Wednesday , 24 April 2024
Home Habari Mchanganyiko Majaliwa ahimiza Watanzania kuwekeza kwenye chikichi
Habari Mchanganyiko

Majaliwa ahimiza Watanzania kuwekeza kwenye chikichi

Zao la chikichi inayotoa mafuta ya mawese
Spread the love

 

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa, amewahimiza wakazi wa Kigoma na watanzania kuwekeza katika zao la mchikichi na kusisitiza ndio fursa ya kukuza uchumi wa Taifa. Anaripoti Eliabu Kanyika (DSJ) … (endelea).

Majaliwa ametoa wito huo jana Jumapili, tarehe 26 Februari 2023 alipokuwa akizungumza na wawekezaji na wadau wa zao la chikichi mkoani Kigoma.

Katika kutekeleza dhana hiyo ya upandaji wa chikichi amesisitiza uongezekaji wa kasi katika upandaji wa michikichi kwakuwa michikichi ni fursa kwa kila mwananchi.

“Chikichi ni uchumi wa mtu mmoja mmoja na ni uchumi wa Kitaifa,” amesema Majaliwa.

Na pia amesisitiza wazazi kuwarithisha watoto wao uchumi katika zao la michikichi ambalo litawasaidia maishani mwao.

“Kama unataka kumrithisha mtoto mrithishe zao la mchikichi,” amesema Majaliwa.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari Mchanganyiko

THRDC yaongeza mkataba wa ushirikiano na ABA

Spread the love  MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC),...

Habari Mchanganyiko

Rufaa ya Equity Benki, State Oil yakwama

Spread the loveMAHAKAMA ya Rufani, jijini Dar es Salaam, imeshindwa kuendelea na...

Habari Mchanganyiko

Bodaboda waeleza mafanikio mafunzo usalama barabarani

Spread the loveMADEREVA bodaboda katika Jiji la Dodoma wameeleza jinsi mafunzo ya...

BiasharaHabari Mchanganyiko

NBC yaahidi kuendelea kuunga mkono Serikali za Mitaa

Spread the loveBenki ya Taifa ya Biashara (NBC) imesisitiza dhamira yake ya...

error: Content is protected !!