Saturday , 27 April 2024
Home Kitengo Biashara Mchezo mpya mjini Super Heli Kasino, ushindi, zawadi ndiyo sehemu yake
Biashara

Mchezo mpya mjini Super Heli Kasino, ushindi, zawadi ndiyo sehemu yake

Spread the love

 

KUNA watu wanakwambia hakuna njia rahisi ya mafanikio kwenye maisha? Achana nao hao leo nataka nikujuze tu kila mtu ana njia yake ya kutoboa maisha na sio lazima njia yako ifanane na ya mwingine bali kila mtu hpita njia yake.

Njia ya kupita kuyaendea mafanikio kwenye maisha ni kucheza tu mchezo mmoja wapo wa kasino ya mtandaoni kutoka Meridianbet, kuna huu unaitwa Super Heli ni mchezo mpya ila unatoa washindi wengi kila siku, huhitaji kuwa na mtaji mkubwa au kutumia akili ni kitendo cha kuweka dau lako na kurusha ndege ya Super Heli.

Kadri inavyozidi kwenda umbali mrefu na ndege ya Super Heli ndivyo unavyozidi kujipatia ushindi kwani Helikopta hii, inavyoruka inakuwa inahesabu odds na idadi ya odds ulizopata kabla ya ndege kuanguka na kusitisha safari, zitazidishwa kwa dau uliloweka kwa ajili ya mchezo huo wa kasino ya mtandaoni.

Mfano kama uliweka dau la 10,000/= kisha ulisitisha/ Cash Out kwenye odds 10, basi ushindi utakuwa 10,000 x 10= 100,0000/= TZS umeona ilivyokuwa rahisi. Jisajili Meridianbet kisha anza safari ya kufurahia mchezo huu. 

Wakati ukifanya yote hayo huku unajipatia ushindi mkubwa kirahisi, bado hiyo haitoshi Meridianbet watakupatia na zawadi ya TV flat screen mpyaa ya ukubwa wa 55inch, Smartphone kama zote huku ukivuna bonasi za kasino mpaka 200,000/= TZS unasubiri nini mtu wangu wa nguvu, changamkia fursa hii haijirudii tena.

Zawadi na ushindi 

Super Heli mchezo wa kasino mtandaoni kutoka kwa Expanse Studios. Katika mchezo huu, utapata bonasi za kasino kubwa. Kuna malipo ya pesa taslimu papo hapo.

Wakati wa promosheni hii ya Super Heli kasino ya mtandaoni, washindi watajishindia zawadi kabambe kama ifuatavyo:

Nafasi ya 1 – Samsung TV inchi 55.
Nafasi ya 2 – Samsung A24.
Nafasi ya 3 na ya 4 – TZS 200,000 beti za bure.
Nafasi ya 5-6 – TZS 100,000 beti za bure.
Nafasi ya 7-10 – TZS 50,000 beti za bure.

NB: Jisajili na Meridianbet na cheza michezo ya kasino ya mtandaoni upate ushindi kirahisi, Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Biashara

Orb of Destiny kutoka Meridianbet kasino ushindi kwa njia 14  

Spread the love  ORB of Destiny ni mchezo wa sloti kutoka kwa...

Biashara

Jiandalie Strawberry Cocktail yako nyumbani huku unacheza kasino 

Spread the love  UTAANDAA matunda yako unayotaka kutumia unaweza kutumia Strawberry, Cantaloupe...

Biashara

420 Blaze It chimbo jipya la kuchota mihela Meridianbet kasino 

Spread the love  JE, umewahi kucheza mchezo wa droo wenye droo 10?...

Biashara

Exim yawainua kiuchumi wanawake wajasiriamali kupitia mpango wa WEP

Spread the love  BENKI ya Exim kupitia Mpango wake wa Kuwawezesha Kiuchumi...

error: Content is protected !!