Monday , 6 May 2024
Home Habari Mchanganyiko Rais Samia ateua Mkurugenzi Mkuu NIMR
Habari Mchanganyiko

Rais Samia ateua Mkurugenzi Mkuu NIMR

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan
Spread the love

 

RAIS Samia Suluhu Hassan amemteua Prof Said Shehe Aboud kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR). Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).

Prof. Aboud ni Profesa Mshiriki na Kaimu Mkurugenzi wa Mipango, Fedha na Utawala, Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS), Dar es Salaam.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo tarehe 20 Oktoba, 2022 na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Zuhura Yunus imesema Prof. Aboud anachukua nafasi ya Prof. Yunus Mgaya amemaliza muda wake mwezi Septemba, 2022.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari Mchanganyiko

Mahakama yatoa uamuzi zuio dhidi ya Club House

Spread the loveMAHAKAMA Kuu ya Tanzania, Masjala Kuu jijini Dar es Salaam,...

Habari Mchanganyiko

GGML, OSHA yawanoa bodaboda 200 Arusha

Spread the loveZAIDI ya madereva bodaboda 200 wa jiji la Arusha wamepatiwa...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Serikali kuwakopesha wajasiriamali 18.5bn/- kupitia NMB

Spread the loveSerikali imetenga kiasi cha Sh 18.5 bilioni kwa ajili ya...

AfyaHabari Mchanganyiko

Huduma za kibingwa zazinduliwa katika hospitali za halmashauri 184

Spread the loveSERIKALI imezindua huduma za matibabu za kibingwa katika hospitali 184...

error: Content is protected !!