Friday , 19 April 2024
Home Kitengo Michezo Rais Samia awapongeza Ramadhan Brothers
Michezo

Rais Samia awapongeza Ramadhan Brothers

Spread the love

 

RAIS Samia Suluhu Hassan amepongeza wasanii wawili wa sarakasi kutoka Tanzania, Ibrahim na Fadhili Ramdhan wanaounda kundi la The Ramadhan Brothers baada ya kuibuka washindi kwenye shindano la Australia’s Got Talent mwaka 2022 nchini Australia na kuzawadiwa USD 100,000 (Tsh. Milioni 230+). Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).

Kupitia akaunti yake ya Twitter leo tarehe 19 Oktoba, 2022, Rais Samia ameandika; “Nawapongeza wanangu Ibrahim na Fadi (Ramadhan Brothers) kwa kipaji na ubunifu wenu wa kucheza sarakasi. Onesho lenu kupitia kipindi @GotTalentAU limeitangaza vyema nchi yetu ya Tanzania na nawatakia kheri katika kuendeleza sanaa yenu na kushiriki katika maonesho mbalimbali.”

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Michezo

Leo ni leo nani kutinga nusu fainali UEFA?

Spread the love HATIMAYE Jumanne ya UEFA imefika ambapo leo hii michezo...

Michezo

Anza Jumatatu yako na Meridianbet

Spread the love  IKIWA ni siku nyingine mpya kabisa ya Jumatatu baadhi...

Habari MchanganyikoMichezo

NBC, Yanga wazindua kadi  za kimataifa za uanachama

Spread the loveBenki ya Taifa ya Biashara (NBC) kwa kushirikiana na Klabu...

Michezo

TFF, Amrouche ngoma nzito

Spread the loveVIPENGELE vya mkataba wa kazi aliotia saini Kocha Mkuu wa...

error: Content is protected !!