KAMPUNI ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imeongeza mkataba wa udhamini kwa Klabu ya Geita Gold Football Club (GGFC) wenye thamani ya Sh...
By Gabriel MushiJanuary 17, 2023KAMPUNI ya LG imetangaza mkakati wake wa 2023 ulioko katika mpango wake wa maendeleo endelevu kufikia 2030, ambao unajumuisha uvumbuzi unaolenga mahitaji ya...
By Gabriel MushiJanuary 15, 2023IDADI ya washindi wa kila wiki wa kampeni ya NMB MastaBata Kote-Kote sasa imefikia 608 baada jana Ijumaa, tarehe 13 Januari 2023 kupatikana...
By Gabriel MushiJanuary 15, 2023MAMLAKA ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) imesema jukumu la udhibiti wa wanyamapori wakali na waharibifu katika Wilaya ya Mvomero siyo jukumu la...
By Gabriel MushiJanuary 15, 2023HADI kufikia tarehe 09 Januari, 2023 wakulima 560,451 wamenufaika na mbolea ya ruzuku sawa na asilimia 20 ya wakulima 3,264,440 waliosajiliwa kupata mbolea...
By Gabriel MushiJanuary 15, 2023IKIWA ni wiki moja tangu kufunguliwa shule nchini Tanzania jumla ya wanafunzi 716,664 wanaopasa kuingia kidato cha kwanza mwaka 2023 bado hawajaripoti na...
By Gabriel MushiJanuary 15, 2023SERIKALI nchini Tanzania imesema mwaka huu imeanza rasmi utekelezaji wa mradi wa kuboresha elimu ya msingi na awali (BOOST) utakaogharimu Sh. 1.15 trilioni...
By Gabriel MushiJanuary 15, 2023MWENYEKITI wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe anatarajiwa kuongozi jopo la viongozi wa chama hicho katika uzinduzi rasmi wa mikutano ya hadhara itakayofanyika jijini...
By Gabriel MushiJanuary 15, 2023CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimemtaka Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia na Habari, Nape Nnauye aviache vyombo vya habari vitimize wajibu...
By Gabriel MushiJanuary 15, 2023KIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, kupitia ukurasa wake wa twitter ametoa ya moyoni kuwa wale waliobeza na kutukana juhudi za maridhiano...
By Gabriel MushiJanuary 8, 2023NAIBU Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhandisi Kundo Mathew amesema Serikali kupitia Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) inatarajia kutumia...
By Gabriel MushiJanuary 8, 2023MGANGA mmoja wa kienyeji amepoteza fahamu na kufariki wakati akidaiwa kurushana roho na mke wa mchungaji katika hoteli moja huko Ikere, jimbo la...
By Gabriel MushiJanuary 8, 2023KLABU ya Al-Nassr inayoshiriki Ligi Kuu ya Saudi Arabia imesitisha mkataba wa mshambuliaji wa Cameroon, Vincent Aboubakar ili kumpisha straika mpya raia wa...
By Gabriel MushiJanuary 8, 2023WAANDISHI habari kadhaa wamekamatwa nchini Sudan Kusini baada ya kusambaa video inayomuonesha Rais wa nchi hiyo Salva Kiir yumkini akishindwa kujizuia haja ndogo...
By Gabriel MushiJanuary 8, 2023RAIS Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali akiwamo Emanuel Mpawe Tutuba kuwa Gavana wa Benki Kuu Tanzania (BoT). Anaripoti Mwandishi Wetu...
By Gabriel MushiJanuary 7, 2023RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan leo Alhamisi ameteua viongozi mbalimbali akiwamo David Kafulila kuwa Kamishna wa Ubia kati ya sekta ya umma na...
By Gabriel MushiJanuary 5, 2023CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema Taifa linapumua baada ya Rais Samia Suluhu Hassan, kuondoa zuio la mikutano ya hadhara, akisema hatua...
By Gabriel MushiJanuary 5, 2023JESHI la Polisi wilayani Same, linapitia wakati mgumu baada ya kilichoelezwa kuwa ni mke wa askari ambaye ni raia kutumia vibaya madaraka ya...
By Gabriel MushiJanuary 5, 2023KAMPENI ya kuchagiza malipo ya kidijitali na matumizi ya kadi za NMB Mastercard na NMB Mastercard QR ya MastaBata Kote-Kote inaelekea kuhitimika baada...
By Gabriel MushiJanuary 5, 2023MWANASIASA mkongwe nchini Tanzania, Stephen Wasira amesema mikutano ya hadhara ikianza kufanyika itakiamsha Chama kilichoko madarakani cha CCM, ili kitimize mambo iliyoahidi kwa...
By Gabriel MushiJanuary 5, 2023BARAZA la Mitihani Tanzania (NECTA) limefuta matokeo yote ya wanafunzi 14 walioandika matusi katika mtihani wa Upimaji wa Kitaifa wa kidato cha pili...
By Gabriel MushiJanuary 4, 2023RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk.Hussein Ali Mwinyi leo Jumatano tarehe 4, Januari, 2023, ameshuhudia utiaji saini wa makubaliano...
By Gabriel MushiJanuary 4, 2023MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini huku mafuta...
By Gabriel MushiJanuary 4, 2023WIZARA ya mambo ya nje nchini Ufaransa, imethibitisha kupokea barua kutoka serikali ya Burkina Faso, inayomtaka balozi wake nchini humo Luc Hallade kuondoka....
By Gabriel MushiJanuary 4, 2023MMILIKI wa zamani wa Chumba cha kuhifadhu maiti na mama yake wamehukumiwa kifungo cha jela huko Colorado baada ya kupasua mamia ya miili...
By Gabriel MushiJanuary 4, 2023JUKWAA la Katiba Tanzania (JUKATA), limeiomba Serikali kutoa ratiba ya utekelezaji wa marekebisho ya Sheria na namna ya kukwamua mchakato wa upatikanaji katiba...
By Gabriel MushiJanuary 4, 2023BARAZA la Mitihani Tanzania (Necta) leo tarehe 4 Januari, 2023 limetangaza matokeo ya kidato cha pili na darasa la nne mwaka 2022. https://matokeo.necta.go.tz/ftna2022/ftna.htm
By Gabriel MushiJanuary 4, 2023IMEBAINISHWA kuwa wananchi wa Kata ya Tegetero wilayani Morogoro wanakabiliwa na changamoto ya uhaba wa maji unaodaiwa kusababishwa na wataalam pamoja na wahandisi...
By Gabriel MushiJanuary 4, 2023BENKI ya NMB imetoa msaada wa vifaa tiba mbalimbali vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni tisa kwa Hospitali ya Wilaya ya Micheweni...
By Gabriel MushiJanuary 3, 2023Ndugu Wananchi na Watanzania wenzangu; NAWASALIMU KWA JINA LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA! Nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu Mtukufu, Mwingi wa Rehema...
By Gabriel MushiJanuary 1, 2023Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amepokea taarifa ya Maendeleo ya mazungumzo ya mchakato wa maridhiano ya kisiasa, Ikulu Jijini Dar es Salaam...
By Gabriel MushiJanuary 1, 2023RAIS Samia Suluhu Hassan ameeleza kusikitishwa na kifo cha Baba Mtakatifu Mstaafu Benedikto XVI aliyefariki dunia leoJumamosi saa 3: 34 Asubuhi tarehe 31...
By Gabriel MushiDecember 31, 2022MAZISHI ya Baba Mtakatifu Mstaafu Benedikto XVI aliyefariki dunia leoJumamosi saa 3: 34 Asubuhi tarehe 31 Desemba 2022 akiwa na umri wa miaka...
By Gabriel MushiDecember 31, 2022PAPA wa zamani Benedict XVI amefariki dunia katika makazi yake Vatican, akiwa na umri wa miaka 95, karibu muongo mmoja baada ya kujiuzulu...
By Gabriel MushiDecember 31, 2022RAIS wa mstaafu wa Marekani, Barack Obama ameeleza namna alivyoguswa na kifo cha Mfalme wa Soka duniani, Edson Arantes do Nascimento maarufu kama...
By Gabriel MushiDecember 30, 2022GWIJI wa soka raia wa Brazil – Edson Arantes do Nascimento maarufu kama Pele amefariki dunia leo tarehe 29 Disemba, 2022 akiwa na...
By Gabriel MushiDecember 29, 2022TUNAPOELEKEA kufunga mwaka 2022, ubalozi unatoa shukrani za dhati kwa wadau mbalimbali kwa ushirikiano wao uliowezesha utekelezaji wa Majukumu ya Ubalozi. Katika Mwaka...
By Gabriel MushiDecember 29, 2022ASKARI wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara, WP Husna Juma Baraka, ameibuka mshindi wa pikipiki katika droo ya saba ya Kampeni ya...
By Gabriel MushiDecember 29, 2022JUKWAA la Wahariri nchini(TEF) limetangaza kampeni ya kutoa elimu kwa waandishi wa habari ya namna ya kuhamasisha jamii kutoa maoni yao kupinga ndoa...
By Gabriel MushiDecember 29, 2022MSIMU huu wa sikukuu, Blue Santa kutoka Benki ya NMB ameachia zawadi mbalimbali ambapo mpaka sasa ameshatoa zaidi ya Sh117 milioni kwa washindi...
By Gabriel MushiDecember 28, 2022WAKATI serikli ikiwa mbioni kuwasilisha muswada wa mabadiliko ya sheria ya huduma za vyombo vya habari nchini, Chama cha ACT-Wazalendo kimetoa wito kwa...
By Gabriel MushiDecember 26, 2022BENKI ya NMB itakuwa mdhamini mashindano ya kombe la Mapindizi 2023 yanayotarajiwa kuanza Januari 1, 2023 katika Uwanja wa Amaan Unguja, Pemba kwa...
By Gabriel MushiDecember 24, 2022MBUNGE wa Viti Maalum Mkoa wa Dodoma, Mariam Ditopile (CCM) amekabidhi pikipiki nane kwenye Kata zote nane za Halmashauri ya Mji Kondoa Mkoani...
By Gabriel MushiDecember 22, 2022WAZIRI wa Nishati, January Makamba amewaeleza watanzania kuwa zoezi la kuanza kujaza maji katika Bwawa la kufua Umeme la Julius Nyerere (JHPP) litaanza...
By Gabriel MushiDecember 19, 2022BENKI ya NMB imekabidhi vifaa vya kusaidia maendeleo ya elimu wilayani Kibaha vyenye thamani ya zaidi ya Sh37 milioni kama sehemu ya kuchangia...
By Gabriel MushiDecember 19, 2022TUME ya Taifa ya Sayansi na Teknlojia (Costech) imetoa Sh milioni 50 kwa wabunifu wa wanawake watano walioshinda shindano la Buni Divaz. Anaripoti...
By Gabriel MushiDecember 19, 2022Serikali imewahakikishia wahitimu wa kozi mbalimbali za usafirishaji kuwa itaendelea kuwekeza kwenye miundombinu ya usafiri na usafirishaji pamoja na kuzingatia ongezeko la wataalam...
By Gabriel MushiDecember 19, 2022WAKATI kukiwa na hofu kuwa kauli ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe kwamba ataendelea na mazungumzo ya maridhiano...
By Gabriel MushiDecember 19, 2022NAIBU Waziri wa Wizara ya Miundo Mbinu na Uchukuzi, Atupele Mwakibete ametoa wito kwa jamii kuongeza juhudi katika kusoma vitabu ili kukuza maarifa....
By Gabriel MushiDecember 17, 2022WATANZANIA sita waishio nje ya nchi (DIASPORA), wamefungua kesi ya kikatiba Na. 18/2022 katika Mahakama Kuu, Masjala Kuu, ya Dar es Salaam, kupinga...
By Gabriel MushiDecember 16, 2022