Wednesday , 22 May 2024

Month: January 2021

KimataifaTangulizi

Trump alivyowaaga Wamarekani

DONALD Trump, ametoa hotuba yake ya mwisho akiwa Rais wa Marekani akisema, “Tumefanya kile ambacho tulikuja kukifanya na tumefanya mambo mengine mengi.” Inaripoti...

Habari za Siasa

Zao la mkonge, Majaliwa atoa maagizo

WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, ameziagiza Halmashauri zinazolima mkonge nchini pamoja na wakulima wakubwa wa mkonge, watenge ekari kumi kwa akili ya...

Habari Mchanganyiko

Polisi ajinyoga ndani mwake

ASKARI wa Kituo cha Polisi Kibaha mkoani Pwani, Yusuph Mohamed Said (52), amekutwa amejinyonga nyumbani kwake. Anaripoti Mwandishi Wetu, Pwani … (endelea).  Taarifa...

Michezo

Kipigo cha bao 2 – 0, chaifanya Stars kuweka rekodi CHAN

BAADA ya kukubali kipigo cha mabao 2 – 0, dhidi ya Zambia kwenye michuano ya kombe la Mataifa Afrika, Timu ya Taifa ya...

AfyaHabari za Siasa

Waziri Gwajima asimamisha watano Ukerewe

WAZIRI wa Afya nchini Tanzania, Dk. Dorothy Gwajima, amewasimamisha watumishi watano wa Hospitali ya Wilaya ya Nansio Ukerewe jijini Mwanza, kupisha uchunguzi wa...

Habari Mchanganyiko

Mafunzo ya kujitolea JKT 2020/21 yasitishwa

JESHI la Kujenga Taifa (JKT) nchini Tanzania, limesitisha mafunzo ya JKT kundi la kujitolea kwa mwaka 2020-2021. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea)....

Makala & UchambuziMichezo

Namungo wametushangaza, ila Manyama ameshangaza zaidi

DIRISHA dogo la usajili kwa klabu za Ligi Kuu Tanzania Bara na ligi daraja la kwanza, limefungwa tarehe 15 Januari 2021, huku baadhi...

Habari za SiasaTangulizi

Kampuni ya LZ Nickel yafuatayo nyayo za Barrick

KAMPUNI ya LZ Nickel Limited ya nchini Uingereza, imefuata nyayo za Kampuni ya Madini ya Barrick Gold Corparation, kwa kuingia ubia na Serikali...

Habari za Siasa

Mgodi wa Buzwagi kufufuliwa upya

PAMOJA na mmiliki wa sasa wa mgodi wa dhahabu wa Buzwagi, kampuni ya Acacia  Mining, kutangaza kutaka kufunga mgodi wake, serikali ya Tanzania...

Habari za SiasaTangulizi

‘Kada wa Chadema’ akabidhiwa na CCM kuongoza Kamati ya Bunge ya PAC

HATIMAYE Naghenjwa Kaboyoka, aliyekuwa mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), amerejeshwa tena kuongoza nafasi hiyo. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma...

Michezo

Taifa Stars kibaruani CHAN dhidi ya Zambia

TIMU ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ leo kwa mara ya kwanza itashuka dimbani dhidi ya Zambia, katika michuano ya kombe la mataifa...

Habari Mchanganyiko

Jaji Mkuu Tanzania atoa mwelekeo matumizi ya Kiswahili mahakamani

JAJI Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Juma, ameagiza mahakimu na majaji kuanza kutoa muhtasari wa hukumu kwa lugha ya Kiswahili, kuanzia Februari 2021....

Habari za SiasaTangulizi

CCM yampa uongozi wa LAAC aliyefukuzwa Chadema

ALIYEKUWA katibu mkuu wa Baraza la Wanawake la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha), nchini Tanzania, Grace Tendega, amechaguliwa kuwa mwenyekiti wa Kamati...

Kimataifa

Bobi Wine kumpinga Museven mahakamani

KIONGOZI wa Chama cha upinzani nchini Uganda cha National Unity Party (NUP), Robert Kyagulanyi maarufu Bobi Wine amesema, atakwenda mahakamani kupinga matokeo yaliyompa...

Michezo

Ozil kuungana na Samatta

ALIYEKUWA kiungo wa klabu ya Arsenal na timu ya Taifa ya Ujeruman, Mesut Ozil amejiunga na klabu ya Fenerbahce ambayo anakipiga mtanzania Mbwana...

Habari za Siasa

Magufuli: Vyuo vya ufundi kujengwa kila mkoa

SERIKALI ya Tanzania, imeahidi kujenga vyuo vya ufundi stadi vitakavyokuwa chini ya Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA), katika kila...

MichezoTangulizi

Messi aoneshwa kadi nyekundu ya kwanza

MSHAMBULIAJI na Nahodha wa timu ya FC Barcelona, Lionel Messi ameoneshwa kadi nyekundu kwa mara ya kwanza tangu alipoanza kuitumikia klabu hiyo kwenye...

Habari za SiasaTangulizi

Magufuli awaweka mtegoni RC Dar, DC Ubungo na DED

RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli, ameutaka uongozi wa Mkoa wa Dar es Salaam, kuhakikisha inamaliza tatizo la wanafunzi wa Shule ya Msingi,...

Habari za Siasa

Magufuli amtumbua kigogo tume ya ardhi

RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli, ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Matumizi ya Ardhi, Dk. Steven Nindi. Anaripoti...

Makala & Uchambuzi

Amani Karume: Asimulia Mapinduzi ya Zanzibar na kusema: Mzee Karume alikuwepo Zanzibar usiku wa Mapinduzi 

MTOTO wa kwanza wa mwasisi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Sheikh Abeid Aman Karume amesema, baba yake, alikuwapo Zanzibar, usiku wa kuamkia...

Habari za SiasaTangulizi

NCCR- Mageuzi yafanya mabadiliko ya uongozi

CHAMA cha NCCR- Magezi, nchini Tanzania, kimefanya mabadiliko makubwa katika uongozi wake wa kitaifa. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Katika mabadiliko hayo, Martha Chiomba, ambaye alikuwa...

Habari za Siasa

Ya Lema yamkuta Gambo

MRISHO Gambo, Mbunge wa Arusha Mjini anapiga yowe kwamba, anahujumiwa na baadhi ya viongozi wa Serikali ya Chama Chama Mapinduzi (CCM). Anaripoti Mwandishi Wetu,...

Habari za Siasa

Hospitali ya Uhuru yapokea wagonjwa wa nje

HOSPITALI ya Uhuru, Dodoma inayojengwa kwa gharama ya Sh. 3.9 Bilioni, imeanza kutoa huduma kwa wagonjwa wa nje. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma…(endelea). Kauli hiyo imetolewa...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Magufuli aeleza corona ilivyo fursa

RAIS John Magufuli amewataka Watanzania, kulima mazao hasa ya chakula, ili kuzisaidia nchi ambazo zinashindwa kulima kutokana na kufungiwa ndani, kujikinga na maambukizi...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Mwinyi, Maalim Seif ni ‘kazi kazi’ Z’bar

KAZI ya kumwaga sumu ya ubaguzi miongoni mwa Wazanzibari, inayofanywa na Dk. Hussein Ali Mwinyi, Rais wa Zanzibar na makamu wake wa kwanza...

Habari Mchanganyiko

Msanii C-Pwaa hatunaye

MSANII wa Bongo Fleva, Ilunga Khalifa ‘C-Pwaa’ amefariki dunia usiku wa kuamkia leo tarehe 17 Januari 2021. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea). C-Pwaa...

Habari za SiasaTangulizi

‘Tulizeni akili, mtanunua makaburi Dodoma’

JOSEPH Mafuru, Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma, amewataka wananchi wanaokwenda kununua ardhi jijini humo kutuliza akili, vinginevyo watanunua sehemu zilizotengwa kwa ajili ya...

Habari Mchanganyiko

Majaliwa aitaka KKKT ikamilishe masharti ya TCU

WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameutaka uongozi mpya wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Kaskazini Mashariki inayomiliki Chuo...

Michezo

Wabunge kuminyana uchaguzi Simba

KAMATI ya uchaguzi ya klabu ya Simba imewapitisha Juma Nkamia na Murtaza Mangungu kuwania nafasi ya Mwenyekiti katika uchaguzi mdogo wa klabu hiyo...

Habari za SiasaTangulizi

Mbatia: Katiba mpya ni lazima, hatutapiga magoti

CHAMA cha siasa cha upinzani nchini Tanzania, NCCR-Mageuzi “Katiba Mpya ni takwa la lazima kwa Watanzania, penda usipende.” Anaripoti Hamis Mguta, Dar es...

Habari Mchanganyiko

DPP awafungulia kesi ya uhujumu uchumi askari watatu

SERIKALI ya Tanzania, imekusudia kuwafungulia mashtaka ya uhujumu uchumu askari watatu wa Wanyama Pori kwenye Pori tengefu la Kilombero, Mkoa wa Morogoro. Anaripoti...

Michezo

Mshambuliaji wa Burundi afunga usajili Yanga

KUELEKEA kufungwa kwa dirisha dogo la usajili, klabu ya Yanga imefanikiwa kumsajili mshambuliaji wa kimataifa kutoka Burundi, Fiston Abdul Razak ili kuongeza nguvu...

Michezo

FC Platinum yabariki usajili wa Chikwende Simba

KLABU ya FC Platinum inayoshiriku Ligi Kuu nchini Zimbabwe imethibitisha kuwa imefikia makuabaliano na Simba kuhusu uhamisho wa kiungo wao mshambuliani Perfect Chikwende....

Habari za Siasa

Utumbuaji sasa wapiga hodi kwa vikosi vya SMZ

MAOFISA kadhaa wa ngazi ya juu, kutoka vikosi vya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), wamesimamishwa kazi kwa tuhuma za matumizi mabaya ya ofisi...

Habari za Siasa

Mhagama ataka ripoti mabaraza ya kazi

JENISTA Mhagama, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Sera, Ajira, Vijana na Wenye ulemavu amemwagiza Msajili wa Vyama vya Wafanyakazi na...

ElimuTangulizi

Taswira ya matokeo kidato cha nne 2020  

BARAZA Mitihani la Tanzania (Necta), limetangaza matokeo ya mthani wa kidato cha nne, uliofanyika mwaka 2020. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam …...

Kimataifa

Bobi Wine apinga matokeo, ajiita rais mteule

ROBERT Kyagulanyi maarufu Bobi Wine, amepinga matokeo yaliyotangazwa na Tume ya Uchaguzi ya Uganda mpaka sasa akidai hila zimefanyika. Inaripoti mitandao ya kimataifa...

Elimu

Wanafunzi 215 wafutiwa matokeo, 252… 

BARAZA Mitihani la Tanzania (Necta), limefuta matokeo yote ya watahiniwa 215, waliofanya udanganyifu katika mitihani yao ya Taifa mwaka 2020. Anaripoti Regina Mkonde,...

ElimuHabari Mchanganyiko

Silinde amsimamisha mkuu wa shule, Takukuru yapewa kazi

NAIBU Waziri Ofisi ya Rais- Tamisemi, David Silinde amemsimamisha kazi Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Korona Jiji la Arusha,  Kashinde Mandari kwa...

Michezo

FCC bado yaikalia kooni Simba

TUME ya Taifa ya Ushindani (FCC) imetoa taarifa kwa umma juu ya kuendelea kufanya uchunguzi kuhusiana na mchakato wa mabadiliko ya uendeshaji wa...

Kimataifa

Uchaguzi Mkuu Uganda: Museveni aongoza

RAIS wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni, anaongoza katika matokeo ya awali ya kura zilizohesabiwa. Inaripoti mitandao ya kimataifa … (endelea). Mpaka kufika saa...

ElimuTangulizi

Matokeo darasa la nne 2020

BARAZA la Mitihani la Tanzania (NECTA), limetangaza matokeo ya mtihani wa darasa la nne uliofanyika 2020. MATOKEO YA DARASA LA NNE HAYA HAPA

Habari Mchanganyiko

Kitabu kinachoelezea utendaji wa Magufuli chazinduliwa

WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, amesema Serikali inaendelea na mapamba dhidi ya wala rushwa na haitawaacha salama viongozi wala rushwa na mafisadi...

ElimuTangulizi

Haya hapa matokeo kidato nne 2020

BARAZA la Mitihani la Tanzania (NECTA), limetangaza matokeo ya kidato cha nne uliofanyika Novemba 2020. MATOKEO YA KIDATO CHA NNE HAYA HAPA

ElimuTangulizi

Matokeo kidato cha pili 2020 haya hapa

BARAZA la Mitihani la Tanzania (NECTA), limetangaza matokeo ya kidato cha pili uliofanyika tarehe 23 Novemba hadi 11 Desemba 2020. MATOKEO YA KIDATO...

Habari Mchanganyiko

Bilioni 3 za Benki ya Dunia kujenga machinjio ya kisasa Dodoma

BENKI ya Dunia (WB), inatarajia kutoa kiasi cha Sh.3 bilioni kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa machinjio tatu za kisasa jijini Dodoma. Anaripoti...

Habari za Siasa

Profesa Jay: Mimi ni mbunge nje ya Bunge, Bob Wine… 

JOSEPH Haule, maarufu Profesa Jay amesema, yeye ni mbunge nje ya Bunge. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Amesema hayo leo...

Kimataifa

Uchaguzi Mkuu Uganda: Sanduku la kura laibwa

VITUKO vya Uchaguzi Mkuu nchini Uganda vinaanza kudhihiri, tayari sanduku moja la kura linaripotiwa kuibwa na kutokomea kusikojulikana. Inaripoti mitandao ya kimataifa …...

Habari za Siasa

CCM wabanana mbavu

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Iringa kimetengeneza utaratibu mpya wa kuwapima madiwani na wabunge wake. Anaripoti Mwandishi Wetu, Iringa … (endelea). Sasa...

Habari Mchanganyiko

Polisi watatu wasota kwa utakatishaji fedha

MAOFISA watatu wa Jeshi la Polisi mkoani Arusha na wafanyabiashara watano, wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya mkoani humo kwa makosa sita ikiwemo...

error: Content is protected !!