Sunday , 19 May 2024
Home Habari Mchanganyiko Vigogo NMB ana kwa ana na mkimbiza mwenge 2022
Habari Mchanganyiko

Vigogo NMB ana kwa ana na mkimbiza mwenge 2022

Spread the love

MKAGUZI Mkuu wa Ndani wa Benki ya NMB, Benedicto Baragomwa alikuwa miongoni mwa viongozi walioshiriki kilele cha mbio za mwenge kitaifa 2022, katika uwanja wa Kaitaba Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea).

Mbio hizo zilihitimishwa Oktoba 14, 2022 na mgeni rasmi alikuwa Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan.

Katika uwanja huo, Baragomwa akiwa na Meneja wa NMB kanda ya Ziwa Baraka Ladislaus kwa pamoja walipata fursa ya kuteta na Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka 2022, Sahili Nyanzabara Geraruma kwenye maadhimisho ya kilele cha mbio za Mwenge huo katika uwanja wa Kaitaba Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

CCM yamteua Pele kuwa mgombea ubunge Kwahani

Spread the loveKamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Canada yatenga bilioni 38 kutekeleza mradi ya kuinua vijana TZ

Spread the loveSERIKALI ya Canada kupitia ‘CARE International Canada’ imetenga takribani Sh...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Ujenzi kituo cha kupoza umeme Chalinze wafikia asilimia 93.7

Spread the loveKamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imeeleza...

Habari Mchanganyiko

Balile ateuliwa rais wa wahariri Afrika Mashariki

Spread the loveJumuiya ya Wahariri wa Afrika Mashariki (EAES), imemchagua Mwenyekiti wa...

error: Content is protected !!