Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko ameipongeza benki ya NMB kwa kuwa wabunifu kwenye utoaji huduma pamoja na kuwekeza...
By Mwandishi WetuNovember 24, 2023Waziri mkuu Kassim Majaliwa ameeleza kusikitishwa na kitendo cha baadhi ya watu wakiwemo mawakala feki wa mbole ‘vishoka’ wanaotorosha mbolea ya ruzuku kwenda...
By Mwandishi WetuNovember 24, 2023DROO ya tatu ya Msimu wa Tano wa Promosheni ya kuhamasisha matumizi yasiyohusisha pesa taslimu inayoendeshwa na Benki ya NMB, ijulikanayo kama ‘NMB...
By Mwandishi WetuNovember 24, 2023LIGI ya Mabingwa Afrika inaanza leo kutimua vumbi kwenye viwanja tofauti Algeria, na Misri kutawaka sana kwa michezo miwili hatari, Yanga waliopo...
By Mwandishi WetuNovember 24, 2023WATANZANIA wametakiwa kujenga desturi ya kujitetea wenyewe, badala ya kutegemea taasisi mbalimbali, hususan vyama vya siasa na mashirika yasiyokuwa ya kiserikali (NGO’s), zisimame...
By Regina MkondeNovember 24, 2023Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa China nchini Tanzania, Chen Mingjian ambapo...
By Mwandishi WetuNovember 24, 2023RAIS Samia Suluhu Hassan leo Ijumaa ameungana na viongozi wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki, EAC, kufanya mkutano wao wa kawaida nchini...
By Mwandishi WetuNovember 24, 2023SHULE za St Mary’s nchini zimeendelea kufanya vizuri kwenye mitihani ya darasa la saba kwa wanafunzi wake kupata wastani wa alama A kwenye...
By Mwandishi WetuNovember 24, 2023Takriban watu 573 kati ya 11,640 walioambukizwa kipindupindu nchini Nigeria wamepoteza maisha tangu mlipuko wa ugonjwa huo uanze Desemba 2022. Inaripoti Mitandao ya...
By Mwandishi WetuNovember 24, 2023Makubaliano ya kusitisha mapigano kati ya Israel na vikosi vya Hamas yameanza leo Ijumaa saa moja asubuhi ikiwa ni mpango wa kusitisha mapigano...
By Mwandishi WetuNovember 24, 2023WAKULIMA wa Afrika wameshauriwa kutumia mbegu asili katika kilimo kwa kuwa nichangia salama kwa afya, uhuru wa chakula, kukuza uchumi na uhakika wa...
By Seleman MsuyaNovember 23, 2023KATIKA kujenga uwezo kwa kampuni ndogondogo zinazojishughulisha masuala ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA), Tume ya Tehama (ICTC) inatarajia kujenga vituo katika...
By Gabriel MushiNovember 23, 2023BENKI ya NMB wamesaini makubaliano na Kampuni ya CTM Tanzania yaliyopewa jina la ‘Lipa Baadaye,’ yatakayowawezesha wateja wa benki hiyo kupata mikopo ya...
By Mwandishi WetuNovember 23, 2023WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema serikali itaendelea kutoa fedha ili kukamilisha ujenzi wa Hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Songwe ili kuimarisha huduma...
By Mwandishi WetuNovember 23, 2023WAZIRI mkuu Kassim Majaliwa ameeleza kushangazwa na idadi ya kesi mbili pekee kufikishwa mahakamani kati ya kesi 59 zinazohusu wanafunzi waliofanyiwa ukatili na...
By Mwandishi WetuNovember 23, 2023UMOJA wa Mataifa (UN), pamoja na Umoja wa Ulaya (EU), zimeahidi kuendelea kushirikiana na Serikali pamoja na wadau mbalimbali, katika ukuzaji na ulinzi...
By Regina MkondeNovember 23, 2023MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), umesema hali ya utetezi wa haki za binadamu nchini katika kipindi cha miaka ya...
By Regina MkondeNovember 23, 2023JESHI la Polisi Mkoa wa Arusha limesema linawashikilia watuhumiwa watano kwa tuhuma za kujifanya maafisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na...
By Mwandishi WetuNovember 23, 2023MWANASIASA mkongwe Tanzania, Mzee Joseph Butiku, amesema rushwa ndiyo chanzo cha changamoto ya watu kuchagua au kuchaguliwa, katika chaguzi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...
By Mwandishi WetuNovember 23, 2023NYOTA wa Soka Lionel Messi huenda akaongeza rekodi nyingine kwenye maisha yake baada ya kutanganzwa kwa mnada wa seti ya jezi sita...
By Mwandishi WetuNovember 23, 2023BARAZA la Mitihani la Tanzania limefungia vituo vya mtihani viwili ambavyo ni Twibhoki (PS0904095) na Graiyaki (PS0904122) vyote vya Halmashauri ya Serengeti mkoa...
By Mwandishi WetuNovember 23, 2023TOFAUTI na miaka iliyopita, katika matokeo ya Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi 2023 (darasa la saba) yaliyotangazwa leo na Baraza la Mitihani...
By Mwandishi WetuNovember 23, 2023Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema jitihada zinazofanywa na Benki ya Exim Tanzania katika kusogeza huduma zake karibu na wananchi katika maeneo mbalimbali hapa...
By Mwandishi WetuNovember 23, 2023WANANCHI wa Mji wa Dumila wilaya ya Kilosa wameondokana na adha ya kutembea umbali mrefu kati ya kilometa 35 hadi 70 kufuata huduma...
By Mwandishi WetuNovember 23, 2023KAMPUNI ya Geita Gold Mining Limited (GGML) kwa kushirikiana na shirika la CCBRT imetoa msaada wa viti mwendo na vifaa saidizi 55 kwa...
By Mwandishi WetuNovember 23, 2023MOROCCO moja kati ya timu bora kabisa Afrika kwa sasa ikiwa inashika nafasi ya 13 kwa ubora duniani huku Tanzania kidunia inashika...
By Mwandishi WetuNovember 23, 2023Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati. Dk. Doto Biteko amewataka viongozi wa dini kutochoka kuunganisha watu ili kujenga Taifa lenye umoja, amani...
By Mwandishi WetuNovember 22, 2023Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemtaka Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara nchini (TANROADS), Eng. Mohammed Besta kukamilisha usanifu wa kina wa Barabara...
By Mwandishi WetuNovember 22, 2023RAIS mstaafu, Dk. Jakaya Kikwete, ameshauri fedha zinazotengwa katika bajeti za serikali, zitumike vizuri ili zilete tija. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma…(endelea). Dk. Kikwete...
By Mwandishi WetuNovember 22, 2023Benki ya NMB imezindua Programu Endelevu ya Ugawaji Mizinga ya Nyuki 500 kwa vikundi 17 vyenye wafugaji zaidi ya 300, katika mikoa ya...
By Mwandishi WetuNovember 22, 2023NCHI ya Israel, pamoja na kikundi cha wanamgambo wa kiislamu, Hamas, wamekubaliana kusitisha mapigano katika Ukanda wa Gaza, ili kuruhusu zoezi la kuacha...
By Mwandishi WetuNovember 22, 2023WATU zaidi ya 10 katika Wilaya ya Kyotera, nchini Uganda, wameripotiwa kupoteza maisha kwa mlipuko wa ugonjwa usiojulikana. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa…(endelea). Kwa...
By Mwandishi WetuNovember 22, 2023WATAKWIMU wa halmashauri, wizara, idara na taasisi za umma wametakiwa kuhakikisha wanatoa takwimu za kweli badala ya kutoa takwimu za kupika. Pia wametakiwa...
By Danson KaijageNovember 22, 2023Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) imewapongeza wahitimu bora wa Chuo Kikuu cha Kilimo Cha Sokoine (SUA) cha Morogoro kwa kuwapatia zawadi...
By Mwandishi WetuNovember 22, 2023BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) imesaini hati ya Makubaliano (MOU) na taasisi sita za Serikali ya Mapinduzi Zanzbar (SMZ) yanayotoa fursa kwa...
By Mwandishi WetuNovember 21, 2023UNAIKUMBUKA kisa cha mchezaji wa timu ya taifa ya Morocco na PSG Achraf Hakimi na mkewe Hiba Abouk kudai nusu ya mali...
By Mwandishi WetuNovember 21, 2023Imeelezwa kuwa, Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) litapeleka mtambo wa umeme wa MW 20 mkoani Mtwara kutoka kituo cha umeme Ubungo III ili...
By Mwandishi WetuNovember 21, 2023Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko ameagiza Bodi na Menejimenti ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) kuja...
By Mwandishi WetuNovember 21, 2023ILI kutimiza malengo ya Rais Samia Suluhu Hassan kuwajengea uwezo na kuwainua wakandarasi wa ndani, katika mwaka wa fedha 2023/204, jumla ya miradi...
By Danson KaijageNovember 21, 2023MKUU wa Wilaya ya lleje, Farida Mgomi kwa kushirikiana na wazazi wamefanikiwa kumrejesha shuleni, Irene Mwazembe (15), mwanafunzi wa kidato cha kwanza katika...
By Mwandishi WetuNovember 21, 2023CHAMA cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), kimetangaza kuondoa uwakilishi wake kwa muda katika Kamati ya Maadili ya Mawakili, hadi pale hatma ya Mpale...
By Mwandishi WetuNovember 21, 2023MASHIRIKA Yasiyo ya Kiserikali (NGO’S), yanayotetea haki za binadamu, yamelaani uamuzi wa Kamati ya Maadili ya Mawakili, kumsimamisha uwakili, Mpale Mpoke, kwa muda...
By Mwandishi WetuNovember 21, 2023Mkuu wa Wilaya ya Songwe, Solomon Itunda amesimamisha shughuli za utafiti wa madini ya dhahabu zinazofanywa na Kampuni ya Gold Valley Company Limited...
By Mwandishi WetuNovember 21, 2023WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa anatarajiwa kufanya ziara ya kikazi ya siku tatu mkoani Songwe kwa lengo la kukagua miradi ya maendeleo, kuzungumza na...
By Mwandishi WetuNovember 21, 2023WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mohamed Mchengerwa amewasimamisha kazi wakurugenzii wawili wa halmashauri kuanzia tarehe...
By Mwandishi WetuNovember 21, 202381 Crystal Fruits ni sloti ya kasino mtandaoni kutoka Meridianbet inayojumuisha nguzo nne zilizopangwa katika mistari mitatu na una mistari ya malipo...
By Mwandishi WetuNovember 21, 2023IMEELEZWA kuwa ujenzi wa nyumba 5,000 utawezesha kaya 10,000 kuhama kwa hiari kutoka Ngorongoro kuelekea katika kata za Msomera, Saunyi (Tanga) na Kitwai...
By Gabriel MushiNovember 20, 2023OFISI ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), imemburuza Wakili Boniface Mwabukusi, mbele ya Kamati ya Maadili ya Mawakili, ikimtuhumu kwa makosa ya ukiukwaji...
By Mwandishi WetuNovember 20, 2023KAMPENI ya kuitangaza bandari ya Dar es Salaam kimataifa imetajwa kuanza kuzaa matunda baada ya wafanyabiashara na wakazi wa Zimbabwe kuichagua bandari hiyo...
By Gabriel MushiNovember 20, 2023KUGUNDULIWA kwa makaburi mapya ya halaiki katika msitu Shakahola huko Kilifi nchini Kenya kumetajwa kuchangia uamuzi wa kurejesha mchakato mpya wa ufukuaji wa...
By Mwandishi WetuNovember 20, 2023