Afya
KWA kipindi cha miezi sita kuanzia mwezi Julai hadi Desemba 2022 Wizara ya Afya kwa kushirikiana na wadau wa sekta ya afya...
By Mwandishi WetuJanuary 19, 2023NAIBU Waziri wa Afya, Dk. Godwin Mollel, ameagiza uchunguzi ufanyike dhidi ya matumizi ya fedha za kukabiliana na athari za Ugonjwa wa...
By Danson KaijageJanuary 14, 2023WIZARA ya Afya imesema maoni yaliyotolewa na Chama cha Wauguzi Tanzania (TANNA), kuhusu sakata la watumishi wa afya katika Zahanati ya Ishihimulwa...
By Mwandishi WetuJanuary 14, 2023CHAMA cha Wauguzi Tanzania (TANNA) kimetoa taarifa ya uchunguzi wa tukio la watumishi wa kada ya Afya wa Zahanati ya Ishihimulwa wilaya...
By Mwandishi WetuJanuary 12, 2023SERIKALI ya Tanzania, imewataka wadau wa afya kutoa maoni yao juu ya maboresho ya Mwongozo wa Kudhibiti Virusi vya Ukwimwi (VVU), Ugonjwa...
By Mwandishi WetuJanuary 11, 2023WATUMISHI wawili wa kada ya afya katika Halmashauri ya wilaya ya Uyui kutoka Zahanati ya Ishihimulwa waliokuwa wakijibizana kuhusu vifaa vilivyoisha muda...
By Mwandishi WetuJanuary 7, 2023SERIKALI ya Tanzania imesema maambukizi ya ugonjwa wa Virusi vya Korona (UVIKO-19), katika kipindi cha tarehe 29 Oktoba hadi 2 Desemba 2022,...
By Mwandishi WetuDecember 6, 2022MKUU wa Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro, Edward Mpogolo amewataka wazazi wenye watoto wenye umri chini ya miaka mitano wawapeleke kupata chanjo...
By Mwandishi WetuDecember 2, 2022RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan ameiagiza Tume ya Kudhibiti Ukimwi (TACAIDS), wizara ya afya pamoja na wadau wengine kuweka mikakati ya kutokomeza...
By Mwandishi WetuDecember 1, 2022TAASISI ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), imesaini mkataba wa ushirikiano na chuo Kikuu cha Jagiellonian nchini Poland, wenye lengo la kubadilishana ujuzi...
By Mwandishi WetuNovember 14, 2022SPIKA wa Bunge la Jamhuri, Dk. Tulia Ackson Mwansasu, ameitaka serikali kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Bima (TIRA), kuangalia upya utaratibu wa mashirika...
By Mwandishi WetuNovember 14, 2022MUSWADA wa Sheria ya Bima ya Afya kwa Wote, umeshindwa kusomwa kwa mara ya pili bungeni jijini Dodoma, kutokana na mhimili huo...
By Regina MkondeNovember 11, 2022JUMLA ya watumishi wa afya 139 wamechaguliwa kwaajili ya kupewa ufadhili wa masomo ya ubingwa na ubingwa bobezi katika fani zao. Anaripoti...
By Mwandishi WetuOctober 28, 2022KATIKA jitihada za kuunga mkono serikali ya awamu ya sita katika kukabiliana na magonjwa yasiyo ya kuambukiza, Hospitali ya KAM Musika ya Kimara...
By Mwandishi WetuOctober 28, 2022WAKUFUNZI wa mikoa nchini ambao ni wataalamu wa afya kutoka katika hospitali ya Taifa, hospitali za kanda, hospitali maalumu na hospitali za...
By Mwandishi WetuOctober 22, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan, amesema Serikali yake inataka kuifanya Tanzania kuwa kituo cha matibabu ya afya ya kibingwa kwa nchi inazopakana nazo. Anaripoti...
By Mwandishi WetuOctober 18, 2022WAANDISHI wa Habari nchini Tanzania wamepewa wito wa kuishawishi jamii na kuondosha dhana potofu juu ya chanjo ya Ugonjwa wa uviko -19....
By Faki SosiOctober 18, 2022MSEMAJI Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amesema,uamuzi wa Serikali kuja na sheria ya Bima ya Afya kwa wote una lengo la kuhakikisha kila...
By Danson KaijageOctober 18, 2022DAKTARI Muhammed Ali ambaye ni Mtanzania amefariki kwa ugonjwa wa Ebola nchini Uganda ambapo alikuwa akisomea shahada ya uzamili ya udaktari katika upasuaji....
By Mwandishi WetuOctober 1, 2022WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu, amesema sekta zote zitaongeza nguvu, rasilimali fedha na rasilimali watu ili kuboresha kiwango cha lishe kwa Watoto wenye...
By Masalu ErastoSeptember 30, 2022RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema hivi sasa wataachana kwanza na ujenzi wa vituo vipya vya afya na nguvu kubwa itaelekezwa katika...
By Mwandishi WetuSeptember 30, 2022RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema lishe duni ndiyo chanzo kikubwa cha uwepo wa watu wenye matatizo ya afya ya uzazi na...
By Jonas MushiSeptember 30, 2022WAZIRI wa Afya Ummy Mwalimu ametoa tahadhari ya ugonjwa wa Ebola na kuagiza wakuu wote wa mikoa kujiandaa endapo itatokea kisa chochote au...
By Mwandishi WetuSeptember 28, 2022WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu, amesema bima ya afya kwa wote itaanza kazi kuanzia tarehe 1 Julai 2023, endapo Bunge la Tanzania,...
By Masalu ErastoSeptember 27, 2022CHUO Kikuu cha Kumbukumbu ya Hubert Kairuki (HKMU), kimeingia makubaliano na Chuo Kikuu cha Western Kentucky cha Marekani (WKU) kwa ajili ya...
By Mwandishi WetuSeptember 21, 2022WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu amesema jumla ya watoto 14,690,597 wametiwa huduma ya chanjo ya polio ya matone sawa na asilimia 118.6...
By Masalu ErastoSeptember 14, 2022MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Philip Mpango amezitaka mamlaka za udhibiti kukomesha matumizi ya dawa zisizofaa katika...
By Mwandishi WetuSeptember 13, 2022WAZIRI wa Afya Ummy Mwalimu ameagiza wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya nchini kusimamia kikamilifu utekelezaji wa kampeni ya chanjo ya...
By Mwandishi WetuSeptember 1, 2022WAGONJWA wanaougua magonjwa yasiyoambukiza wametajwa kuwa ndiyo kundi ambalo linatumia fedha nyingi kutoka katika Mfuko wa Bima ya Afya Tanzania (NHIF). Anaripoti...
By Masalu ErastoAugust 11, 2022WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu, amekiri kuwepo kwa changamoto za utoaji wa huduma za afya katika mkoa wa Njombe ikiwemo suala la...
By Masalu ErastoAugust 9, 2022WAZIRI wa Afya nchini Tanzania, Ummy Mwalimu amesitisha mara moja utaratibu mpya wa mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) unaoweka ukomo...
By Mwandishi WetuAugust 3, 2022MKURUGENZI wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI), Dk. Respicious Boniface amesema si kweli kwamba majeruhi wa ajali za bodaboda hukatwa miguu...
By Danson KaijageJuly 28, 2022WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu, amewataka wananchi wachukue tahadhari za kujikinga dhidi ya Ugonjwa wa Virusi vya Korona (UVIKO-19), kwani bado upo...
By Regina MkondeJuly 26, 2022MAKAMU wa Rais Dk. Philip Mpango amewataka madaktari na watoa huduma wote nchini kuendelea kuwa wenye upendo, kujituma, kujitoa na kuzingatia weledi...
By Mwandishi WetuJuly 18, 2022WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu amemuahidi Makamu wa Rais, Dk. Phillip Mpango kuwa maabara ya afya ya jamii ya Kibong’oto baada ya...
By Mwandishi WetuJuly 16, 2022MAKAMU wa Rais, Dk. Philip Isdory Mpango ameitaka Wizara ya Afya kuendelea kuimarisha mifumo ya ufuatiliaji wa mwenendo wa magonjwa ya kuambukiza...
By Mwandishi WetuJuly 16, 2022WIZARA ya afya kupitia Mganga Mkuu wa serikali, Dk. Alfello Sichalwe imesema jumla ya watu watatu wamefariki dunia kutokana na ugonjwa wa...
By Mwandishi WetuJuly 13, 2022TATIZO la ubakaji limetajwa kuwa sababu ya kuongezeka kwa matatizo ya fistula kwa wasichana wenye umri mdogo. Anaripoti Jonas Mushi, Dar es...
By Jonas MushiJuly 5, 2022RAIS wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amefurahishwa na uwepo wa vyumba vya faragha vya wajawazito kujifungulia wakiwa na wenza wao katika jengo...
By Mwandishi WetuJuly 5, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan amezindua jengo la mama na mtoto katika Hospitali ya CCBRT ambalo lina uwezo wa kuhudumia wajawazito 12,000 kwa...
By Masalu ErastoJuly 5, 2022MPANGO wa kuboresha huduma ya afya ya uzazi mkoa wa Dar es Salaam, inayoratibiwa na Hospitali ya CCBRT, imesaidia kupunguza vifo vya...
By Jonas MushiJuly 5, 2022MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla, amesema fedha kiasi cha Sh. 4.5 bilioni, zilizotokana na tozo za miamala ya...
By Regina MkondeJuly 5, 2022WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu, amesema Serikali ina mpango wa kuanza kujenga vyumba vya faragha vya kujifungulia, katika vituo vya afya vya...
By Regina MkondeJuly 5, 2022WATAALAMU wa Afya Nchini Tanzania, wameshauriliwa kufanya kazi kwa kuzingatia weledi, uadilifu na maadili ya taaluma yao kwa kutunza miundominu ya majengo...
By Danson KaijageJune 30, 2022WABUNGE wa viti maalum, wamehoji mkakati wa Serikali kupunguza gharama za matibabu ya ugonjwa wa figo ili kunusuru wagonjwa wasiokuwa na uwezo...
By Mwandishi WetuJune 21, 2022KAMATI Afya ya Bunge la Zambia imepongeza uwekezaji wa wazawa wa Kiwanda cha Kutengeneza Dawa cha Kairuki nchini Tanzania wakisema ni njia ya...
By Gabriel MushiMay 30, 2022KATIBU Mkuu Wizara ya Afya Prof. Abel Makubi ameshauri kuondolewa kwa Mganga Mkuu wa Wilaya Kigoma kutokana na kushindwa kutekeleza maagizo ya kuboresha...
By Gabriel MushiMay 29, 2022TOZO za miamala ya simu iliyoanza kutozwa mwaka jana, imeendelea kuwafaidisha Watanzania ikiwamo wananchi 7000 wa Kata ya Misha mkoani Tabora baada ya...
By Gabriel MushiMay 27, 2022WIZARA Ofisi ya Rais-TAMISEMI, imezindua mfumo wa kidigitali wa usimamizi asilimia 10 ya fedha za mapato ya halmashauri zinazotolewa kwa wananchi kwa...
By Masalu ErastoMay 24, 2022ZAIDI ya Sh milioni 250 zinazotokana na tozo za miamala ya simu nchini zimetumika katika ujenzi wa Kituo cha Afya Vumilia kilichopo katika...
By Gabriel MushiMay 22, 2022