WAKATI kikosi cha Mabingwa wa kihistoria wa Ligi Kuu Tanzania Bara kikiingia kambini hii leo kujiandaa na michezo ya mzunguko wa pili...
By Kelvin MwaipunguJanuary 25, 2021WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameshiriki mazishi ya Mary Ndugai, dada wa Spika wa Bunge, Job Ndugai. Anaripoti Mwandishi Wetu, Mpwapwa...
By Mwandishi WetuJanuary 25, 2021TAARIFA kutoka vyanzo mbalimbali nchini Uingereza vinasema huwenda muda wowote klabu ya Chelsea ikamtimua kocha wake wa sasa Frank Lampard kufuatia matokeo...
By Kelvin MwaipunguJanuary 25, 2021JOYCE Singano, mwanasayansi na mtafiti, amekuwa Mwafrika wa kwanza kutwaa tuzo maarufu inayotolewa kwa wataalamu wa maiamba duniani ‘Brady Meda.’ Inaripoti mitandao...
By Masalu ErastoJanuary 25, 2021MAUZO ya mazao aina ya choroko, Soya, Ufuta, Mbaazi sasa yatauzwa kwa mfumo wa stakabadhi ghalani kama ilivyo zao la korosho. Anaripoti...
By Masalu ErastoJanuary 25, 2021KUELEKEA mchezo wa mwisho wa hatua ya makundi wa michuano ya Kombe la Mataifa Afrika kwa wachezaji wandani (CHAN), wachezaji watatu wa...
By Kelvin MwaipunguJanuary 25, 2021BAADA ya mapumziko ya siku 10, hatimaye kikosi cha Yanga kitaanza mazoezi leo kujiandaa na michezo ya Ligi Kuu Tanzania Bara kwa...
By Kelvin MwaipunguJanuary 25, 2021KATIKA kuchukua tahadhari dhidi ya kusambaa kwa maambukizo ya virusi vya corona (COVID-19), Sahle – Work Zewde, Rais wa Ethiopia amepimwa joto...
By Hamisi MgutaJanuary 25, 2021ANTHONY Mtaka, Mkuu wa Mkoa wa Simiyu (RC), amelalamikia hatua ya haki za raia kuanza kutoweka katika mikono ya Jeshi la Polisi....
By Mwandishi WetuJanuary 25, 2021ANKUNDA Muro, mama mzazi wa Mkuu wa Wilaya (DC) ya Arumeru jijini Arusha, Jerry Muro amefariki dunia jana Jumapili tarehe 24 Januari 2021,...
By Mwandishi WetuJanuary 25, 2021SERIKALI kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imeeleza kuumizwa na hatua ya askari wa ulinzi (SUMA – JKT)...
By Danson KaijageJanuary 24, 2021MAMA Samia Suluhu Hassan, Makamu wa Rais wa Tanzania amesema, amani inatokana na haki. Anaripoti Brightness Boaz … (endelea). Akizungumza wakati wa...
By Masalu ErastoJanuary 24, 2021JERRY Murro, Mkuu wa Wilaya ya Arumeru mkoani Arusha amesema, kijana Furahini Mbise, aliyekutwa amekufa katika Ofisi ya Mtendaji wa Kata ya...
By Mwandishi WetuJanuary 24, 2021KOCHA mpya wa timu ya Simba, Didier Gomes amesema kuwa ameifuatilia kwa karibu Ligi Kuu ya Tanzania Bara na kuwafahamu baadhi ya...
By Kelvin MwaipunguJanuary 24, 2021UONGOZI wa klabu Simba umemtambulisha, Didier Gomes raia wa Ufaransa kuwa kocha mpya wa klabu hiyo kwa mkataba wa miaka miwili. Anaripoti...
By Kelvin MwaipunguJanuary 24, 2021KASSIM Majaliwa, Waziri Mkuu wa Tanzania ametaka watu wanaosumbua wawekezaji kwa kuwaongezea gharama, waripotiwe. Anaripoti Mwandishi Wetu, Iringa…(endelea). Na kwamba, wawekezaji hao...
By Mwandishi WetuJanuary 24, 2021MARA baada ya kupoteza kwa bao 1-0, mbele ya Burnley, kocha wa Liverpool, Jurgen Klopp ataongoza kikosi chake kwenye Uwanja Old Trafford kuwakabili...
By Mwandishi WetuJanuary 24, 2021ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Daniel Ngoyi Mulunda, sasa yuko gerezani anakotumikia kifungo chake. Anaripoti...
By Mwandishi WetuJanuary 24, 2021KAMATI Nidhamu ya Klabu ya Simba ya Dar es Salaam, imemkuta na hatia kiungo wa klabu hiyo, Jonas Mkude ya utovu wa...
By Mwandishi WetuJanuary 24, 2021NAIBU Waziri Ofisi ya Rais- Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), David Silinde ameagiza halmashauri zote nchini Tanzania, kuhakikisha hakuna mwanafunzi...
By Hamisi MgutaJanuary 23, 2021ALIYEKUWA mgombea Udiwani wa Saranga Jimbo la Kibamba, Dar es Salaam kupitia NCCR-Mageuzi, Frank Rugwana ametangaza kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
By Hamisi MgutaJanuary 23, 2021BARAZA la Uuguzi na Ukunga Tanzania, limemwondoa kwenye orodha ya wauguzi na wakunga Tanzania, Valentine Kinyanga wa kituo cha afya Mazwi, Sumbawanga Mkoa...
By Hamisi MgutaJanuary 23, 2021WAZIRI wa Usafirishaji wa Zimbabwe, Joel Biggie Matiza, amefariki dunia jana Ijumaa tarehe 22 Januari 2021, katika Hospitali ya St. Anne Harare...
By Mwandishi WetuJanuary 23, 2021TIMU ya soka ya Tanzania ‘Taifa Stars’ inashuka dimbani kucheza na Namibia kwenye michuano ya mataifa ya Afrika kwa wachezaji wanaocheza ligi...
By Mwandishi WetuJanuary 23, 2021MJENGI Samson, Mwalimu wa Shule ya Msingi Isomya, Manispaa ya Singida, amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela kwa kumbaka na kumjaza mimba mwanafunzi...
By Mwandishi WetuJanuary 22, 2021UINGEREZA imepiga marufuku abiria kutoka Tanzania na Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), kuingia nchini humo, ili kuzuia maambukizo ya aina mpya ya...
By Masalu ErastoJanuary 22, 2021MTENDAJI Mkuu wa klabu ya Simba, Barbara Gonzalez amemaliza sintofahamu juu ya winga wa timu hiyo, Bernard Morrison kuhusu taarifa zilikuwa zinaeleza...
By Kelvin MwaipunguJanuary 22, 2021SHIRIKA la Viwangoa Tanzania (TBS), limeshindwa kueleza iwapo gari litashindwa kukaguliwa ndani ya siku saba, tozo ya kuhifadhi gari hilo bandarini zitatolewa...
By Masalu ErastoJanuary 22, 2021HATMA ya kiungo wa mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Jonas Mkude juu ya tuhuma za kinidhamu zinazomkabili, itajulikana kesho...
By Kelvin MwaipunguJanuary 22, 2021TIMU ya Simba ya Dar es Salaam, imetangaza michuano ya Kimataifa ‘Simba Super CUP’ ikihusisha timu tatu Simba, TP Mazembe ya Congo...
By Kelvin MwaipunguJanuary 22, 2021WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameendesha harambee ya papo kwa papo na kuchangisha Sh.18.9 milioni, kati ya hizo, Sh.10 milioni zimetolewa na...
By Mwandishi WetuJanuary 22, 2021KICHAPO cha bao 1-0, dhidi ya Burnley, kocha kikosi cha Liverpool, Jurgen Klopp amesema kuwa timu yake imefungwa kwenye mchezo ambao hawakustahili kufungwa...
By Kelvin MwaipunguJanuary 22, 2021CHAMA cha ACT-Wazalendo nchini Tanzania, kimemsihi Joe Biden, Rais wa Marekani kupingana pia kuchukua hatua dhidi ya mataifa ya Kiafrika yanayokandamiza demokrasia. Anaripoti...
By Mwandishi WetuJanuary 22, 2021WATU wanaofanyakazi ya kupamba kumbi za starehe, kusherehesha (Ma-MC), wapishi wa sherehe na wapiga picha, watatakiwa kulipa ada na ushuru. Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Mwandishi WetuJanuary 22, 2021WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema, Serikali itahakikisha changamoto zote zilizokuwa zinawakabili wakulima wa zao la mkonge nchini humo, ikiwemo ya kuibiwa...
By Mwandishi WetuJanuary 22, 2021ALIYEKUWA Mkuu wa Mkoa wa Kigoma (RC), Brigedia Jenerali, Emmanuel Maganga, amefariki dunia jana Alhamisi saa 3 usiku tarehe 21 Januari 2021, katika...
By Mwandishi WetuJanuary 22, 2021ISAAC Aman, Askofu wa Jimbo Kuu Katoliki la Arusha amewataka Watanzania kutomjaribu Mungu katika kujikinga na maambukizi ya virusi vya corona (COVID-19). Anaripoti...
By Mwandishi WetuJanuary 21, 2021MAKAMO wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad amesihi Wazanzibari kuendelea kustahamili shida kabla ya kutarajia matokeo ya haraka ya...
By Hamisi MgutaJanuary 21, 2021KUIBUKA upya kwa ugonjwa wa Corona ulimwenguni, kunaweza kusababisha mataifa kadhaa ya Ulaya, kufunga mipaka yake, ili kuzuia kusambaa kwa ugonjwa huo. Anaripoti...
By Saed KubeneaJanuary 21, 2021KIUNGO wa timu ya Simba na Taifa ya Tanzania, Jonas Mkude ameomba radhi kwa viongozi, wanachama pamoja na mashabiki wa klabu hiyo mara...
By Kelvin MwaipunguJanuary 21, 2021MHANDISI Deusdedit Kakoko, Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari (TPA) amesema, yeye ni miongoni mwa watu wanaochunguzwa katika sakata la kuisababishia hasara serikali....
By Masalu ErastoJanuary 21, 2021TUME ya taifa ya uchaguzi nchini (NEC), imeitaka serikali ya Marekani kueleza, ni namna gani uchaguzi mkuu uliyopita nchini Tanzania ulivyoingiliwa. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea)....
By Hamisi MgutaJanuary 21, 2021SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) linatarajia kuendesha Semina kwa viongozi wa klabu zinazoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara ili kuwajengea uwezo katika...
By Kelvin MwaipunguJanuary 21, 2021RAIS John Magufuli ameeleza kusikitishwa na kifo cha Martha Umbulla, mbunge wa viti maalumu kupitia ChamaCha Mapinduzi (CCM). Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Katika salamu...
By Hamisi MgutaJanuary 21, 2021MARTHA Jachi Umbulla, aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalumu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), amefariki dunia usiku wa kuamkia leo tarehe 21 Januari 2020....
By Masalu ErastoJanuary 21, 2021TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imeitaka Marekani kueleza namna Uchaguzi Mkuu wa Tanzania ulivyoingiliwa. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea)....
By Mwandishi WetuJanuary 21, 2021LIGI Kuu Tanzania Bara inatarajia kurejea tena tarehe 13 Februari, 2021 mara baada ya kusimama kupisha michuano ya Kombe la Mapinduzi pamoja na...
By Kelvin MwaipunguJanuary 21, 2021HATA kabla ya saa 24 kupita tangu kuapishwa kwake kuwa Rais wa 46 wa Marekani, Joe Biden tayari amebatilisha baadhi ya sera za...
By Masalu ErastoJanuary 21, 2021KOCHA msaidizi wa timu wa Yanga, Juma Mwambusi ameamua kuachana na klabu hiyo mara baada ya kusumbuliwa na matatizo ya kiafya na kuhitaji...
By Kelvin MwaipunguJanuary 21, 2021WAKATI Ligi Kuu England ikiendelea tena leo ikiendelea leo kwa michezo miwili kupigwa, haki imeonekana si shwari kwa timu kugombania nafasi nne za...
By Kelvin MwaipunguJanuary 20, 2021