WANANCHI wa Kisiwa cha Rukuba, kilichopo Jimbo la Musoma Vijijini, mkoani Mara, wameamua kuanza ujenzi wa shule ya sekondari kwa nguvu zao, ili...
By Mwandishi WetuNovember 2, 2023KATIKA kuelimisha umma kuhusu teknolojia mpya na za kisasa zinazotumika kwenye sekta ya uchimbaji madini, Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imetoa...
By Mwandishi WetuNovember 2, 2023HATIMAYE kichwa kipya cha treni ya umeme chenye namba ya usajili E6800-01 kilichoundwa na kampuni ya ‘Hyundai Rotem Company (HRC) kimewasili nchini Tanzania...
By Mwandishi WetuNovember 2, 2023SERIKALI imezindua Kampeni ya ‘Tumewasikia Tumewafikia’ ambayo inawataka wakuu wa mikoa yote 26 na wakurugenzi wa halmashauri zote 184 nchini, kuandaa mikutano na...
By Danson KaijageNovember 2, 2023SERIKALI imekamilisha kazi ya mapitio ya mitaala ya elimu kuanzia ngazi ya msingi, sekondari hadi ualimu, huku ikiendelea na mapitio ya mitaala na...
By Mwandishi WetuNovember 2, 2023Wateja 333,706 wa kampuni ya Michezo ya kubashiri betPawa wameweka rekodi ya ushindi katika mchezo huo baada ya kujishindia Sh 53.8 bilioni ndani...
By Mwandishi WetuNovember 2, 2023MSHAURI wa Kodi, Denis Tililo (29) amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala jijini Dar es salaam akikabiliwa na mashtaka nane likiwemo...
By Mwandishi WetuNovember 2, 2023Serikali ya Ujerumani imeahidi kushirikiana na Serikali ya Tanzania kuboresha Makumbusho ya Majimaji ili kuhifadhi kumbukumbu sahihi kwa ajili ya wakati huu...
By Mwandishi WetuNovember 1, 2023KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), amempa miezi sita Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, atatue migogoro ya ardhi inayowakabili wananchi.Anaripoti...
By Mwandishi WetuNovember 1, 2023MWANAHARAKATI huru, Bihimba Mpaya ameshirikiana na wadau wengine kutatua changamoto mbalimbali zinazowakabili wananchi wa Mtaa wa Magole A, uliopo Kivule, jijini Dar es...
By Mwandishi WetuNovember 1, 2023ALIYEKUWA Mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya amefika mbele ya Mahakama ya Rufani jijini Arusha, kusikiliza rufaa iliyofunguliwa na...
By Mwandishi WetuNovember 1, 2023MUSWADA wa Bima ya Afya kwa Wote wa 2022, umewasilishwa bungeni jijini Dodoma na Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu na kusomwa kwa mara...
By Regina MkondeNovember 1, 2023BUNGE la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA), limesikitishwa na mahudhulio duni ya mawaziri wa jumuiya hiyo, jambo ambalo linasababisha baadhi ya hoja...
By Mwandishi WetuNovember 1, 2023MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) imetangaza bei mpya za nishati ya mafuta nchini ambazo zimeanza kutumika leo Novemba...
By Mwandishi WetuNovember 1, 2023