Friday , 17 May 2024

Month: February 2023

Habari Mchanganyiko

UMEBIMA ya NMB kuiteka Dar siku 21, DC atoa ujumbe

BENKI ya NMB imezindua Kampeni ya siku 21 katika Kanda ya Dar es Salaam ya kutoa elimu na kuhamasisha jamii kutumia Huduma za...

Elimu

Msongamano wanafunzi darasani wazitesa shule Tunduma

  WANANCHI katika Halmashauri ya Mji wa Tunduma wilayani Momba mkoani Songwe wameiomba serikali kuongeza vyumba vya madarasa katika shule za msingi ili...

Habari Mchanganyiko

Jaffar Haniu atembelea vituo vya redio Rungwe

MKUU wa Wilaya ya Rungwe Jaffar Haniu ametembelea vyombo vya habari vilivyopo Wilayani Rungwe na kujionea vipindi mbalimbali vinavyorushwa vituo hivyo sambamba na...

Kimataifa

Eric Omondi mbaroni kwa kuongoza maandamano Kenya

  MCHEKASHAJI maarufu kutoka nchini Kenya Eric Omondi ametiwa mbaroni na jeshi la polisi nchini humo, kwa tuhuma za kuongoza kundi la vijana...

Habari Mchanganyiko

Serikali yaondoa ukomo uhai wa vitambulisho vya Taifa

SERIKALI ya Tanzania imetangaza kuondoa ukomo wa uhai wa vitambulisho vya taifa vilivyo na tarehe ya kuisha muda wake wa matumizi ili kuondoa...

Kimataifa

Mwili wa Mwai Kibaki huenda ukafukuliwa, kupimwa DNA

MWILI wa aliyewahi kuwa Rais wa Kenya, Mwai Kibaki, huenda ukafukuliwa kwaajili ya kufanyiwa vipimo vya DNA endapo Mahakama Kuu nchini humo itakubaliana...

Habari za Siasa

Prof. Muhongo atoa mapendekezo changamoto ufaulu shule za sekondari

  MBUNGE wa Musoma Vijijini, Profesa Sospeter Muhongo, amewataka wazazi watimize wajibu wao wa malezi mazuri kwa wanafunzi wa shule za sekondari, yatakayowawezesha...

Habari Mchanganyiko

DPP awafutia mashtaka ya ugaidi Masheikhe 36

  MKURUGENZI wa Mashtaka nchini (DPP), Sylvester Mwakitalu, amewafutia mashtaka waislamu waliokuwa wanakabiliwa na makosa ya ugaidi ikiwemo Masheikh, katika mahakama mbalimbali nchini....

Elimu

Wanafunzi watakiwa kujiamini

MKURUGENZI wa Shule za Feza Tanzania, Ibrahim Yunus amewataka wanafunzi wa shule za msingi na sekondari nchini kujiamini wanaposhiriki midahalo ya kitaifa na...

Habari Mchanganyiko

Serikali yataka unafuu riba mikopo ya nyumba

  WAZIRI wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk. Angeline Mabula, ametoa wito kwa benki na taasisi za fedha zinazotoa mikopo ya...

Habari Mchanganyiko

TMA wakutana na sekta mbalimbali kujipanga na msimu wa Masika

  MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), imekutana na sekta mbalimbali nchini ili kujipanga na msimu wa masika unaotarajiwa kuqnza mwezi Machi...

Kimataifa

Tetemeko jingine la ardhi laua watatu

TETEMEKO la ardhi lenye kipimo cha 6.4 limeua watu watatu jana tarehe 20 Februari 2023 na kujeruhi wengine zaidi ya 200 katika baadhi...

Kimataifa

Viongozi kanisa la kianglikana duniani wamkataa askofu mkuu anayeunga mkono wapenzi wa jinsia moja

  KUNDI la viongozi wa kanisa la kianglikana kutoka sehemu mbalimbali duniani wamemkataa Askofu Mkuu wa Canterbury, Justin Welby, kuwa kiongozi wao baada...

Habari Mchanganyiko

THRDC yawasilisha mapendekezo 500 tume ya Rais Samia, yalilia katiba mpya

  MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), umewasilisha mapendekezo yake 500 katika Tume iliyoundwa na Rais Samia Suluhu Hassan, ili...

ElimuHabari

CBE yatamba kuzalisha wahitimu walio tayari kwa soko la ajira

CHUO cha Elimu ya Biashara (CBE), kimesema mpango wa kuwasaidia wanafunzi wajasiriamali kuendeleza biashara zao au kuatamia mawazo ya biashara zao utakuwa wa...

Kimataifa

Biden afanya ziara ya kushtukiza Ukraine

RAIS wa Marekani Joe Biden amewasili Kyiv – ziara yake ya kwanza nchini Ukraine tangu Urusi ilipovamia karibu mwaka mmoja uliopita. Imeripoti Mitandao...

HabariHabari Mchanganyiko

Serikali yaweka mapingamizi kesi ya Diaspora kudai uraia pacha

SERIKALI imeweka mapingamizi ya awali katika kesi ya kikatiba Na. 18/2022, iliyofunguliwa na watanzania waishio nje ya nchi (Diaspora), kwenye Mahakama Kuu, Masjala...

Habari Mchanganyiko

LSF yajinoa kampeni msaada wa kisheria ya Mama Samia

SHIRIKA la Huduma za Kisheria (LSF), limeanza kujipanga namna ya utekelezaji wa Nguo Kampeni ya Huduma ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia...

Habari Mchanganyiko

TMA yatoa ufafanuzi ya Kimbunga Freddy

MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa ufafanuzi juu ya taarifa za uwepo wa kimbunga “Freddy” zinazosambaa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii...

Habari Mchanganyiko

Mnyanyika wa NMB atwaa tuzo ya Afisa Uhusiano Bora 2022

BENKI ya NMB imeendelea kufanya vyema kwenye nyanja mbalimbali baada ya Kaimu Mkuu wa Idara ya Mawasiliano na Mahusiano wake, Vicent Mnyanyika kuibuka...

Elimu

Prof. Mkenda aagiza uchunguzi wa kina shule zilizofanya udanganyifu

  WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda, amemuagiza Kamishna wa Elimu kufanya uchunguzi wa kina kwa shule nne zilizobainika kufanya...

Afya

Naibu Waziri awabebesha Wakurugenzi zigo la miradi chini ya kiwango

IMEELEZWA kuwa usimamizi mbovu wa miradi ya maendeleo na ujenzi wa majengo ya ofisi za serikali kwa baadhi ya halmshauri nchini unaotokana na...

Habari Mchanganyiko

Dk. Kimaro aomba radhi, asamehewa

ALIYEKUWA Mchungaji wa KKKT Usharika wa Kijitonyama, Dk. Eliona Kimaro, leo Jumapili amejitokeza hadharani kwa mara ya kwanza tangu asimamishwe kutoa huduma kwa...

Elimu

Chuo cha Kilimo cha Mwl. Nyerere kuanza kutoa mafunzo mwaka huu

WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda amekitaka Chuo Kikuu cha Mwalimu Julius K. Nyerere cha Kilimo na Teknolojia (MJNUAT) kilichopo...

Habari za Siasa

ACT Wazalendo yaja na ahadi ya “Taifa la Wote kwa Maslahi ya Wote”

CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimezindua ahadi yake kwa Watanzania, ya kujenga Taifa la wote kwa maslahi ya wote kufikia 2035 endapo kitapewa ridhaa ya...

Habari Mchanganyiko

Rais Samia aweka bilioni 6.2 za ujenzi wa mabwawa nchini

SERIKALI inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imeendelea kuboresha kila sekta nchini ambapo imepanga kujenga mabwawa ya kunyweshea mifugo kote nchini. Anaripoti...

Habari Mchanganyiko

TEF yataja tamu, chungu muswada sheria ya habari

  JUKWAA la Wahariri Tanzania (TEF), limesema limeunda kamati ndogo ya watu sita, kwa ajili ya kuchambua Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya...

Habari za Siasa

ACT-Wazalendo yawaangukia Watanzania

  CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimewaomba Watanzania wakiunge mkono ili kiweze kutimiza malengo yake ya kuwakomboa kiuchumi, kijamii na kisiasa. Anaripoti Regina Mkonde, Dar...

Habari za Siasa

Hii hapa ahadi ya ACT-Wazalendo kwa Watanzania

  CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimesema ndoto yake kuu si kushika dola bali kuwakomboa wananchi kiuchumi na kijamii. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam...

Habari Mchanganyiko

Majaliwa achefukwa baba aliyemlawiti mwanaye, aagiza kukamatwa, MaRC, RPC kikaangoni

  Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemuagiza Mkuu wa Mkoa wa Arusha kwa kushirikiana na Kamanda wa Polisi wa Mkoa huo wahakikishe wanamfikisha katika...

Habari za Siasa

Mchengerewa atangaza mabadiliko utalii, “sitaki mambo ya hovyo”

  WAZIRI mpya wa Maliasili na Utalii, Mohamed Mchengerewa amesema kuwa kwa kushirikiana na viongozi wenzake walioteuliwa hivi karibuni atahakikisha wanafanya mabadiliko na...

Habari Mchanganyiko

Muongozo kuzuia ukatili wa kijinsi maeneo ya umma wazinduliwa rasmi

  SERIKALI imezindua mwongozo wa uanzishaji na uendeshaji wa dawati la kutokomeza ukatili wa kijinsia katika maeneo ya umma ili kuwasaidia wananchi kwenye...

Habari Mchanganyiko

Wawili kizimbani kwa kukwepa kodi ya bilioni 6.

  WANANDUGU wawili, Sibtain Murji 43 na Zameen Murji 47 wamefikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashtaka matatu likiwemo la...

Habari Mchanganyiko

Taharuki yaibuka Dodoma, Singida ikikumbwa na tetemeko la ardhi

TAASISI ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST), imetoa taarifa kwa umma kuhusu kutokea kwa tetemeko la ardhi Wilayani Manyoni mpakani mwa...

Habari za Siasa

Majaliwa atamani Mulugo ahamie Lindi

  KUTOKANA na kupungua kwa kero zilizokuwa zikiwakumba wananchi wa Jimbo la Songwe mkoani hapa, Waziri mkuu Kassim Majaliwa amewataka wananchi kuendelea kumuunga...

Habari Mchanganyiko

NMB yapeleka elimu ya bima mkoa kwa mkoa

WANANCHI wametakiwa kujiunga na Bima mbalimbali ili kukabiliana na majanga ikiwemo ya moto ikiwa ni kuunga mkono juhudi zinazofanywa na Serikali  inayoongozwa na...

Habari za SiasaTangulizi

Zitto amkumbuka Maalim Seif

  KIONGOZI wa Chama Cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema chama chake kinaendelea kumuenzi aliyekuwa Mwenyekiti wake Taifa, Maalim Seif Shariff Hamad, aliyefariki Dunia...

Habari Mchanganyiko

TFS yatoa fursa ya ajira 400 kwa wakazi wa Ileje

  WAKALA wa Uhifadhi wa Misitu Tanzania (TFS), imefanikiwa kutoa ajira kwa watu 400 kwenye shamba la miti la Iyondo Mswima wilaya Ileje...

Habari Mchanganyiko

Majaliwa akemea utumikishaji watoto migodini, ampa maagizo DC Songwe

KUTOKANA na kuibuka madai ya vitendo vya ukatili na utumikishwaji wa watoto chini ya miaka 18 maeneo ya machimbo migodini, Waziri Mkuu Kassim...

Habari Mchanganyiko

Tanzania, Angola zasaini hati za makubaliano

SERIKALI za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Angola zimesaini hati mbili za makubaliano (MoU) kuanzisha Tume ya Kudumu ya Pamoja...

Kimataifa

Bajeti ya India ya 2023 inawezaje kuongeza fursa kwa viwanda vya Taiwan?

  BAJETI ya India ya mwaka 2023 iliyosomwa tarehe 1 Februari ambayo imeelezwa kuwa itafungua dirisha la ushirikiano wa nchi mbili kati ya...

Habari Mchanganyiko

Nape:Serikali haitaingilia biashara za vyombo vya habari

  WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye, amesema Serikali haitaingilia biashara za vyombo vya habari, ili wamiliki wake waendeshe...

Habari za Siasa

Prof. Lipumba anusurika kifo akitoka kuhutubia mkutano wa hadhara

  MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba na wenzake watano, wamenusurika kifo baada ya kupata ajali maeneo ya Kilwa mkoani...

Habari za Siasa

Majaliwa aipongeza Tunduma kwa ukusanyaji mapato

  WAZIRI mkuu Kassim Majaliwa ameeleza kuridhishwa na kasi ya ukusanyaji mapato uliopo katika halmashauri ya mji Tunduma wilayani Momba mkoani Songwe huku...

Habari za Siasa

Dk. Tax aongoza aongoza ujumbe wa Tanzania mkutano wa mawaziri AU

  WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dk. Stergomena Tax ameongoza ujumbe wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika...

Habari Mchanganyiko

Watanzania watakiwa kutojitumbukiza kwenye mikopo bila malengo

WATANZANIA  wameshauriwa kutopenda kujitumbukiza kwenye masuala ya mikopo kama hawajajipanga kwa kujua wanachotakiwa kukifanya. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Rai hiyo imetolewa...

Habari Mchanganyiko

Bodi ya WRRB yaweka wazi mafanikio yake kwa mwaka 2021/22

MKURUGENZI Mtendaji wa Bodi ya Usimamizi wa stakabadhi za Ghala (WRRB), Asangya Bangu amesema kuwa tangu kuanzishwa kwa bodi hiyo kumeonesha kuwepo kwa...

Habari za Siasa

Dk. Mpango akemea mivutano kati ya mawaziri na watendaji

  MAKAMU wa Rais, Daktari Phillip Mpango, amewataka mawaziri kuepuka mivutano kati yao na watendaji wizarani, badala yake washirikiane kuwaletea maendeleo wananchi. Anaripoti...

Habari za Siasa

CCM yatuma salamu kwa wapinzani Uchaguzi Serikali za Mitaa

  KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Sophia Mjema, amesema hakuna chama cha siasa cha upinzani kitakachosumbua chama chake...

Habari Mchanganyiko

Kampeni msaada wa kisheria ya Rais Samia yazinduliwa, kugusa maeneo matano

  KAMPENI ya Huduma ya Msaada wa Kisheria ya Rais Samia Suluhu Hassan, itafanyika katika kipindi cha miaka mitatu mfululizo kwenye mikoa ya...

error: Content is protected !!