Friday , 19 April 2024
Home Kitengo Michezo Ligi ya Mabingwa Afrika kuunguruma tena leo 
Michezo

Ligi ya Mabingwa Afrika kuunguruma tena leo 

Spread the love

 

LIGI ya Mabingwa Afrika kuendelea leo na michezo kadhaa inakwenda kupigwa katika viwanja mbalimbali, Huku ikiwa ni michezo ya mwisho ya kumaliza hatua ya makundi ya michuano hiyo.

Michrzo ambayo itachukua nafasi leo ni kutoka kundi D ambapo vinara wa kundi hilo klabu ya Al Ahly kutoka nchini Misri itashuka dimbani kuikaribisha klabu ya Yanga, Huku klabu ya CFR Belouzdad wakiwa nyumbani nchini Algeria kumenyana na klabu ya Medeama kutoka nchini Ghana.

Kundi hili tayari limeshapa wawakilishi wa Robo fainali ya michuano hiyo kwani mchezo utakaopigwa nchini Algeria hautaathiri chochote katika msimamo wa kundi hilo, Huku mchezo utakaotupiwa macho ni ule utakaopigwa pale Cairo nchini Misri.

Mchezo utakaopigwa pale Cairo baina ya Al Ahly dhidi ya mabingwa wa Tanzania klabu ya Yanga ambapo mchezo huu ndo utatoa taswira ya nani atakwenda kuongoza kundi D, Kwani mpaka sasa Ahly wana alama 9 ambapo klabu ya Yanga wao wana alama 8.

Suka mkeka wako kwenye michezo mikali itakayopigwa leo kwenye ligi ya mabingwa Afrika, Machaguo zaidi za 1000 yapo huku lakini vile vile Turbo Cash pia ipo. Unasubiri nini sasa? Ingia meridianbet na ubashiri sasa.

Klabu ya Yanga wakifanikiwa kupata matokeo ya ushindi leo ugenini ni wazi watakua na alama 11 na kukwea kileleni mwa msimamo wa kundi hilo, Huku wakiwaacha Al Ahly wakibaki na alama zao 8 lakini wakati huo huo matokeo ya ushindi au sare kwa Al Ahly yatakua faida kwao kwani wataendelea kukaa kileleni mwa msimamo.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Michezo

Leo ni leo nani kutinga nusu fainali UEFA?

Spread the love HATIMAYE Jumanne ya UEFA imefika ambapo leo hii michezo...

Michezo

Anza Jumatatu yako na Meridianbet

Spread the love  IKIWA ni siku nyingine mpya kabisa ya Jumatatu baadhi...

Habari MchanganyikoMichezo

NBC, Yanga wazindua kadi  za kimataifa za uanachama

Spread the loveBenki ya Taifa ya Biashara (NBC) kwa kushirikiana na Klabu...

Michezo

TFF, Amrouche ngoma nzito

Spread the loveVIPENGELE vya mkataba wa kazi aliotia saini Kocha Mkuu wa...

error: Content is protected !!