Thursday , 2 May 2024
Home Habari Mchanganyiko Waziri Silaa awataka watumishi ardhi kuzingatia uadilifu
Habari Mchanganyiko

Waziri Silaa awataka watumishi ardhi kuzingatia uadilifu

Spread the love

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa amewataka watumishi wa Sekta ya Ardhi kuhakikisha wanawahudumia wananchi kwa uadilifu na upendo kwani hayo ndio maelekezo ya Rais Samia Suluhu Hassan ili kumaliza shida za watanzania katika ardhi zinaisha. Anaripoti Mwandishi Wetu …. (endelea).

Naye Waziri wa Nchi Ofisi Rais TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa ambaye alikuwa mgeni rasmi katika Iftariliyoandaliwa na Ofisi ya Kamishna wa Ardhi Msaidizi Dar es salaam amesema kupitia wizara yake, alisema atahakikisha anashirikiana na wizara ya ardhi ili kumaliza kero za ardhi.

Iftar hiyo iliandaliwa jana Ijumaa kwa lengo lengo la kuwakutanisha pamoja watumishi wa sekta ya ardhi, wananchi wa Jijini Dar es salaam pamoja viongozi mbalimbali wa chama na Serikali katika viwanja vya ofisi ya Kamishna wa Ardhi mkoa wa Da es salaam Dar Es Salaam.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Chadema waendelea kulilia katiba mpya

Spread the loveCHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeendelea kudai upatikanaji wa...

BiasharaHabari Mchanganyiko

NMB yang’ara maonesho OSHA

Spread the loveBenki ya NMB imebeba tuzo ya kampuni bora kwenye sekta...

Habari MchanganyikoKimataifa

Ruto amteua Kahariri kuwa mkuu wa majeshi

Spread the loveRAIS wa Kenya, William Ruto, amemteua Jenerali Charles Muriu Kahariri,...

Habari Mchanganyiko

Chongolo aonya viongozi vijiji kutouza NIDA kwa wageni

Spread the loveMKUU wa Mkoa wa Songwe, Daniel Chongolo amewaonya viongozi wa...

error: Content is protected !!