May 26, 2022

Uhuru hauna Mipaka

Magufuli amtumbua kigogo tume ya ardhi

Rais John Magufuli

Spread the love

RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli, ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Matumizi ya Ardhi, Dk. Steven Nindi. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea).

Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi John Kijazi imeeleza, Rais Magufuli ametengua uteuzi huo kuanzia leo Jumapili tarehe 17 Januari, 2021.

Balozi Kijazi amesema, nafasi hiyo itajazwa baadaye.

Uteuzi

error: Content is protected !!