Tuesday , 18 June 2024
Home Kitengo Michezo Ni Achraf Hakimi na watanzania, furahia ushindi rahisi unapocheza kasino
Michezo

Ni Achraf Hakimi na watanzania, furahia ushindi rahisi unapocheza kasino

Spread the love

 

UNAIKUMBUKA kisa cha mchezaji wa timu ya taifa ya Morocco na PSG Achraf Hakimi na mkewe Hiba Abouk kudai nusu ya mali za mume wake baada ya kutalakiana. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).

Mchezaji huyo leo atashuka uwanja wa Benjamin Mkapa na timu yake ya taifa ya Morocco mchezo wa kufuzu kombe la dunia, meridianbet wameupa mchezo huu odds kubwa huku upande wa pili unapiga pesa unapocheza kasino mtandaoni.

Kesi yao ya madai ya talaka ilipelekwa mahakamani Machi 2023 ambapo Bi Hiba alidai kwamba anataka kulipwa pesa na nusu ya mali, lakini baadae ilikuja kufahamika kwamba 80% ya mali za Hakimi zimeandikwa jina la mama yake mzazi. Miliki bajaji mwezi huu Novemba kwa Jero tu ukibashiri mechi mbalimbali ikiwa na odds kubwa.

Kuelekea mchezo huu wa kutafuta tiketi ya kuwania kombe la dunia, akifanya mahojiano na waandishi wa habari Achraf Hakimi alisema kwamba wanafahamu Tanzania ni timu nzuri lakini hata wao ni wazuri na hivyo wataingia uwanjani kupambana kushinda.

Mechi hii ina odds kubwa meridianbet na kama sio mpenzi wa kubashiri unaweka kucheza sloti na michezo mingi ya kasino mtandaoni kujiweka kwenye nafasi nzuri ya kushinda mamilioni ya Meridianbet na wewe utambe kama Achraf Hakimi.

Je ikitokea umebashiri au kucheza kasino mtandaoni na kushinda mamilioni utaandika jina la mama yako kama mmiliki wa mali zako, au utaandika jina lako?

Hakimi Achraf na mkewe Hiba Abouk walianza uchumba na mapenzi mwaka 2018 na miaka miwili mbele yaani 2020 walifunga ndoa ya kiislamu ambapo, walijaliwa kupata watoto wawili. Mgogoro wao wanandoa hawa ulikuja baada ya mchezaji huyo kuhusishwa na masuala ya ubakaji.

NB: Mwezi huu wa Novemba ni mwezi wa kufurahi na promosheni za Meridianbet kasino mtandaoni, kupitia mchezo wa Aviator unatoa nafasi ya beti za bure kila siku kwa wachezaji 10 wenye bahati, kuwa mmoja wa wanufaika kwa kucheza Aviator.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Michezo

Leo Uingereza, Uholanzi zote kukupa pesa

Spread the love Siku ya leo EURO 2024 kupigwa katika viwanja mbalimbali,...

Michezo

Jumamosi ya leo ni ya pesa na EURO hapa Meridianbet

Spread the love  Baada ya jana kushuhudia mechi kali ya ufunguzi wa...

Michezo

Serikali yaondoa kodi vifaa vya ‘VAR’

Spread the love  SERIKALI ya Tanzania kupitia Waziri wa Fedha Dk. Mwigulu...

Michezo

Leo Tanzania ipo dimbani beti na Meridianbet

Spread the love  Mechi nyingi za kufuzu Kombe la Dunia kwa Afrika...

error: Content is protected !!