MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Abdulurhaman Kinana amesema mkakati wa Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Samia...
By Gabriel MushiDecember 12, 2023KATIKA kujenga uwezo kwa kampuni ndogondogo zinazojishughulisha masuala ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA), Tume ya Tehama (ICTC) inatarajia kujenga vituo katika...
By Gabriel MushiNovember 23, 2023IMEELEZWA kuwa ujenzi wa nyumba 5,000 utawezesha kaya 10,000 kuhama kwa hiari kutoka Ngorongoro kuelekea katika kata za Msomera, Saunyi (Tanga) na Kitwai...
By Gabriel MushiNovember 20, 2023KAMPENI ya kuitangaza bandari ya Dar es Salaam kimataifa imetajwa kuanza kuzaa matunda baada ya wafanyabiashara na wakazi wa Zimbabwe kuichagua bandari hiyo...
By Gabriel MushiNovember 20, 2023BENKI ya NMB imetoa zaidi ya Sh1.8 trilioni kwa wanawake 168,600 wa biashara ndogo na za kati (SMEs) katika kipindi cha miezi 10...
By Gabriel MushiNovember 19, 2023BENKI ya NMB imewanoa wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari nchini kuhusu matumizi ya huduma mpya za bima ya afya pamoja na bima...
By Gabriel MushiNovember 13, 2023Waziri Mkuu Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amelipongeza Shirika la Madini la Taifa STAMICO kuendelea kuhamasisha matumizi ya nishati Mbadala ...
By Gabriel MushiNovember 13, 2023WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameiagiza Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari ifanye uratibu wa madai ya vyombo vya habari, sambamba na...
By Gabriel MushiNovember 13, 2023Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amewasisitiza Watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu kufanya kazi kwa ushirikiano ili kazi...
By Gabriel MushiNovember 13, 2023Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini, Mhandisi Yahya Samamba amesema katika utekelezaji wa Dira ya 2030 yenye kueleza kuwa, “Madini ni Maisha na...
By Gabriel MushiNovember 10, 2023MKUU wa Mkoa wa Tanga, Waziri Kindamba amezindua mradi wa ReSea unaolenga uhifadhi wa maeneo makubwa ya Bahari kwa ajili ya maendeleo endelevu...
By Gabriel MushiNovember 9, 2023MAMLAKA ya Mapato Tanzania imetoa wito kwa Watanzania kujiepusha na matumizi ya risiti na stempu feki ambazo zinaikosesha serikali mapato. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea)....
By Gabriel MushiOctober 28, 2023Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ametembelea banda la Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) kwenye maonesho ya madini kando ya Mkutano...
By Gabriel MushiOctober 27, 2023MNYONGE mnyongeni lakini haki yake mpeni! Ni usemi unaoshabihiana na mabadiliko makubwa yaliyoanzishwa na Rais wa awamu ya tano Dk. John Magufuli katika...
By Gabriel MushiOctober 27, 2023Waziri wa Madini nchini Malawi, Monica Chang’anamuno amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan kwa juhudi na mikakati ...
By Gabriel MushiOctober 26, 2023Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Madini la Taifa, (STAMICO) Dk. Venance Mwasse ametoa wito kwa wawekezaji kutoka ndani ya nje ya nchi kuja...
By Gabriel MushiOctober 25, 2023NAIBU Waziri Mkuu, Dk. Doto Biteko ametoa wito kwa wawekezaji kuja kuwekeza zaidi Tanzania katika shughuli za utafutaji, uchimbaji, uchenjuaji, uongezaji thamani na...
By Gabriel MushiOctober 25, 2023Naibu Wazirj Mkuu, Dk. Doto Biteko amesema migodi zaidi ya 350 ya wachimbaji wadogo imeunganishwa na umeme wa gridi ya Taifa na hivyo...
By Gabriel MushiOctober 25, 2023Umoja wa Mataifa (UN) nchini Tanzania unatarajia kuadhimisha miaka 78 tangu ilipoanzishwa mwaka 1945. Anaripoti Mwandishi Wetu …(endelea) Akizungumza na waandishi wa Habari...
By Gabriel MushiOctober 23, 2023Mfanyabishara maarufu nchini, Rostam Aziz, kupitia kampuni yake ya Taifa Group, ameingia nchini Zambia ambako ameanza kuwekeza kwenye sekta ya uzalishaji umeme kwa...
By Gabriel MushiOctober 21, 2023Meneja wa Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) mkoa wa Morogoro, Mhandisi Emmauel Ndyamkama amesema ataendelea kusimamia ubora wa kazi zinazofanyika...
By Gabriel MushiOctober 13, 2023Tanzania na Zambia zimekubaliana kutatua changamoto nane kati ya 24 za kibiashara na 16 zilizobaki zimewekewa utaratibu wa kuzitatua ifikapo tarehe 31 Disemba...
By Gabriel MushiOctober 13, 2023BENKI ya NMB imebainisha mipango yake ya kuanzisha mfumo wa uthibitishwaji wa maombi ya mikopo kwa njia ya kidigitali kwa wafanyakazi wa umma...
By Gabriel MushiOctober 13, 2023KAMPUNI ya Geita Gold Mining Limited imenyakua tuzo nne ikiwamo mshindi wa jumla katika maonesho ya teknolojia ya madini yaliyofanyika kwa muda wa...
By Gabriel MushiOctober 5, 2023Shule ya Green Acres imejipanga kufanya mambo makubwa kwa mwaka 2023 / 2024 ikiwemo kuwakatia bima wanafunzi wa shule hiyo. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea)...
By Gabriel MushiSeptember 25, 2023KATIKA kuongeza wigo kwa wawekezaji na wafanyabiashara kurasimisha biashara zao, Wakala ya Usajili wa Biashara na Leseni nchini (BRELA) umetoa wito kwa wafanyabiashara...
By Gabriel MushiSeptember 24, 2023VYOMBO vya habari vimetakiwa kuongeza jitihada katika elimu ya kujikinga dhidi ya magonjwa yasiyoambukiza (NCD’s) ili kukabiliana na janga hilo ambalo sasa likadiriwa...
By Gabriel MushiSeptember 16, 2023CHUO cha Elimu ya Biashara (CBE), kimefanya uwekezaji mkubwa wa vifaa vya kisasa kwenye idara yake ya vipimo na viwango hususan kwenye upimaji...
By Gabriel MushiSeptember 15, 2023KILA zama na kitabu chake. Hizi ni zama za Rais Samia Suluhu Hassan na kitabu anachotumia ni tofauti na kilichotumiwa na mtangulizi wake...
By Gabriel MushiSeptember 12, 2023SERIKALI imekanusha uvumi kwamba Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imewa-blacklist vijana ambao wamesitishiwa ajira zao na mgodi huo kwa sababu mbalimbali...
By Gabriel MushiSeptember 8, 2023ZAIDI ya watu 3,000 kutoka nchi 70 duniani wanatarajiwa kushiriki katika mkutano wa siku nne wa Mifumo ya Chakula Afrika (AGRF), unaotarajiwa kuanza...
By Gabriel MushiSeptember 3, 2023KATIKA hali isiyo ya kawaida Mzee Isaac Mwasilu mkazi wa Kata ya Iyela – Mbeya Mjini mkoani Mbeya, amesema bora arudi nyumbani na...
By Gabriel MushiAugust 3, 2023WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameiagiza Wizara ya Kilimo iweke katika lugha rahisi andiko juu ya upatikanaji wa mitaji na pembejeo kwa wakulima na...
By Gabriel MushiAugust 3, 2023KATIKA kuuunga mkono juhudi za Serikali kuwainua vijana kupitia mradi wa kuwawezesha kulima, kuvua na kufuga kibiashara (BBT), Benki ya NMB imetenga jumla...
By Gabriel MushiAugust 3, 2023KIONGOZI wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francisco amemteua Askofu Mkuu Mwandamizi Jimbo Kuu la Tabora, Protase Rugambwa kuwa kardinali nchini Tanzania. Anaripoti Mwandishi...
By Gabriel MushiJuly 9, 2023NDEGE ndogo zisizo na rubani (drone) zinatarajiwa kutumika katika ulinzi wa bomba la mafuta linalotumika kusafirisha mafuta kutoka Bandari ya Dar es Salaam...
By Gabriel MushiJuly 7, 2023Serikali kupitia Wizara ya Nishati imebainisha kuwa mpaka kufikia mwezi Juni 2024, Bwawa la Kufua Umeme la Julius Nyerere (JNHPP) litaanza kutoa huduma...
By Gabriel MushiJuly 6, 2023WAZIRI wa Nishati, January Makamba amesema Serikali za Tanzania na Zambia zipo katika mazungumzo jinsi ya kujenga bomba jipya la mafuta pamoja na...
By Gabriel MushiJuly 6, 2023RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Mwinyi amezindua huduma ya Bima inayofuata misingi ya dini ya Kiislamu (Takaful)...
By Gabriel MushiJuly 6, 2023NCHI mahasimu Marekani na Urusi zinajadili uwezekano wa kubadilishana wafungwa ambao unaweza kumhusisha mwandishi wa gazeti la Wall Street Journal, Evan Gersh-kovich, ambaye...
By Gabriel MushiJuly 5, 2023Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdullah ametoa rai kwa wahariri wa vyombo vya habari kuweka misingi imara ya kukuza...
By Gabriel MushiJuly 4, 2023KWA kutambua umuhimu wa sekta ya michezo nchini, Benki ya NMB imeingia makubaliano na timu ya Yanga SC. na kuwa benki ya kwanza...
By Gabriel MushiJuly 1, 2023MFANYABISHARA wa Kimataifa ambaye pia ni mwanasiasa, Rostam Aziz amejibu Balozi Dk. Wilbrod Slaa ambaye alimtuhumu kwa mambo mbalimbali na kusisitiza kwamba Katibu...
By Gabriel MushiJune 26, 2023MFANYABIASHARA wa kimataifa nchini, Rostam Aziz amesema hahusiki lakini pia kampuni zake hazihusiki wala hazina uhusiano wowote na Kampuni ya DP World kutoka...
By Gabriel MushiJune 26, 2023WABUNGE wa viti maalumu Nusrat Hanje, Salome Makamba ambao ni sehemu ya wabunge 19 waliotimuliwa uanachama na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),...
By Gabriel MushiJune 26, 2023WANACHAMA wa Chama cha Waajiri Tanzania (ATE) wamemchagua Afisa Mtendaji Mkuu wa Tanzania Morgage Refinance Company Limited – TMRC, Oscar Mgaya kuwa mwenyekiti...
By Gabriel MushiJune 22, 2023NAIBU Waziri ,Ofisi ya Waziri Mkuu(Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Patrobas Katambi amewatahadharisha waajiri kutopendelea kuwalipa masilahi duni wafanyakazi wao kwani hali...
By Gabriel MushiJune 22, 2023KAMISHNA wa Maadili Jaji Sivangilwa Mwangesi ametoa wito kwa Watanzania kutoa taarifa pindi wanapobaini kiongozi wa umma anatumia vibaya mali za umma kwa...
By Gabriel MushiJune 21, 2023KATIKA kuimarisha mifumo ya ulinzi nchini, Tanzania inatarajia kutundika satellite yake ya kwanza angani itakayotumika pia katika kuboresha huduma za mawasiliano. Anaripoti Mwandishi...
By Gabriel MushiJune 21, 2023Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa amesisitiza kwamba uwekezaji wa kampuni ya DP World kutoka Dubai hautahusisha bandari zote nchini. Anaripoti Mwandishi Wetu...
By Gabriel MushiJune 10, 2023