Afya
AKINA Mama wajawazito wametakiwa kuwahi kliniki mara wanapohisi wana ujauzito na kufuata ushauri wa wataamu wa afya ili kuwakinga watoto wanaotarajia kujifungua dhidi...
By Masalu ErastoAugust 17, 2018SERIKALI ya Tanzania imesema inafanya mkakati wa kuhakikisha watanzania wote wanaougua magonjwa ya damu watibiwe ndani ya nchi kwa kujengea uwezo hospitali zote...
By Masalu ErastoAugust 13, 2018UMMY Mwalimu, Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, amewataka watanzania kuchukua tahadhari ya hali ya juu ili kujikinga na...
By Masalu ErastoAugust 10, 2018SERIKALI kupitia Wizara ya Áfya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imesema kuwa idadi ya wanawake wanaotumia huduma za Afya za Kisasa...
By Masalu ErastoAugust 10, 2018SERIKALI kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imesisitiza jamii ya Tanzania juu ya utumiaji wa maji safi na...
By Masalu ErastoAugust 7, 2018SERIKALI kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na watoto, inatarajia kufanya udahili wa wanafunzi kwa asilimia 100 kutoka wanafunzi 150...
By Masalu ErastoAugust 6, 2018SERIKALI kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imesisitiza kuwa huduma za uzazi kwa wajawazito zinatolewa bila ya malipo...
By Masalu ErastoAugust 1, 2018UPUNGUFU wa Kinga Mwilini (Ukimwi) ndio unaoonekana kuwa tishio lakini Ugonjwa wa Homa ya Ini unatajwa kuuwa Ukimwi na hata Kifua Kikuu. Anaripoti...
By Regina MkondeJuly 29, 2018WATOTO tisa wenye umri kuanzia miezi mitatu hadi 17 wamefanyiwa upasuaji wa kufungua kifua na Madaktari Bingwa wa upasuaji wa Moyo kwa watoto wa...
By Mwandishi WetuJuly 27, 2018SERIKALI inayoongozwa na Rais John Magufuli imepongezwa kwa kufanya vizuri katika utekelezaji wa kutoa na kuchukua hatua hasa katika magonjwa ya mlipuko. Anaandika Khalifa...
By Masalu ErastoJuly 26, 2018TUME ya Taifa ya Kudhibiti Ukimwi (TACAIDS) imeeleza kuwa, Virusi Vinavyosababisha Ukimwi (VVU) vinaendelea kusambaa na kwamba, wananchi wanapaswa kuwa na tahadhari. Anaripoti...
By Faki SosiJuly 24, 2018OFISI ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) imekabidhiwa msaada wa magari sita na shirika la USAID Global Health Supply...
By Danson KaijageJuly 10, 2018WAZAZI na walezi wenye watoto walemavu wa akili na viungo nchini wameiomba Serikali kuwakatia Bima ya Afya kwa ajili ya matibabu ya watoto...
By Christina HauleJuly 10, 2018SERIKALI imetoa ajira mpya za watumishi kada za afya katika Mamlaka za serikali za Mitaa (TAMISEMI) 6180 kwa mwaka wa fedha 2018/19. Anaripoti...
By Danson KaijageJuly 10, 2018TUME ya Taifa ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS) imeanza kutoa mafunzo kwa wanahabari wa vituo vya radio Jamii ili kuweza kusaidia kampeni ya...
By Danson KaijageJuly 7, 2018SERIKALI imesema kuwa imefanikiwa kukamata vifaa mbalimbali ambavyo ni dawa na vifaa tiba ambavyo havifai kwa matumizi ya binadamu, katika vituo vya tiba...
By Danson KaijageApril 10, 2018IKIWA ndani ya mwaka mpya watoto 48,000 wamezaliwa Ukanda wa Afrika Mashariki na Kusini shirika la watoto duniani Unicef limezisihi nchi za ukanda...
By Faki SosiJanuary 1, 2018MPANGO wa Damu Salama, unakabiliwa na uhaba wa vitanda kwa vinavyotumiwa na watu wanaofika hapo kwa ajili ya kuchangia damu kwa hiari, anaandika...
By Masalu ErastoDecember 19, 2017CHAMA cha wafanyanyakazi wa Serikali na Afya (TUGHE) kimepoteza zaidi ya wanachama 9,000 kufuatia hatua ya kuwaondoa watumishi wenye vyeti feki na walioajiliwa...
By Christina HauleDecember 15, 2017HOSPITALI ya Taifa Muhimbili inatarajia kuwapeleka nchini India watalaam mbalimbali katika sekta ya afya kwa ajili ya mafunzo ya ugonjwa wa Ini, anaandika Angel...
By Bupe MwakitelekoNovember 28, 2017WAZAZI na walezi kuwatunza na kiwalea watoto wa chini ya miaka mitano ikiwamo kuwapatia lishe bora, elimu na kuwalinda dhidi ya unyanyasaji, anaandika...
By Bupe MwakitelekoNovember 6, 2017UMMY Mwalimu, Waziri wa Afya na Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, amepokea mashine 100 za tiba mgando (cryotherapy), mashine tisa za...
By Bupe MwakitelekoOctober 23, 2017SHIRIKA la Afya Duniani (WHO), limeeleza matumaini yake ya kupunguza kwa kiasi kikubwa maambukizi ya kipindupindu duniani sambamba na vifo vitokanavyo na ugonjwa...
By Mwandishi WetuOctober 5, 2017IMEELEZWA kuwa mimea ya mchai chai pamoja na Mdalasini inasaidia kutibu magonjwa mbalimbali ya binadamu, anaandika Dany Tibason. Hayo yameelezwa leo bungeni na...
By Danson KaijageSeptember 6, 2017SHIRIKA la Jhpiego kupitia mradi wa Maternal and Child Survival Program (MCSP), linatarajia kupunguza vifo vya mama na mtoto nchini kutokana na idadi...
By Moses MsetiSeptember 4, 2017UKOSEFU wa Zahanati na ubovu wa miundombinu katika kata ya Mabula wilayani Kilosa mkoani Morogoro imesababisha wanawake watatu kupoteza maisha wakati wakiwahishwa kujifungua...
By Christina HauleAugust 31, 2017HOSPITALI ya Rufaa ya Bugando (BMC), inakabiliwa na uhaba wa vifaa mbalimbali vya tiba pamoja na ugunduzi vikiwamo Xray na CT Scan hatua...
By Moses MsetiAugust 26, 2017HOSPITALI ya Rufaa ya Bugando (BMC), inatarajia kujenga jengo maalum litakalowahudumia wagonjwa 800 kwa siku ambao wanatibiwa kupitia Mfuko wa Taifa wa Bima...
By Moses MsetiAugust 22, 2017NAIBU Waziri wa Afya, Maendeleo ya jamii, jinsia, wazee na watoto Dk. Hamis Kigwangala ametoa miezi mitatu kwa halmashauri ya mji wa Kahama...
By Mwandishi WetuAugust 2, 2017NI jambo la kawaida kufanya marekebisho ya kitabibu katika viungo vya mwili wa binadamu kama vile makalio, nyonga, ngozi na sura. Hata hivyo, hivi...
By Mwandishi WetuJuly 5, 2017SERIKALI imesisitiza kuwa sera ya Afya ya mwaka 2007 inaeleza kuwa huduma za kina mama wajawazito katika vituo vya ngazi zote zinatakiwa kutolewa...
By Danson KaijageMay 22, 2017MBUNGE wa Gando, Othman Omar Haji (CUF) ameihoji serikali kueleza namna Tanzania ilivyofaidika na utekelezaji wa mkataba wa ushirikiano baina yake na Serikali ya...
By Danson KaijageMay 18, 2017VIFO vya wajawazito vimeonekana kuongezeka mkoani Morogoro hadi kufikia vifo 83 mwaka 2016 dhidi ya 68 vilivyotokea mwaka 2015 kutokana na kutokuwepo na mchakato...
By Christina HauleMay 17, 2017MBUNGE wa Tunduma, Frank Mwakajoka (Chadema) amesema anasikitisha kuona serikali inakimbilia kutoa mabilioni ya fedha kununua ndege wakati hali ya afya ni mbaya...
By Danson KaijageMay 4, 2017SERIKALI imepiga marufuku halmashauri zote nchini kutumia magari ya chanjo kwa ajili ya kukusanya mapato anaandika Dany Tibason. Kauli hiyo ilitolewa na Waziri...
By Danson KaijageMay 2, 2017MKUU wa mkoa wa Morogoro Dk. Steven Kebwe amesema, matukio ya ajali za barabarani yameshika nafasi ya tatu kwa kuwa adui mkubwa wa...
By Christina HauleApril 21, 2017UHABA wa dawa katika Hospitali ya wilaya ya Nyamagana mkoani hapa, umezidi kuongezeka na kuwa kero kwa wagonjwa wanaofika kupata huduma kwenye hospitali...
By Moses MsetiApril 6, 2017SULEIMAN Jaffo, Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, amempa mwezi mmoja Mganga Mkuu wa Manispaa ya Morogoro...
By Christina HauleMarch 14, 2017BOHARI ya Dawa hapa nchini (MSD) leo imetangaza hali ya kuridhisha ya upatikanaji wa dawa na kusema hadi kufikia mwishoni mwa mwezi huu...
By Pendo OmaryJanuary 10, 2017