Tuesday , 21 May 2024

Month: March 2024

Habari za SiasaTangulizi

Samia: Mwinyi alikuwa maktaba inayotembea

Rais Samia Suluhu hassan amesema Hayati rais mstaafu, Ali Hassan Mwinyi alikuwa ni maktaba inayotembea na iliyosheheni vitabu vyenye mafunzo ya uadilifu, uzalendo,...

Biashara

Sloti ya Most Wanted ndani ya Meridianbet kasino, inakupa shindi x 200

TUNAKULETEA mchezo mpya wa kasino Mtandaoniunaoendelea katika Magharibi ya Kusini. Na katika mchezohuu, msako umetangazwa, lakini si kwa vichwavilivyotekwa, bali kwa bonasi za kasino...

Michezo

Usikubali kupitwa ODDS KUBWA zipo Meridianbet pekee, bashiri sasa

  LIGI mbalimbali duniani leo hii zinaendelea huku kwa upande wa Meridianbet wao wameshakuwekea machaguo ambayo unayapenda. Kila timu inataka ushindi kujiweka kwenye...

Michezo

Ligi ya Mabingwa Afrika kuunguruma tena leo 

  LIGI ya Mabingwa Afrika kuendelea leo na michezo kadhaa inakwenda kupigwa katika viwanja mbalimbali, Huku ikiwa ni michezo ya mwisho ya kumaliza...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

TEF yaomboleza kifo cha Mzee Mwinyi

Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) limeeleza kupokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha Rais mstaafu wa Awamu ya Pili wa Tanzania, Ali Hassan...

Habari za SiasaTangulizi

Kikwete: Mwinyi alinianzishia safari yangu ya kisiasa

RAIS Mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete amesema atamkumbuka na kumshukuru Hayati Ali Hassan Mwinyi kwakuwa ndiye aliyemuanzishia safari yake ya kisiasa...

Habari za Siasa

Mzee Mwinyi alivunja baraza la mawaziri mara 2

RAIS Mstaafu Jakaya Kikwete amesema atamkumbuka  Hayati Ali Hassan Mwinyi kwa kuwa kiongozi msikivu na mwenye maamuzi magumu. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea)....

Habari za SiasaTangulizi

Mzee Warioba aeleza Mwinyi alivyoivusha nchi katika magumu

WAZIRI Mkuu mstaafu, Jaji Joseph Warioba, amesema Hayati Mzee Ali Hassan Mwinyi, aliikuta nchi katika kipindi kigumu cha kiuchumi na kisiasa, lakini alifanikiwa...

Habari za Siasa

Dk. Mpango ataka vijana kufuata nyayo za Mzee Mwinyi

MAKAMU wa Rais, Dk. Phillip Mpango, amesema Hayati Ali Hassan Mwinyi, alikuwa na karama ya uongozi na kwamba viongozi vijana wanapaswa kuiga mfano...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe: Mwinyi chanzo cha mageuzi

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia, Freeman Mbowe amesema huwezi kuliacha jina la Ally Hassan Mwinyi unapotaja mageuzi nchini. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea)....

AfyaHabari Mchanganyiko

Maambukizi ya UKIMWI Lindi yapungua

Maambukizi ya Virusi vya UKIMWI yamepungua katika Manispaa ya Mkoa wa Lindi kutoka asilimia mbili hadi asilimia 1.7 mwaka 2023 hali ambayo imewezesha...

Habari za Siasa

“Viongozi wa dini ndio wanafanya nchi itawalike”

MCHANGO wa viongozi wa dini katika kuwashauri na kuwasimamia viongozi wa Serikali na kisiasa, ndiyo unaofanya nchi itawalike kwa amani. Anaripoti Mwandishi Wetuy,...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Kikwete afunguka kifo cha Mzee Mwinyi

RAIS Mstaafu, Dk. Jakaya Kikwete, amesema amepokea kwa mshtuko kifo cha aliyekuwa Rais wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi, kwa kuwa alikuwa...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Mgomo kitita kipya cha NHIF: Serikali yaita hopsitali binafsi mezani

SERIKALI imekiita mezani Chama cha Wenye Hospitali Binafsi (APHFTA), ili kutafuta suluhu ya mvutano wao kuhusu matumizi ya kitita kipya cha gharama za...

Habari za Siasa

Wapinzani wamlilia Rais Mwinyi

VYAMA vya siasa nchini Tanzania, vimetuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha Rais Mstaafu, Ali Hassan Mwinyi, kilichotokea tarehe 29 Februari 2024, akipatiwa...

Habari za Siasa

Wananchi Dar watakiwa kujitokeza barabarani kumuaga Hayati Mwinyi

WANANCHI wasiokuwa na muda wa kwenda katika Uwanja wa Uhuru, jijini Dar es Salaam kuuaga mwili wa aliyekuwa Rais wa Awamu ya Pili...

Biashara

Expanse yashusha chuma hiki hapa “Super Heli” ndani ya Meridianbet kasino

Expanse Studios ina mchezo mpya wa kasino mtandaoni utakaoupenda! Unaitwa Super Heli! Mbingu ni kikomo lakini ushindi hauna kikomo ukiwa na Meridianbet, na...

Habari za SiasaTangulizi

Mwili wa Hayati Mwinyi kuagwa leo saa 8 Uwanja wa Uhuru

MWILI wa Rais Mstaafu, Ali Hassan Mwinyi unatarajiwa kuagwa kuanza leo Ijumaa saa nane katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Anaripoti...

error: Content is protected !!