April 13, 2021

Uhuru hauna Mipaka

Uchaguzi Mkuu Uganda: Museveni aongoza

Yoweri Museveni

Spread the love

RAIS wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni, anaongoza katika matokeo ya awali ya kura zilizohesabiwa. Inaripoti mitandao ya kimataifa … (endelea).

Mpaka kufika saa 4 asubihi ya leo tarehe 15 Januari 2021, jumla ya vituo 8,310 vya kuhesabia kura kati ya 34, 684 tayari vimetoa matokeo.

Rais Museveni anatajwa kuongoza kwa kura 1,536,205 (65.02%), huku mshindani wake mkuu Robert Kyagulanyi (Bobi Wine) akipata kura 647,146 (27.39%).

 

error: Content is protected !!