Sunday , 28 April 2024
Home Gazeti Habari za Siasa Mtoto wa Mzee Mwinyi amwaga machozi
Habari za SiasaTangulizi

Mtoto wa Mzee Mwinyi amwaga machozi

Spread the love

Mtoto wa Hayati mzee Mwinyi, Abdullah Ali Hassan Mwinyi ameshindwa kujizuia na kumwaga machozi mbele ya waombolezaji wakati akitoa shukrani katika uwanja wa New Amaan Complex visiwani Zanzibar inapofanyika shughuli ya kuaga Mwili wa baba yao mpendwa aliyefariki dunia tarehe 29 Februari 2024. Anaripoti  Mwandishi Wetu … (endelea).

Pamoja na mambo mengine Abdullah baba yao alikuwa mwalimu wa kwa wanafunzi wake, baba, mume na kiongozo wa kweli na katika nafasi zote alizimamia ipasavyo.

“Sikuja kulia… wakati nasimama hapanilikuwa namuomba Mwenyezi Mungu anijalie nisitie aibu. Kazi yangu kubwa kwa niaba ya familia ni kutoa shukrani,” amesema.

Pamoja na mambo mengine amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan, serikali yake na serikali ya mapinduzi Zanzibar kwa kuwasaidia katika kipindi chote cha kumuuguza baba yao.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Mavunde aibana kampuni kutimiza masharti ya mkataba

Spread the loveWaziri wa Madini, Anthony Mavunde ameitaka Kampuni ya Xin Tai...

Habari za Siasa

Sauti ya Watanzania waeleza sababu za kuiunga mkono Chadema

Spread the love  KIKUNDI kinachojipambanua katika kupigania rasilimali na uhuru wa nchi,...

Habari MchanganyikoTangulizi

Jacob, Malisa waachiwa kwa masharti

Spread the love  JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam,...

Habari za SiasaKimataifaTangulizi

Tanzania, Somalia kuibua maeneo mapya ya ushirikiano

Spread the love  RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amesema Tanzania na Somalia...

error: Content is protected !!