Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo tarehe 22 Januari 2022 ameongoza waombolezaji katika mazishi ya kaka wa Makamu wa Rais na Askofu Mstaafu wa...
By Gabriel MushiJanuary 22, 2022Kwa zaidi ya miaka kumi sasa somo la hisabati limekua changamoto kwa Taifa hususani kwa wanafunzi wa Shule za Msingi na Sekondari kwani...
By Gabriel MushiJanuary 22, 2022CHAMA Cha Alliance for Democratic Change (ADC) kimempitisha Maimuna Said Kassim kuwa mgombea nafasi ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa...
By Gabriel MushiJanuary 22, 2022Serikali ya Mkoa wa Dar es salaam kupitia kikosi kazi cha kuratibu usafishaji wa mito mkoani humo kimeonya kuwa hakitosita kuwachukulia hatua za...
By Gabriel MushiJanuary 21, 2022Ni rahisi kutumia sababu za kisheria kusema Tanzania kuna uchaguzi wa nafasi ya Spika wa Bunge. Lakini sio rahisi kueleweka katika utamaduni wa...
By Gabriel MushiJanuary 21, 2022Breviare ni kitabu maalum cha Kikristo kwa ajili ya sala za asubuhi, mchana na jioni pamoja na nyongeza ya vipindi vingine kwa nyakati...
By Gabriel MushiJanuary 20, 2022HUKU mchakato wa kumpata spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ukiendelea, imeshauriwa kupatikana spika mwenye ujasiri wa kumshauri Rais Samia...
By Gabriel MushiJanuary 20, 2022WAZIRI Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson anakabiliwa na kitisho katika utawala wake baada ya wabunge kadhaa wa chama chake kupanga kuwasilisha barua za...
By Gabriel MushiJanuary 19, 2022DIRISHA la kuchukua fomu ya kuomba kuteuliwa katika nafasi ya uspika kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo tarehe 15 Januari limefungwa rasmi saa...
By Gabriel MushiJanuary 15, 2022MKUU wa Mkoa wa Geita, Rosemary Senyamule amesema mpango wa kuunganisha umeme wa gridi ya taifa kuelekea katika mgodi wa Geita Gold Mine...
By Gabriel MushiJanuary 14, 2022BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) imeendesha droo yake ya mwisho ya kampeni ya ‘Vuna Zaidi na NBC Shambani’ huku ikijivunia kuhitimisha kampeni...
By Gabriel MushiJanuary 13, 2022Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzaniam, Job Ndugai ameandika barua rasmi kwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi kujiuzulu nafasi...
By Gabriel MushiJanuary 8, 2022Benki ya Exim imetangaza washindi wa droo ya pili ya kampeni ya ‘Weka Mkwanja Tukutoe! ’inayoendeshwa na benki hiyo ikilenga kuhamasisha watanzania kujiwekea...
By Gabriel MushiJanuary 3, 2022KAMPUNI ya Geita Gold Mining Limited (GGML imeidhamini Klabu ya soka ya Geita Gold Football Club kwa mkataba mnono wa thamani ya Sh...
By Gabriel MushiDecember 28, 2021KIBAO kimegeuka juu chini! Ndivyo unavyoweza kuelezea mapito waliyokumbana nayo wanasiasa machachari nchini katika kipindi cha mwaka huu baada ya kuenguliwa katika...
By Gabriel MushiDecember 23, 2021ZAIDI ya Watanzani 100 wamepata ajira katika mradi wa ujenzi wa uwanja wa kisasa wa michezo unaojengwa katika mtaa wa Magogo halmashauri ya...
By Gabriel MushiDecember 22, 2021BARAZA la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC) limeitunuku Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) tuzo maalumu ya mwekezaji bora anayeshirikisha kikamilifu...
By Gabriel MushiDecember 21, 2021Over the past two years, Huawei has been regularly upgrading our cyber security methods. Cyberspace will be constantly under threat, and our enhancements...
By Gabriel MushiDecember 18, 2021Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imekabidhi zawadi mbalimbali ikiwemo baiskeli, pikipiki, guta na trekta kwa washindi wa droo ya sita ya kampeni...
By Gabriel MushiDecember 16, 2021Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO), limekiongeza chakula cha taifa cha Senegal katika orodha ya hadhi ya urithi...
By Gabriel MushiDecember 16, 2021Benki ya NBC imetoa msaada wa vitanda 60 kwa ajili ya wanafunzi wa shule ya Sekondari ya Tunamkumbuka iliyopo wilayani Bukoba mkoani Kagera...
By Gabriel MushiDecember 16, 2021KATIKA kuiwezesha sekta ya kilimo kupiga hatua nchini Benki ya Taifa ya Biashara imesaini mkataba na Kampuni ya usambazaji wa zana za kilimo...
By Gabriel MushiDecember 15, 2021WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ametoa wito kwa wakandarasi na taasisi nyingine za sekta binafsi kuzingatia weledi, maadili na uaminifu katika majukumu...
By Gabriel MushiDecember 12, 2021CHAMA kikuu cha upinzani nchini Tanzania- Chadema kimesema, hakitashiriki kikao kilichoitishgwa na ofisi ya msajili wa vyama vingi vya siasa na wadau mbalimbali...
By Gabriel MushiDecember 12, 2021BAADA ya kucheza dakika 630 bila kuibuka washindi katika Ligi Kuu NBC Tanzania Bara 2021/22, hatimaye timu ya Mtibwa Sugar, imeonja radhi ya...
By Gabriel MushiDecember 12, 2021Rais Samia Suluhu Hassan amefichua namna alivyokamatwa na askari wa usalama barabarani mara tatu kwa makosa madogo ambayo yangetatulika bila kupoteza muda na...
By Gabriel MushiDecember 12, 2021RAIS Samia Suluhu Hassan amewataka polisi kutowakamata wananchi kwa vitisho, wala kuwatia hofu kwa kuwa kufanya hivyo ni kinyume na misingi na kiapo...
By Gabriel MushiDecember 12, 2021Uongozi wa Klabu ya Yanga umeeleza kusikitishwa na kauli iliyotolewa na Mwenyekiti wa Klabu ya Simba, Murtaza Mangungu kutokana na tuhuma alizoishusha Yanga...
By Gabriel MushiDecember 12, 2021KAMPUNI ya Kuhifadhi Mafuta Tanzania (TIPER), imesema upo wezekano wa kudhibiti kupanda kwa bei za mafuta ya petroli na dizeli kila mara iwapo...
By Gabriel MushiDecember 12, 2021ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), mkoani Shinyanga, Hamis Mgeja wakiwemo makada wengine, wazee wastaafu wa chama hicho na serikali, wamewataka...
By Gabriel MushiDecember 9, 2021JUMLA ya Marais wa nchi nne pamoja na marais wastaafu watatu wamehudhuria sherehe za maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara...
By Gabriel MushiDecember 9, 2021Shirika la Bima la Zanzibar (ZIC) limezindua kampeni yake kabambe inayoitwa “WESE NDIO MCHONGO” inayotoa fursa kwa wateja wake kote nchini kujaziwa mafuta...
By Gabriel MushiDecember 9, 2021KAMPUNI ya Geita Gold Mine (GGML) imeibuka kuwa moja ya makampuni kinara kwa ulipaji kodi Tanzania kuelekea miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania...
By Gabriel MushiDecember 9, 2021Takriban wafungwa 38 wamefariki dunia na wengine 69 kujeruhiwa katika ajali ya moto ulioteketeza gereza kuu la mji mkuu wa Burundi – Gitega...
By Gabriel MushiDecember 7, 2021Polisi katika jimbo la Maharashtra – Magharibi mwa India wamemkamata kijana anayeshukiwa kumkata kichwa dadake mkubwa aliyekuwa mjamzito. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea)....
By Gabriel MushiDecember 7, 2021MJADALA juu ya mgawo wa umeme na uhaba wa maji, umeiweka Serikali ya Tanzania njia panda, baada ya baadhi ya viongozi wake...
By Gabriel MushiNovember 19, 2021SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano nwa Tanzania, Job Ndugai ameiagiza Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje kuwaita viongozi wa...
By Gabriel MushiNovember 2, 2021SPIKA wa Bunge, Job Ndugai ameiagiza Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini kukaa na wizara ya nishati ili kupata ufafanuzi unaoridhisha...
By Gabriel MushiNovember 2, 2021MWILI wa Rais wa zamani wa Zimbabwe, aliyefariki dunia tarehe 6 Septemba, 2019 umeamriwa na mahakama nchini humo ufukuliwe na kuzikwa upya...
By Gabriel MushiSeptember 12, 2021SERIKALI ya Tanzania imesema, wiki ya mwisho wa mwezi Septemba au mwanzo wa Oktoba 2021, itaanzisha wiki ya uchanjaji chanjo ya virusi...
By Gabriel MushiSeptember 12, 2021MKURUGENZI wa Idara ya Habari Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema Serikali imeidhamini Bodi ya Mazao Mchanganyiko kupatiwa mkopo...
By Gabriel MushiSeptember 12, 2021RIPOTI ya uchunguzi wa ajali ya moto katika Soko la kimataifa la Kariakoo jijini Dar es Salaam, inatarajiwa kuwasilisha kwa Rais wa...
By Gabriel MushiSeptember 12, 2021TAREHE 6 Septemba 2021, mwaka huu ulimwengu wa soka ulikumbwa na simanzi baada ya mchezaji wa zamani wa Ufaransa, Jean Pierre Adams...
By Gabriel MushiSeptember 7, 2021MAMADY Doumbouya, Kanali kiboko aliyemmaliza utawala wa Rais wa Guinea, Alpha Conde amepata mafunzo ya kivita katika nchini za Israel, Ufaransa. Anaripoti...
By Gabriel MushiSeptember 6, 2021MSAJILI wa Vyama vya Siasa nchini Tanzania, Jaji Francis Mutungi, ameitisha mkutano wa pamoja kati ya viongozi wakuu wa vyama vya siasa...
By Gabriel MushiSeptember 6, 2021KAMPUNI ya Johnson & Johnson kutoka nchini Marekani imesitisha majaribio ya chanjo ya Virusi Vya Ukimwi (VVU) Barani Afrika baada ya chanjo...
By Gabriel MushiSeptember 3, 2021SERIKALI imesema ipo tayari kushirikiana na watafiti kufanya utafiti wa vinasaba kwa makabila mbalimbali nchini ili kurahisisha upatikanaji wa matibabu ya magonjwa...
By Gabriel MushiSeptember 2, 2021TIMU ya Taifa ya Tanzania, ‘Taifa Stars’ leo tarehe 2, Septemba inashuka dimbani katika Uwanja wa TP Mazembe mjini Lubumbashi katika Jamhuri...
By Gabriel MushiSeptember 2, 2021SAA chache baada ya Kamati ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kutoa azimio la kuwasimamisha mikutano miwili wabunge wa...
By Gabriel MushiAugust 31, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amelitaka Jeshi la Polisi kuacha kutumia nguvu kubwa katika utekelezaji wa majukumu yake ili kuondoka na aibu...
By Gabriel MushiAugust 25, 2021