RAIS wa Zanzibar, Hussein Mwinyi amesema, katika hatua anazochukua kuondoa ‘uchafu’ katika Serikali yake, ‘asiyekuwemo hatoingizwa.’ Anaandika Mwandishi Wetu, Zanzibar…(endelea). Akizungumza wakati wa...
By Mwandishi WetuJanuary 6, 2021MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) nchini Tanzania, imetangaza kupungua bei ya Petroli za rejareja kwa Sh.31, Dizeli ikipanda...
By Masalu ErastoJanuary 6, 2021YOWERI Kaguta Museveni, Rais wa Uganda, ameamua kumteua Brigedia Kayanja Muhanga, kusimamia masuala ya usalama wakati huu kuelekea uchaguzi mkuu nchini humo unaotarajiwa...
By Mwandishi WetuJanuary 6, 2021WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amezindua rasmi safari ya meli mpya ya MV Mbeya II itakayotoa huduma katika Ziwa Nyasa nchini na...
By Mwandishi WetuJanuary 6, 2021FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amewataka Watanzania waliosimama na upinzani katika uchaguzi mkuu uliopita mwaka 2020, wasiogope. Anaripoti Mwamdishi...
By Hamisi MgutaJanuary 5, 2021BEKI mwandamizi wa Azam FC, Aggrey Morris ametangaza rasmi kustaafu kuitumikia timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ akiwa na umri wa miaka...
By Kelvin MwaipunguJanuary 5, 2021MAMLAKA ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (Dawasa), imetangaza upungufu wa huduma ya maji kwa baadhi ya wananchi wa Jiji...
By Mwandishi WetuJanuary 5, 2021WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Dk. Damasi Ndumbaro, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika mchezo wa klabu bingwa barani Afrika, kati wenyeji Simba Sport...
By Kelvin MwaipunguJanuary 5, 2021HATUA ya Bernard Membe, aliyekuwa mshauri mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, kukitelekeza chama hicho, imekera viongozi wake. Anaripoti Brigthness Boaz, Dar es Salaam...
By Masalu ErastoJanuary 4, 2021SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limeridhia ombi la klabu ya Simba kuchezwa kwa mchezo wao dhidi ya FC Platinum kuchezwa majira...
By Kelvin MwaipunguJanuary 4, 2021RAIS anayeondoka mamlakani nchini Marekani, baada ya kushindwa uchaguzi mwezi uliyopita, Donald Trump, amedukuliwa kuwa alipanga njama za wizi wa kura. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuJanuary 4, 2021BAADA ya miezi tisa ya kufungwa kwa shule nchini Kenya, leo Jumatatu tarehe 4 Januari 2021, shule hizo zimefunguliwa na kuanza masomo. Inaripoti...
By Mwandishi WetuJanuary 4, 2021MWILI wa Rosemary, mtoto wa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere utazikwa Jumatano hii ya tarehe 6 Januari 2021, makaburi ya Kituo cha...
By Mwandishi WetuJanuary 4, 2021NYOTA Carlos Carlinhos moja kati ya wachezaji waliopo kwenye kikosi cha wachezaji 20 watakaokwenda kuiwakilisha klabu ya Yanga katika michuano ya Kombe la...
By Kelvin MwaipunguJanuary 4, 2021NAIBU Katibu Mkuu Wizara ya Maji nchini Tanzania, Mhandisi Nadhifa Kemikimba, ametoa siku 60 kwa mkandarasi SUMA JKT anayejenga tanki la maji eneo...
By Mwandishi WetuJanuary 4, 2021MAAMBUKIZO ya virusi vya corona (COVID-19) duniani, yamefikia milioni 85.5, waliopona milioni 60.4 na waliopoteza maisha milioni 1.8. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea)....
By Mwandishi WetuJanuary 4, 2021WATU watatu, wamefariki dunia na wengine 66, kujeruhiwa katika ajali ya treni iliotokea jana Jumamosi jioni tarehe 02 Januari 2021, maeneo ya Kigwe...
By Danson KaijageJanuary 3, 2021MAALIM Self Sharif Hamad, Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, ameeleza athari zinazotokana na siasa za mivutano. Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar …...
By Mwandishi WetuJanuary 2, 2021ROSEMARY Julius Nyerere, mtoto wa saba wa Mwalimu Julius Nyerere, Rais wa Kwanza Tanzania, amefariki dunia. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea). Taarifa...
By Mwandishi WetuJanuary 2, 2021VIDEO iliyowekwa na Chuo cha Darul Uloom Haqqania, Pakistan kwenye mitandao ya kijamii ikiwasifu wanamgambo wa Taleban, imeitia hasira Serikali ya Pakistan. Anaandika...
By Mwandishi WetuJanuary 2, 2021JAMES Mbatia, Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi amesema, uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 2020, umelivua nguo Taifa. Anaandika Yusuph Katimba, Dar es Salaam…(endelea). Katika...
By Yusuph KatimbaJanuary 2, 2021MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Bara nchini Tanzania, Tundu Lissu, amevishauri vyama vya siasa vya upinzani nchini humo, kutoshiriki...
By Mwandishi WetuJanuary 1, 2021ALIYEKUWA mgombea urais kupitia chama cha ACT Wazalendo, Bernard Membe ametangaza rasmi kujiuzulu uanachama na na nafasi ya mshauri mkuu wa chama hicho....
By Mwandishi WetuJanuary 1, 2021MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA), imeweka historia ya makusanyo ya mapato kwa Desemba 2020, kwa kukusanya Sh.2.088 trilioni. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es...
By Mwandishi WetuJanuary 1, 2021