Friday , 29 March 2024

Afya

Afya

Afya

‘Nchi zenye sifa hizi Afrika, zipo hatarini kwa corona’

NCHI ambazo zinahifadhi wakimbizi wengi na zenye makazi duni Afrika, zinatajwa kuwa na hatari zaidi ya kuenea kwa virusi vya corona (COVID-19) katika...

Afya

Mgonjwa wa kwanza wa corona Tanzania apona

ISABELA Mwampamba (46), mgonjwa wa kwanza kupatikana na virusi vya corona (COVID-19) nchini Tanzania, amepona na yupo huru kuungana na familia yake. Anaripoti Danson...

AfyaHabari Mchanganyiko

Corona: Mbowe siku 14 karantini

FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), sasa yupo karantini. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Amechukua hatua hiyo...

AfyaHabari Mchanganyiko

China kuisaidia Tanzania kudhibiti Corona

NCHI ya China imeahidi kuisadia Tanzania katika kudhibiti mlipuko wa Ugonjwa wa Homa Kali ya Mapafu, inayosababishwa na Virusi vya Corona (COVID-19). Anaripoti...

AfyaHabari za SiasaTangulizi

Mbowe athibitisha mwanawe kupata Corona

MWENYEKITI wa Chadema, Freeman Mbowe, amekiri kuwa mmoja wa watoto wake, Dudley Mbowe, amekutwa na ugonjwa wa Corona. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma …...

Afya

Mtangazaji maarufu afa kwa corona

ZORORO Makamba (30), mtangazaji maarufu wa vipindi vya televisheni nchini Zimbabwe, amefariki dunia kwa ugonjwa wa corona (COVID-19). Inaripoti mitandao ya kimataifa…(endelea). Makamba aliyefariki...

Afya

Dar kupuliziwa dawa kuangamiza vimelea vya corona

PAUL Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, ameagiza kupuliziwa dawa ya kuua vimelea vya ugonjwa wa corona (COVID-19) katika maeneo mbalimbali...

Afya

Kanisa latoa somo kuongeza kinga ya COVID-19

KUSAMBAA kwa virusi vinavyosababisha homa kali ya mapafu (COVID-19), kumebadili mwenendo wa dunia. Anaripoti Dandons Kaijage, Dodoma…(endelea). Prof. Pastor Majembe Chidachi, Mchungaji wa Kanisa...

Afya

Elimu mpya: Je, Covid-19 vinaishi muda gani katika vitu kabla kuambukiza?

JINSI hofu ya kuambukizwa ugonjwa wa Covid-19 inavyozidi kupanda, ndivyo hofu ya kushika vitu mbalimbali ambavyo vinaweza kuwa na virusi pia inapanda. Unaripoti Mtandao...

AfyaHabari Mchanganyiko

Jeshi la Polisi laonya watoa taarifa za uongo kuhusu Corona

JESHI la Polisi nchini limeonya watu wanaosambaza taarifa zisizo sahihi, kuhusu mlipuko wa Ugonjwa wa Homa Kali ya Mapafu inayosababaishwa na Virusi vya...

AfyaHabari Mchanganyiko

‘Waliokuwa na dereva taxi Arusha, hawajaambukizwa COVID-19’

DAKTARI Janeth Mghamba, Mkurugenzi Msaidizi wa Kitengo cha Ufutiliaji wa Magonjwa ya Mlipuko katika Wizara ya Afya amesema, watu 27 waliochukuliwa ili kupimwa...

AfyaHabari Mchanganyiko

Meneja wa Diamond akutwa na Corona

SALLAM Sharif, Meneja wa Msanii, Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’ amekutwa na maambukizi ya virusi aina ya Corona baada ya kufanyiwa vipimo na kuwekwa...

AfyaHabari Mchanganyiko

Wagonjwa wa corona wafika watano

WATU waliokutwa na virusi vya ugonjwa wa corona (COVID -19), nchini Tanzania wamefika tano. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea). Kwa...

AfyaHabari MchanganyikoTangulizi

Wagonjwa wa corona waongezeka nchini, wafikia watatu

WAGONJWA wa Homa Kali ya Mapafu inayosababishwa na Virusi vya Corona (COVID-2019) nchini Tanzania wameongezeka kutoka mmoja hadi kufikia watatu. Anaripoti Regina Mkonde,...

Afya

Ukiwa imara, corona haikutesi-Waziri

DAKTARI Faustine Ndugulile, Naibu Waziri wa Afya amesema, ugonjwa wa corona (COVID-19) unatesa zaidi wenye kinga dhaifu. Anaripoti Hamis Mguta, Dar es Salaam …...

AfyaHabari Mchanganyiko

Mgonjwa wa kwanza wa Corona agundulika Tanzania

SERIKALI ya Tanzania imeripoti kuwepo mgonjwa mmoja mwenye ugonjwa wa COVID-19 unaosababishwa na Virusi vya Corona. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam …...

Afya

Corona ni mbaya kuliko Ukimwi: JPM 

RAIS John Magufuli ameagiza Watanzania kuepuka mikusanyiko ikiwa ni hatua za awali kukabiliana na kusambaa kwa virusi vya corona nchini. Anaripoti Regina Mkonde,...

AfyaHabari za Siasa

Virusi vya Corona: Tahadhari ya Rais Magufuli kwa taifa

RAIS John Magufuli amewataka Watanzania kuchukua tahadhari kutokana na kusambaa kwa virusi vya Corona. Anaripoti Faki Sosi, Dar es Salaam…(endelea). Akizungumza kwenye uzinduzi wa...

AfyaMakala & Uchambuzi

Corona inavyoitoa machozi dunia

DUNIA inatikisika, virusi vya ugonjwa wa Corona vimeendelea kusamba na kusababisha hofu kubwa sambamba na vifo. Anaandika Regina Mkonde, Dar es Salaam…(endelea). Shughuli za uzalishaji...

AfyaMakala & Uchambuzi

Tahadhari ya Corona (COVID-19) Tanzania

VIRUSI vya Corona vinaendeleo kuitesa dunia, tayai imesababisha madhara makubwa katika nchi mbalimbali duniani. Anaandika James Iyambogo, Mwanza … (endelea). Ugonjwa huo husambaa...

Afya

JPM aikumbuka hospitali ya Mwl. Nyerere, atoa Bil 15 kuimaliza

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli ametoa Sh. 15 bilioni kwa ajili ya kumalizia ujenzi wa hospitali ya...

Afya

Watanzania watahadharishwa na Corona

SERIKALI ya Tanzania imetahadharisha wananchi wake, juu ya hatari ya ugonjwa wa Covid-19 unaosababishwa na mlipuko wa Virusi  vya Corona, unaotikisa dunia hivi...

AfyaHabari Mchanganyiko

Madaktari wamwangukia Rais Magufuli

CHAMA cha Madaktari Tanzania (MAT), kimemuomba Rais John Magufuli kuongeza vibali vya ajira, ili kupunguza wimbi la madaktari wasiokuwa na ajira mitaani, pamoja...

Afya

Maambukizi malaria yapungua

MAAMBUKIZI mapya ya ugonjwa wa Malaria yamepungua nchini kwa asilimia 27 kutokana na kuboreka kwa takwimu ya ugonjwa huo ukilinganisha na kesi 164 mwaka...

Afya

‘Mkiona dalili magonjwa ya mlipuko, toeni taarifa’

WANANCHI wametakiwa kutoa taarifa pale wanapokutana na watu wenye dalili za magonjwa ya mlipuko, ikiwemo ugonjwa wa Ebola. Anaripoti Hamis Mguta, Dar es Salaam…(endelea)....

AfyaHabari Mchanganyiko

Muuguzi anayedaiwa kumbaka mjamzito asimamishwa kazi

WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amemsimamisha kazi Abednego Alfred, Muuguzi katika Kituo cha Afya cha Mamba,...

Afya

Hospitali zaagizwa kuanzisha ‘mfuko wa fedha za dawa’

SERIKALI kupitia Wizara ya Afya, imeagiza Waganga Wakuu wa Vituo vya Afya na Hospitali zote nchini, kuanzisha mfuko wa fedha za dawa. Anaripoti...

AfyaMakala & Uchambuzi

Kukoroma kunaweza kusababisha kifo

WATU wengi wanaona tatizo la kukoroma usingizini, ni jambo la kawaida, lakini linapokomaa, madhara yake ni makubwa. Anaandika Hamis Mguta…(endelea). Dk. Elisha Madebere,...

Afya

Serikali yafumua mfumo wa Vyuo vya Afya

WIZARA ya Afya na Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imefumua mfumo wa uongozi wa vyuo vya afya vidogo, ili kuboresha utoaji...

Afya

Jengeni tabia ya kupima presha ya macho – CCBRT

WATANZANIA wamewatakiwa kuwa na utaratibu wa kupima presha ya macho angalau mara moja kwa mwaka, pia kufika hospitali kupata matibabu ya macho kwa...

Afya

Saratani ya matiti kuwa tishio kuu- Dk. Kahesa

ENDAPO hatua hazitachukuliwa, saratani ya matiti inaweza kushika nafasi ya kwanza, kwa kuwa na idadi kubwa ya wagonjwa nchini. Anaripoti Hamis Mguta … (endelea)....

Afya

Watu bilioni 1.3 wanatatizo la kuona Duniani

TAKRIBANI watu bilioni 1.3 duniani wanakadiriwa kuwa na tatizo la kuona wa namna tofauti. Anaripoti Hamis Mguta … (endelea). Hayo yameelezwa na Daktari...

Afya

Ebola: Tanzania yaishangaa WHO

SERIKALI ya Tanzania imeeleza kushangazwa na kauli ya Shirika la Afya Duniani (WHO) kwamba ilikugoma kutoa taarifa kuhusu kuwepo kwa ugonjwa wa Ebola. Anaripoti...

Afya

Mifumo ya Afya yatakiwa kuandikwa kwa kiswahili kusaidia wananchi

KATIBU  Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Zainabu Chaula amewagiza wataalamu wa sekta ya Afya wanaohusika...

AfyaHabari Mchanganyiko

Serikali yakanusha uwepo ugonjwa wa Ebola

SERIKALI imekanusha taarifa zinazosambaa mitandaoni kwamba kuna mlipuko wa virusi vya ugonjwa wa Ebola hapa nchini. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Hivi karibuni...

Afya

Ujerumani, Tanzania zaingia makubaliano ya afya

SERIKALI kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, imesaini mkataba wa makubaliano wa miaka mitatu na serikali ya Ujerumani...

AfyaHabari Mchanganyiko

Bugando yaokoa Bil 2 matibabu ya Saratani 

PROFESA Abel Makubi, Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Rufaa Bugando (BMC) amesema, hospitali hiyo imefanikiwa kuokoa zaidi ya Sh. 2 Bilioni kwa wananchi wa...

AfyaHabari za Siasa

Mbunge ataka mazingira rafiki kwa madaktari bingwa

SONIA Mgogo, Mbunge wa Viti Maalum (CUF), ameitaka serikali kueleza mpango wake wa kuwawezesha madaktari bingwa ili wafanye kazi nchini. Anaripoti Danson Kaijage, Ddodoma …...

Afya

Sababu ongezeko vifo ajali ya Lori Morogoro yaelezwa

HATUA ya majeruhi wengi wa ajali ya Lori la mafuta lililowaka moto Morogoro, walifikishwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimibi (MNH) kuendelea kupoteza...

AfyaHabari Mchanganyiko

Nusu ya majeruhi Morogoro waliohamishiwa Muhimbili wafariki

MAJERUHI wanne kati ya 25 wa ajali ya moto iliyotokea mkoani Morogoro waliokuwa wanaendelea kupatiwa matibabu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) wamepoteza...

Afya

Unyonyeshaji duni tishio kwa vifo vya watoto wachanga

DUNIA ikiwa inaadhimisha wiki ya unyonyeshaji, nchini Tanzania takwimu zinaonyesha kuwa vifo vya watoto wachanga bado vinashika kasi sababu ikitajwa ni kuchelewa kunyonyeshwa...

Afya

Wanaume wabanwa likizo ya uzazi

WANAUME wanaopewa likizo ya uzazi, wameshauriwa kutumia vizuri kwa kumsaidia mama aliyejifungua, na kwamba ni kwa mujibu wa sheria ya kazi na ajira...

Afya

Daktari ataja njia zinazoambukiza Homa ya Ini

KUHUSANA mwili wenye majimaji ikiwa ni pamoja na damu kutoka kwa mama (mwenye maambukizi) kwenda kwa mtoto wakati wa njia ya mama kujifungua...

Afya

Wasambazaji, wauzaji dawa ya Gentrisone wakamatwa

MAMLAKA ya Dawa na Vifaa Tiba Tanzania (TMDA), imeondoa sokoni dawa bandia aina ya Gentrisone 10g Cream, zaidi ya tube 4,188. Anaripoti Regina Mkonde...

Afya

Bilioni 7 kujenga jengo la wazazi Mbeya

SERIKALI kupitia Wizara ya Afya inajenga jengo la Wazazi lenye thamani ya Sh. 7 bilioni ikiwa ni utekelezaji wa ahadi ya Rais wa...

Afya

Serikali yashusha neema Njombe

SERIKALI kupitia Wizara ya Afya imeshusha neema kwa wananchi wa Njombe kwa kutenga kiasi cha Sh. 7.6 bilioni kwa ajili ya ujenzi wa...

Afya

Wazee Ngerengere wapata za Bima ya Afya

JUMLA ya kaya za wazee 10 za kata ya Ngerengere wilayani Morogoro mkoani hapa zimekabidhiwa kadi za mfuko wa Bima ya Afya ya...

Afya

Tanzania yapunguza maambukizi ya Trachoma (vikope)

TANZANIA imepunguza maambukizi ya ugonjwa wa Trachoma (vikope) kutoka wilaya 71 hadi sita ambazo zitaendelea na umezaji kingatiba. Anaripoti Hamis Mguta … (endelea)....

Afya

Mashine za kupimia wingi damu changamoto Mwanza

IMEELEZWA kuwa baadhi ya vituo vya afya mkoa wa Mwanza vinakabiliwa na ukosefu wa mashine za kupimia wingi wa damu kwa kinamama wajawazito...

Afya

Vipimo vya Dengue kutolewa bure

SERIKALI imesema vipimo vya homa ya Dengue vitatolewa bure kwa wananchi katika vituo vya afya na hospitali za umma. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Hayo...

error: Content is protected !!