May 26, 2022

Uhuru hauna Mipaka

Maambukizo ya Corona yafikia milioni 100 dunia

Spread the love

MAAMBUKIZO ya virusi vya corona (COVID-19) duniani, yamefikia milioni 100.34, waliofariki kwa ugonjwa huo ni milioni 2.15 na waliopona milioni 72.39. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea)

Hadi leo mchana Jumanne tarehe 26 Januari 2021, mtandao wa Worldometer unaonyesha Marekani inaongoza kwa maambukizo milioni 25.86, waliofariki 431,392 na waliopona milioni 15.61.

India inashika nafasi ya pili duniani ikiwa na maambukizo milioni 10.6, waliopona 153,624 na waliopona milioni 10.34

error: Content is protected !!