Monday , 4 March 2024
Home Kitengo Michezo Fernandes hakamatiki Man Utd, mahesabu ni kuifunga Bayern
Michezo

Fernandes hakamatiki Man Utd, mahesabu ni kuifunga Bayern

Spread the love

 

NAHODHA wa Manchester United, Bruno Fernandes, alikuwa na kiwango bora sana usiku wa mabingwa Ulaya kwenye mchezo uliomalizika kwa sare ya 3-3 dhidi ya Galatasaray ugenini. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).

Man United walikwenda kwenye mchezo wakiwa na matumaini ya kupata pointi tatu na walianza vizuri wakiongoza 2-0 baada ya dakika 18 tu.

Fernandes alitoa pasi ya ufunguzi kwa Rasmus Hojlund dakika ya 11, na dakika saba baadaye, yeye mwenyewe alifunga mojawapo ya mabao bora katika hatua ya makundi. Unaweza kubashiri ni mchezaji gani atafunga goli, chaguo hili lina odds kubwa Meridianbet.

Mreno huyo alipiga shuti kali nje ya 18 na kufunga goli bora huku Fernando Muslera hakuwa na nafasi ya kuzuia shuti hilo. Bashiri mechi mbalimbali kupitia Meridianbet upate ushindi kwa odds kubwa, pia unaweza kucheza kasino ya Mtandaoni na michezo ya sloti kama AVIATOR na POKER.

Ilionekana kama walikuwa kwenye njia ya ushindi wa kutosha, lakini mchezo ulimalizika 3-3 baada ya filimbi ya mwisho. Andre Onana alifanya makosa mawili kutokea kwenye mipira miwili ya adhabu ya Hakim Ziyech.

Fernandes alifanya madhambi yaliyosababisha magoli mawili ya Ziyech, lakini hana la kulaumiwa kwenye hilo. Je nafasi ya Utd kufuzu hatua ya 16 bora ipo kwa kiasi gani, bashiri chaguo hili lina odds kubwa Meridianbet, mbali na hilo unaweza kucheza kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti kwa uhakika wa ushindi mkubwa kasino ya mtandaoni ni habari ya mjini.

Bruno Fernandes mwenye (29) mbali na mchango wake wa mabao mawili, aligusa mpira mara 60 na kutoa pasi tatu muhimu pamoja na pasi nne ndefu. Rekodi hizi kama Fernandes pia alishinda mipira 5 ya kugombania na kufanya tackling 3, lakini haikutosha kuleta ushindi muhimu kwa Man United kwenye usiku wa mabingwa.

United walipoteza faida ya 2-0 kwa mara nyingine msimu huu. Matokeo haya yanawafanya kuwa chini ya kundi lao na pointi 4 na wanakabiliwa na uwezekano wa kutolewa.

Galatasaray na Copenhagen wana pointi 5 kila mmoja. United wanahitaji kushinda dhidi ya Bayern Munich na kuomba mchezo mwingine umalizike kwa sare.

United lazima ikomeshe Unbeaten ya Bayern kwa mechi 39 katika hatua ya makundi ili kuwa na nafasi ya kufuzu raundi ya 16 ya Ligi ya Mabingwa. Je Man Utd wataweza kuifunga Bayern tandika jamvi lako na Meridianbet kila mechi ina odds kubwa, mbali na hayo una nafasi ya kuibuka mshindi kama utacheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni kila siku, cheza AVIATOR, POKER, ROULETTE nk.

NB: KWA 500 TU UNAPATA BAJAJI MPYAA UKIBETI NA KITOCHI MERIDIANBET MWEZI HUU WA NOVEMBA, PROMOSHENI HII YA BAJAJI MIA5 INAISHA MWISHO WA MWEZI HUU, KUWA MMOJA KATI YA WASHINDI WA BAJAJI NA ZAWADI KIBAO KWENYE PROMOSHENI HII KWA KUBASHIRI NA MERIDIANBET PEKEE.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Michezo

Suka mkeka wako hapa na Meridianbet leo

Spread the love Habari mteja wa meridianebt?. Je wajua kuwa Jumapili ya...

Michezo

Unaanzaje Jumamosi Yako na Meridianbet Leo?

Spread the loveMpendwa mteja wa Meridianbet natumaini Jumamosi yako imeanza vizuri kabisa...

Michezo

Usikubali kupitwa ODDS KUBWA zipo Meridianbet pekee, bashiri sasa

Spread the love  LIGI mbalimbali duniani leo hii zinaendelea huku kwa upande...

Michezo

Ligi ya Mabingwa Afrika kuunguruma tena leo 

Spread the love  LIGI ya Mabingwa Afrika kuendelea leo na michezo kadhaa...

error: Content is protected !!