jinsia

Lila Mandu, Afisa Habari na Mawasiliano wa DUCE
Spread the love

SAMIA Suluhu, Makamo wa Rais wa Tanzania anatarajiwa kuwa mgeni rasmi wa Kongamano ya Jinsia kwa Taasisi za Elimu ya Juu lililoandaliwa na Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Dar es Salaam (DUCE), litakalofanyika Aprili 27 na 28 mwaka huu, anaandika Hamisi Mguta.

Lila Mandu, Afisa Habari wa Elimu na Mawasiliano wa DUCE,  amewaambia waandishi wa kuwa lengo la kongamano hilo ni kujadili mambo mbalimbali yanayohusu usawa wa jinsia.

https://youtu.be/-Yr3KrDxDMY

Mandu amesema kongamano hilo litafanyika katika viwanja vya shule ya msingi DUCE iliyopo wilaya ya Temeke, jijini Dar es Salaam.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari Mchanganyiko

Watendaji Kata, Mitaa watakaoshindwa kusimamia usafi kukiona

Spread the love  WATENDAJI wa kata, mitaa na vitongoji na maofisa afya...

Habari Mchanganyiko

Mtia nia urais TLS kukata rufaa kupinga kuenguliwa

Spread the love  MTIA nia ya kugombea Urais wa Chama cha Mawakili...

Habari Mchanganyiko

NBC yazindua kampeni ya mkeka wa ushindi na ATM zake

Spread the loveBENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) imetangaza uzinduzi wa kampeni...

Habari Mchanganyiko

Uholanzi wampongeza Rais Samia kuimarisha vyombo vya habari, demokrasia

Spread the love  UBALOZI wa Uholanzi nchini Tanzania, umempongeza Rais Samia Suluhu...

error: Content is protected !!