Sunday , 19 May 2024
Home Kitengo Biashara Cheza kwa kuanzia Sh 400 kushinda mgao wa Expanse Tournament kasino 
Biashara

Cheza kwa kuanzia Sh 400 kushinda mgao wa Expanse Tournament kasino 

Spread the love

 

UKISIKIA bosi kacheka ujue Maokoto yanafuatia, Kupitia promosheni pendwa ya Expanse iliyopo Meridianbet Kasino ya Mtandaoni unaweza kujishindia zawadi kibao, cha kufanya Jisajili Meridianbet kisha cheza shindano la Expanse ushinde.

Mtoa huduma wa michezo ya kasino ya mtandaoni Expanse Studio anashirikiana na Meridianbet kuwaletea shindano kubwa la zawadi, mgao wa Mamilioni unakusubiri, kwa kucheza michezo ya sloti na kasino ya Mtandaoni unajiweka kwenye nafasi ya kushinda, cheza kwa dau la kuanzia ni Tsh 400/=

Kanuni za shindano la Expanse Kasino ya mtandaoni

Promosheni hii imeanza 04.05. 2024 hadi Mei 17 ambapo bonasi za kasino zitagawiwa kwa washindi watakaokuwa wanatangazwa kila siku, baada ya kucheza moja kati ya michezo ya kasino ya mtandaoni iliyopo Meridianbet kutoka Expanse studio.

Promosheni ni halali kwa wachezaji waliosajiliwa kwenye APP na tovuti ya meridianbet.co.tz

Promosheni itafanyika katika mtindo wa mashindano kwa wachezaji kwenye sloti zinazotolewa na Expanse Studio. Michezo ya kasino ya mtandaoni itakayotumika wakati wa promosheni ni:

  • Battle of Egypt
  • Forest Rock
  • Fortune Farm
  • Lucky’s Betting Shop
  • Maya’s Treasure
  • Piggy Party
  • Spinning Buddha
  • Sticky 777
  • The Book of Eskimo
  • Veni Vidi Vici
  • Wild Corrida
  • Zombie Apocalypse
  • Battle for the Throne
  • Bounty Hunters
  • Capital City Derby
  • Casino Heist
  • Fairy in Wonderland
  • Odd One Out
  • Planet Power
  • Shaolin Crew

Wachezaji watashindana kwa mfumo wa pointi ambapo kila dau la jumla ya TZS 2,500 litatoa pointi 2.  Dau la chini kwa kila mzunguko kwa promosheni hii ni TZS 400.

Kulingana na msimamo wa mwisho, wachezaji 40 watazawadiwa pesa taslimu na mizunguko ya bure kucheza kwenye kasino ya mtandaoni kama ifuatavyo:

    • Nafasi ya 1 – TSH 2,500,000
    • Nafasi ya 2 – TSH 1,500,000
    • Nafasi ya 3 – TSH 500,000
    • Nafasi ya 4 na 5 – TSH 250,000 kila mmoja
    • Nafasi ya 6 mpaka 10 – Mizunguko 300 ya bure kwenye sloti ya PIA
    • Nafasi ya 11 mpaka 20 – Mizunguko 200 ya bure kwenye sloti ya PIA
    • Nafasi ya 21. mpaka 30 – Mizunguko 100 ya bure kwenye sloti ya PIA
    • Nafasi ya 31. mpaka 40 – Mizunguko 50 ya bure kwenye sloti ya PIA

Ushindi utakaotokana na Mizunguko ya bure utahitaji kuzungushwa mara 60x (kwa mfano, ukishinda TZS 10,000 kwenye Mizunguko ya bure, utahitaji kucheza TZS 600,000 kwenye mchezo uleule ili kuhamisha ushindi wako kwenye akaunti ya pesa halisi).

Taarifa kuhusu malipo ya juu kwa kila Kundi la Mizunguko ya bure, washindi watapokea taarifa ambayo itatumwa kwao si zaidi ya saa 13:00 AM tarehe 18.05.2024.

NB: Jisajili na Meridianbet na cheza michezo ya kasino ya mtandaoni upate ushindi kirahisi, Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Biashara

Meridianbet watoa msaada wa chakula Chamazi

Spread the love  JUMAMOSI ya leo Meridianbet wametua pale Chamazi Magengeni kwaajili...

BiasharaHabari Mchanganyiko

NMB ‘yafunga ndoa’ na wanawake wanaomiliki shule, vyuo Tanzania

Spread the loveBENKI ya NMB imeingia makubaliano rasmi (MoU) na Chama cha...

Biashara

Cheza kasino sloti ya Fruit O Rama malipo unayapata kwa njia 10

Spread the love Karibu kwenye burudani ya kasino ya mtandaoni isiyozuilikayenye kutawaliwa...

BiasharaHabari Mchanganyiko

NBC yazindua bima ya afya kwa wakulima

Spread the loveBenki ya Taifa ya Biashara (NBC) kwa kushirikiana na kampuni...

error: Content is protected !!