May 26, 2022

Uhuru hauna Mipaka

Mama mzazi wa DC Jerry Muro afariki dunia

Spread the love

ANKUNDA Muro, mama mzazi wa Mkuu wa Wilaya (DC) ya Arumeru jijini Arusha, Jerry Muro amefariki dunia jana Jumapili tarehe 24 Januari 2021, katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).

Muro amesema, mipango ya mazishi inafanywa nyumbani Ubungo Dar es Salaam na Machame Lyamungo kati Hai, mkoani Kilimanjaro.

Endelea kufuatilia MwanaHALISI Online, MwanaHALISI TV na mitandao yetu ya kijamii kwa habari na taarifa mbalimbali

error: Content is protected !!