KIKOSI kazi cha kukusanya maoni ya wadau wa demokrasia ya vyama vingi nchini Tanzania, kimependekeza hatua sita zitakazosaidia mchakato wa kupata Katiba mpya...
By Mwandishi WetuOctober 21, 2022TOFAUTI na masuala mengine yaliyofanyiwa kazi na Kikosi Kazi cha kukusanya maoni ya wadau wa demokrasia ya vyama vingi, suala la Katiba limetajwa...
By Jonas MushiOctober 21, 2022HATIMAYE Kikosi Kazi cha kukusanya maoni ya wadau wa demokrasia ya vyama vingi nchini Tanzania kilichoundwa na Rais Samia Suluhu Hassan kimeitimisha kazi...
By Jonas MushiOctober 21, 2022ZIMBABWE imekuwa nchi ya kwanza barani Afrika na ya tatu duniani kuidhinisha dawa ya kuzuia VVU iliyopendekezwa hivi karibuni na Shirika la Afya...
By Mwandishi WetuOctober 20, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan, amesema kesho Ijumaa, tarehe 21 Oktoba 2022, atapokea ripoti ya kikosi kazi alichokiunda kuratibu maoni ya wadau wa...
By Regina MkondeOctober 20, 2022MBALI na huduma za viwango vya kifalme, wateja wa Benki ya NMB wamekiri kuvutiwa na mafanikio yake kiutendaji hasa kasi ya ukuaji wake...
By Gabriel MushiOctober 20, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan amemteua Prof Said Shehe Aboud kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR). Anaripoti...
By Mwandishi WetuOctober 20, 2022Waziri Mkuu wa Uingereza, Liz Truss leo tarehe 20 Oktoba, 2022 amejiuzulu uongozi wa chama cha Conservative na uwaziri mkuu baada ya...
By Mwandishi WetuOctober 20, 2022MKUU wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Camilius Wambura amewahamisha baadhi ya makamanda wa Polisi kutoka katika nafasi zao na kuwapangia sehemu...
By Mwandishi WetuOctober 20, 2022WADAU wa tasnia ya habari Tanzania, wameshauri mchakato wa marekebisho ya sheria zinazosimamia vyombo vya habari, ukamilike ili kukidhi dhamira ya Rais...
By Regina MkondeOctober 20, 2022WANACHAMA wa Chama cha Wafanyakazi wa Vyombo vya habari Tanzania (JOWUTA) wametakiwa kujitokeza kwa wingi kuwania nafasi za uongozi katika chama hicho...
By Mwandishi WetuOctober 20, 2022TAASISI ya Afrika ya Sayansi na Teknilojia ya Nelson Mandela,imefanikiwa kufanya utafiti na kuweza kugundua mfumo wa kubaini machapisho ya wizi ambao...
By Danson KaijageOctober 20, 2022CHINA imetajwa kuajiri makumi ya marubani wa zamani wa Jeshi la Anga la Kifalme la Uingereza kutoa mafunzo kwa wanajeshi wa Jeshi...
By Mwandishi WetuOctober 20, 2022VYOMBO vya habari nchini Tanzania, vimetajwa kuwa mlezi wa demokrasia na utawala Bora, endapo vitatekeleza majukumu yake kikamilifu. Anaripoti Regina Mkonde, Dar...
By Regina MkondeOctober 20, 2022Wakili Miguna Miguna, ambaye alifurushwa kutoka nchini Kenya tangu mwaka 2018, amewasili jijini Nairobi. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Dk. Miguna amewasili katika...
By Mwandishi WetuOctober 20, 2022IKIWA inaelekea ukiongoni, kampeni ya ugawaji wa madawati 1000 inayoendeshwa na benki ya Exim Tanzania katika mikoa mbalimbali nchini imeonesha mafanikio makubwa huku...
By Gabriel MushiOctober 19, 2022WALIMU saba na wafanyabiashara watatu wamefikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kujibu mashtaka matatu likiwemo la kuvujisha mtihani wa Taifa wa...
By Mwandishi WetuOctober 19, 2022SIKU moja baada ya Rais wa Uganda, Yoweri Museveni kuweka wazi kwamba atamlazimisha mwanaye Muhoozi Kainerugaba ambaye pia ni jenerali mkuu wa...
By Mwandishi WetuOctober 19, 2022SHIRIKA lisilo la kiserikali linashughulika na masuala ya msaada wa kisheria nchini, Legal Service Facility (LSF)kwa kushirikiana na wadau wa sekta hiyo zaidi...
By Mwandishi WetuOctober 19, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan amepongeza wasanii wawili wa sarakasi kutoka Tanzania, Ibrahim na Fadhili Ramdhan wanaounda kundi la The Ramadhan Brothers baada...
By Mwandishi WetuOctober 19, 2022ASKOFU maarufu anayeongoza kanisa moja lililo ndani ya mtaa wa Kibera nchini Kenya amepandishwa kizimbani katika mahakama ya Kibera kwa mashtaka ya...
By Mwandishi WetuOctober 19, 2022WATU wanne wamekamatwa jana tarehe 18 Oktoba, 2022 baada ya kupatikana na simu ya mkononi ya Daniel Musyoka – Ofisa wa Tume Huru...
By Mwandishi WetuOctober 19, 2022WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali ya awamu ya sita haitawatupa wakulima wa tumbaku na amewataka waongeze uzalishaji kwani soko la uhakika lipo....
By Mwandishi WetuOctober 19, 2022MALKIA wa Uholanzi, Malkia Maxima amewasili Jijini Dar es Salaam akitokea mkoani Kilimanjaro ambapo alianzia ziara yake jana tarehe 17 Oktoba 2022 baada...
By Mwandishi WetuOctober 18, 2022KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka amesema Mwenyekiti wa CCM na Rais Tanzania,...
By Mwandishi WetuOctober 18, 2022MABADILIKO ya tabia nchi, yameua mifugo na wanyamapori zaidi ya 38,720 kwa kukosa maji na malisho, wilaya ya Longido mkoa wa Arusha....
By Mwandishi WetuOctober 18, 2022MARA baada ya kuangukia kwenye michuano ya kombe la Shirikisho, klabu ya soka ya Yanga imepangwa kumenyana dhidi ya Club Africain ya...
By Masalu ErastoOctober 18, 2022RAIS wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amesema Serikali yake inataka kuurejesha Mkoa wa Kigoma katika hadhi ya kitovu cha biashara kwa kufungua...
By Mwandishi WetuOctober 18, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan, amesema Serikali yake inataka kuifanya Tanzania kuwa kituo cha matibabu ya afya ya kibingwa kwa nchi inazopakana nazo. Anaripoti...
By Mwandishi WetuOctober 18, 2022WAANDISHI wa Habari nchini Tanzania wamepewa wito wa kuishawishi jamii na kuondosha dhana potofu juu ya chanjo ya Ugonjwa wa uviko -19....
By Faki SosiOctober 18, 2022MSEMAJI Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amesema,uamuzi wa Serikali kuja na sheria ya Bima ya Afya kwa wote una lengo la kuhakikisha kila...
By Danson KaijageOctober 18, 2022Serikali inatarajia kuanzisha mfuko maalum kwa ajili ya kuwezesha wasanii wote nchini kupata fursa ya kukopa bila riba na kujikwamua kiuchumi pamoja...
By Faki SosiOctober 18, 2022MSHAMBULIAJI hatari raia wa Ufaransa, Karim Benzema anayekipiga katika Klabu ya Real Madrid ya nchini Uhispania, ametwaa tuzo ya mchezaji soka bora...
By Mwandishi WetuOctober 18, 2022WAFANYABIASHARA 15 ambao ni Wanachama wa Klabu za Biashara za Benki ya NMB (NMB Business Club), wameagwa jijini Dar es Salaam leo asubuhi...
By Gabriel MushiOctober 17, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan amesema shughuli za kuleta maendeleo katika nchi ni hatua na kuwahakikishia wale ambao bado hawajafikiwa na huduma mbalimbali kuwa...
By Mwandishi WetuOctober 17, 2022MCHUNGAJI wa Kanisa la Calvary Assemblies of God ameiangukia Serikali na kuiomba iwasaidie kudhibiti watu wenye nia ovu ya kutaka kuondolewa kwa kanisa...
By Mwandishi WetuOctober 17, 2022MTOTO wa Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, Muhoozi Kainerugaba amezua mjadala mpya nchini Uganda kwa kudai kuwa ndiye rais anayefuata wa nchi...
By Mwandishi WetuOctober 17, 2022WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema kitendo cha chama cha upinzani Chadema, kuanzisha mfumo wa usajili wanachama...
By Mwandishi WetuOctober 17, 2022WAKATI vita kati ya Urusi na Ukraine ikiendelea kupamba moto, Taifa la Ufaransa limetangaza kuanza kuwapa mafunzo maalumu wanajeshi 2,000 wa Ukraine...
By Mwandishi WetuOctober 17, 2022MTENDAJI Mkuu wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA), Mhandisi Victor H. Seff amemuondoa kwenye majukumu yake aliyekuwa Meneja wa...
By Mwandishi WetuOctober 17, 2022WAZAZI wameshauriwa kufuatilia kwa karibu maendeleo ya watoto wao kitaaluma na tabia ili waweze kufanya vizuri kwenye mitihani huku shule ya St Mary’s...
By Mwandishi WetuOctober 17, 2022MKAGUZI Mkuu wa Ndani wa Benki ya NMB, Benedicto Baragomwa alikuwa miongoni mwa viongozi walioshiriki kilele cha mbio za mwenge kitaifa 2022, katika...
By Gabriel MushiOctober 16, 2022WAFANYAKAZI wa Benki ya NMB nchini Tanzania wamefanikiwa kupanda na kusimika bendera ya taasisi hiyo kwenye kilele cha Mlima Kilimanjaro kama sehemu ya...
By Gabriel MushiOctober 16, 2022HIFADHI ya Taifa ya Serengeti imeshinda tuzo ya Hifadhi bora zaidi barani Afrika 2022 ikiwa ni mara ya nne mfululizo baada ya kushinda...
By Mwandishi WetuOctober 16, 2022KATIBU wa Itikadi na Uenezi CCM Taifa Shaka Hamdu Shaka amesema Rais Samia Suluhu Hassan ni ‘pumzi mpya’ ya maendeleo nchini. Anaripoti Mwandishi...
By Gabriel MushiOctober 16, 2022WAZIRI Mkuu wa Uingereza, Liz Truss amemfuta kazi waziri wake wa fedha, Kwasi Kwarteng, muda mfupi kabla ya kiongozi huyo kupanga kuachana...
By Mwandishi WetuOctober 14, 2022SERIKALI Visiwani Zanzibar, imeanza uchunguzi wa chanzo cha vifo vya kaa chanje, walioonekana katika fukwe mbalimbali zilizopo katika kisiwa cha Unguja. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuOctober 14, 2022MWENGE wa Uhuru wa mwaka 2022 imefanikiwa kurejesha Sh 2.2 bilioni za mfuko wa maendeleo ya vijana ambazo zilikuwa zimekusanywa na Halmashauri na...
By Mwandishi WetuOctober 14, 2022WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Watu Wenye Ulemavu, Prof. Joyce Ndalichako, ameziweka hadharani Halmashauri 43 ambazo zimekutwa...
By Mwandishi WetuOctober 14, 2022SHIRIKA la Petroli Tanzania (TPDC) limesema kuanza kutumika kwa gesi asilia kuzalisha umeme badala ya mafuta mazito, kumeokoa zaidi ya Sh trilioni 40...
By Gabriel MushiOctober 13, 2022