Saturday , 25 March 2023
Home Gazeti Habari za Siasa Masharti yatolewa kuuaga mwaka 2020, mwisho saa 6:30 usiku
Habari za SiasaTangulizi

Masharti yatolewa kuuaga mwaka 2020, mwisho saa 6:30 usiku

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), George Simbachawene
Spread the love

WAZIRI wa Mambo ya Ndani nchini Tanzania, George Simbachawene amepiga marufuku, makongamano ya dini au mikutano ya mikesha inayofanyikia viwanja vya wazi usiku wa kuamkia mwaka mpya ambayo ni leo alhamisi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).

Makongamano na mikutano hiyo huwa inafanyika kila tarehe 31 Desemba kuuaga  na kuukaribisha mwaka mpya na mwaka huu yalikuwa yafanyike viwanja mbalimbali ikiwemo Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Hata hivyo, jana Jumatano tarehe 30 Desemba 2020, Waziri Simbachawene alizuia mikutano na makongamano hayo nchi nzima ambayo yangefanyika leo na kuagiza yafanyikie kanisani na mwisho iwe saa 6:30 usiku huku akionya watakaokaidi agizo hilo, watachukuliwa hatua.

Taarifa yote ya Waziri Simbachawene hii hapa;

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari za Siasa

Rais Samia aagiza iundwe kamati ya pamoja ya Mawaziri mradi wa BBT

Spread the love  RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amewaagiza mawaziri kuunda kamati...

Habari za Siasa

Rais Samia apangua makatibu tawala mikoa, ateua Kamishna DCEA

Spread the loveALIYEKUWA Kamishna wa Mamlaka ya Kudhibiti Dawa za Kulevya, Gerald...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

M/kiti bodi ya wadhamini Chadema afariki dunia

Spread the loveMWENYEKITI wa Bodi ya Wadhamini ya Chama cha Demokrasia na...

Habari za Siasa

Zitto: Nikifa Ado atavaa viatu vyangu

Spread the love  KIONGOZI Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe...

error: Content is protected !!