Sunday , 2 April 2023
Home Kitengo Michezo Messi kukiputa PSG?
Michezo

Messi kukiputa PSG?

Mess
Spread the love

LEONEL Messi, mshambuliaji wa Klabu ya Barcelona na Argentina anawindwa. Inaripoti mitandao ya kimataifa…(endelea).

Mkufunzi wa zamani wa Klabu ya Tottenham  Hotspur ya Uingereza, Mauricio Pochettino anataka kumleta mshambuliaji huyo kwenye Klabu ya Paris St РGerman.

Pochettino ametoa kauli hiyo ili kuishawishi klabu hiyo kumtumia, baada ya aliyekuwa kocha wa klabu hiyo Thomas Tuchel kutupiwa virago.

Alhamisi wiki hii, klabu hiyo ya Ufaransa ilimtimua kocha wake na sasa ipo kwenye harakati za kusaka kocha mpya.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Michezo

TANROADS wawataka watumishi wazingatie michezo kazini

Spread the love  WAKALA wa barabara Tanzania (TANROADS) imesema michezo inapaswa kuzingatiwa...

Michezo

Yanga: Fedha za Rais Samia zinaleta ari kubwa

Spread the loveUONGOZI wa klabu ya Yanga, umesema fedha zinazotolewa na Rais...

Michezo

Simba Sc. yamvulia kofia Rais Samia, yamuahidi makubwa dhidi ya Horoya

Spread the loveWAKATI timu ya Simba ikiibuka na ushindi wa bao 3-0...

Michezo

Taasisi ya TKO na TFF yawapiga msasa makocha wa kike 54

Spread the love WAKATI Soka la wasichana likichipua kwa kasi Taasisi ya...

error: Content is protected !!