Tuesday , 7 May 2024
Home gabi
1254 Articles147 Comments
Habari za Siasa

Rais Samia: Hakuna kuulizana dini wakati wa sensa

Rais Samia Suluhu Hassan amesema hakuna mtu atakayeulizwa dini yake wakati wa sensa ya watu na makazi inayotarajiwa kufanyika Agosti mwaka huu. Anaripoti...

Habari za Siasa

Askofu Bagonza amzungumzia Mbowe, Urio na ACP Kingai

ASKOFU wa Dayosisi ya Karagwe ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, KKKT, Dk. Benson Bagonza, amesema juhudi zinahitajika ili kuijenga Tanzania mpya...

Habari Mchanganyiko

ACT-Wazalendo yawapigia kampeni wanawake serikalini

CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimeiomba Serikali iweke mfumo utakaohakikisha asilimia 30 ya manunuzi ya bidhaa na huduma inazotumia, zinatoka kwenye biashara za wanawake. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia atoa tahadhari mfumuko wa bei

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametahadharisha uwepo wa mfumuko mkubwa wa bei nchini unaosababishwa na kupanda kwa bei...

Kimataifa

Moshi mweupe duru ya 3 mazungumzo Urusi, Ukraine

DURUya tatu ya mazungumzo kutoka kwa wajumbe wa nchi za Ukraine na Urusi, imepiga hatua na kusababisha Urusi kutangaza njia salama kwa raia...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Askofu Bagonza aeleza alivyopingwa pendekezo la Rais mwanamke

ASKOFU wa Dayosisi ya Karagwe ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, KKKT, Dk. Benson Bagonza, amesema miaka kumi iliyopita alipingwa na baadhi...

Habari Mchanganyiko

Sakata la mtoto: ‘House girl’ aibua mazito, ndugu wasubiri majibu ya uchunguzi

SAKATA la mtoto wa kiume Ian Macha mwenye umri wa mwaka mmoja na miezi nane aliyedaiwa kupoteza maisha kutokana na ukatili wa kimwili na kingono, limezidi...

Kimataifa

Urusi yaweka masharti kusitisha mashambulizi

  SERIKALI ya Urusi imesema inaweza kusitisha mashambulizi muda wowote endapo tu Ukraine itatimiza masharti yake. Inaripoti BBC…(endelea) Msemaji wa Serikali ya Ikulu...

Habari Mchanganyiko

Tanzania yafanya mazungumzo na Ajax ya Uholanzi kutangaza vivutio utalii

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Damas Ndumbaro amefanya mazungumzo na Uongozi wa Klabu ya Soka ya Ajax ya Uholanzi ili itangaze vivutio...

Makala & Uchambuzi

Mbowe ametoka magereza na mtaji wa kisiasa

LICHA ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, kusota kwenye kuta za gereza la Ukonga kwa siku 226, ametoka...

ElimuHabari Mchanganyiko

NIT inavyohamasisha wanawake kusoma Sayansi

IKIWA imebaki siku moja Dunia kuadhimisha siku ya wanawake duniani kesho Jumanne 8 Machi 2022, Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) kimetoa hamasa...

Habari Mchanganyiko

Rice 360 yawajengea uwezo wafanyakazi DIT

TAASISI ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT) kwa kushirikiana na Taasisi ya Kimataifa ya Rice ya nchini Marekani (Rice 360 Institute for Global...

Habari za Siasa

Mazungumzo ya Rais Samia, wapinzani: ACT-Wazalendo yasema safari bado

CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimesema hatua ya Rais Samia Suluhu Hassan kufanya mazungumzo na wapinzani haiwezi kumaliza changamoto zinazoikabili nchi kwenye demokrasia, kwani huenda...

Habari Mchanganyiko

Majaliwa TADB itekeleze agizo la Rais Samia

WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameuagiza uongozi wa Benki ya Kilimo Tanzania (TADB) uhakikishe fedha ya mikopo kwa wakulima wadogo zinatumika ipasavyo...

BiasharaHabari Mchanganyiko

NMB yamkabidhi Rais Samia vifaa vya mamilioni vya elimu kwa wenye uhitaji

RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameishukuru na kuipongeza Benki ya NMB kwa mchango unaoenda kufanikisha uboreshaji elimu kwa makundi maalum. Anaripoti Mwandishi...

Habari za Siasa

Zungu amtoa hofu Rais Samia kuhusu Uchaguzi Mkuu 2025

NAIBU Spika wa Bunge, Mussa Azan Zungu amemtaka Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, asiwe na hofu kuhusu Uchaguzi Mkuu ujao wa 2025,...

Kimataifa

Putin apata pigo, Waziri wa ulinzi ajiuzulu

NI pigo kwa Rais wa Urusi, Vladimir Putin baada ya Naibu Waziri wa Ulinzi kutoka nchini Belarusi kujiuzulu wadhifa wake kwa kile alichodai...

Habari za Siasa

Kesi ya Mbowe: ACT-Wazalendo wataka sheria kumdhibiti DPP, DCI

CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimeshauri mifumo ya utawala na utoaji haki jinai nchini iboreshwe, ili kukomesha changamoto ya watu kubambikiwa kesi za kisiasa. Anaripoti...

Elimu

Dar es Salaam kujenga sekondari za ghorofa 20

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla amesema wanatarajia kujenga shule za sekondari za ghorofa 20, ili kutekeleza agizo la Rais...

Kimataifa

Urusi kusitisha mashambulizi kuruhusu misaada ya kibinadamu

URUSI imesitisha mashambulizi katika miji mingi zaidi ya nchini Ukraine leo tarehe 7 Machi, 2022 ili kuruhusu raia kuondoka, Anaripoti Mwandishi wetu …(endelea)....

Kimataifa

Padre Mrusi akamatwa kwa mahubiri ya kupinga vita

KUNDI la wanaharakati huko Urusi limeripoti kwamba padre ambaye alitoa mahubiri ya kupinga vita nchini Ukraine Jumapili, amekamatwa na anatarajiwa kufunguliwa mashtaka leo...

Habari Mchanganyiko

Rais Dk. Mwinyi azifariji familia marubaini waliopata ajali Comoro

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amezifariji familia ya rubani Adil Sultan Khamis na Ashraf Abdalla...

Habari Mchanganyiko

Wanawake watakiwa kufanya kazi kwa bidii

WANAWAKE katika Halmashauri ya Jiji la Dodoma wameshauriwa kufanya kazi kwa bidii na mshikamano ili kuhakikisha jiji hilo linasonga mbele katika nyanja zote...

ElimuHabari Mchanganyiko

Wazazi, walimu wapania kufuta ‘ziro’ Sekondari Makole

WAZAZI na walezi wa wanafunzi wa shule ya sekondari ya Makole ambao wapo kidato cha pili na cha nne kwa pamoja wamekubaliana kushirikiana...

Michezo

Mayele aibeba Yanga mbele ya Geita Gold

MFUMANIA nyavu wa Yanga Sc. Fiston Mayele anaweza kuweka rekodi ya kuwa mfungaji aliyefunga goli mapema zaidi ikiwa ni sekunde ya 50 tangu...

Habari Mchanganyiko

TEMESA wapewa mwezi mmoja kubadilika

WAKALA wa Ufundi na Umeme (TEMESA) wamepewa mwezi mmoja kubadilisha utendaji kazi wao na kuleta matokeo chanya katika kutekeleza majukumu yao. Anaripoti Suleiman...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe: Sikutaka kesi ifutwe ili dunia ijue ukweli

MWENYEKITI wa Chama cha Maendeleo na Demokrasia, Freeman Mbowe amesema licha ya kuwa ugaidi ni kosa linaloweza kumfungisha mtu maisha lakini alimuomba Mungu...

Habari Mchanganyiko

Mpwapwa kutoa elimu kilimo bora cha mtama

KATIKA kuunga mkono Mradi wa Kilimo Himilivu cha Mtama (CSA), unaotekelezwa na Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) na Shirika la Farm...

Biashara

NMB yatoa vifaa vya milioni 29 hospitali ya Amana, Shule 3 Dar

HOSPITALI ya Rufaa ya Amana na Shule tatu za msingi za Buguruni Kisiwani, Kivule na Airwing zilizoko Wilaya ya Ilala jijini Dar es...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe: Nguvu ya umma imenitoa gerezani

KIONGOZI wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema, Freeman Mbowe amesema, kilichomfanya akafutiwa mashtaka ya ugaidi yaliyokuwa yanamkabili ni “nguvu ya...

Habari za Siasa

Jeshi Urusi kuokoa wanafunzi wa Tanzania waliokwama Ukraine

SERIKALI ya Urusi imetengeneza njia salama ya kuwawezesha wanafunzi raia wa Tanzania wanaosoma katika Chuo Kikuu cha Sumy kilichopo nchini Ukraine kuvuka na...

Afya

Tozo miamala ya simu yajenga Kituo cha afya Musoma

JUMLA ya Sh milioni 250 zilizopatikana kutokana na tozo za miamala ya simu zinatarajiwa kutumika katika ujenzi wa Kituo cha Afya Rukuba kilichopo...

Habari Mchanganyiko

Sakata la mtoto: Mwili wafukuliwa Dar

  MWILI wa mtoto wa kiume mwenye umri wa mwaka mmoja na miezi minane aliyepoteza maisha ikidaiwa ni kutokana na ukatili wa kimwili...

BiasharaHabari

Zawadi NMB MastaBata zabaki milioni 100

KAMPENI ya NMB MastaBata inayoelekea ukingoni imebakiwa na zawadi ya Sh.100 milioni baada ya Sh.140 milioni kati ya Sh.240 milioni kunyakuliwa na washindi...

Makala & Uchambuzi

Mgogoro Urusi-Ukraine: Je, vita ya tatu ya dunia?

KUMEKUWEPO na kurushiana maneno baina ya Urusi na nchi za Magharibi huku kukiwepo matamshi yanayoashiria kutokea vita vya tatu ya dunia sambamba na...

Afya

Bulembo aanika faida ujenzi Kituo cha afya Kwafungo

MKUU wa Wilaya ya Muheza, Halima Bulembo amesema fedha kutoka katika Mpango wa Ustawi wa Taifa na Mapambano dhidi ya Uviko 19, zilizotokana...

Kimataifa

Ruto atema nyongo majuu, adai siasa Kenya zimekumbwa na usaliti

NAIBU Rais wa Serikali ya Kenya, William Ruto amesema kuwa kuna usaliti na vitisho vingi katika harakati za kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika...

Kimataifa

Wananchi Ukraine waingia barabarani kuzuia majeshi ya Urusi

WAKATI watu zaidi ya milioni moja wakiripotiwa kuikimbia Ukraine, wengine wameamua kujitokeza na kuandamana barabarani kuzuia uvamizi wa majeshi ya Urusi. Anaripoti Mwandishi...

Michezo

Wanamichezo Urusi, Belarus wapigwa marufuku Paralimpiki

WANAMICHEZO wote waliotarajia kushiriki michezo ya Paralimpiki msimu wa baridi, inayotarajiwa kuanza rasmi kesho Beijing nchini China, wamepigwa marufuku. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea) Taarifa...

Kimataifa

Urusi yataja idadi ya wanajeshi wake waliofariki, yatofautiana na Ukraine

KWA mara ya kwanza Urusi imetangaza vifo vya wanajeshi wake 498 na wengine 1,597 kujeruhiwa tangu kuanza kwa vita kati yake na Ukraine....

Habari MchanganyikoTangulizi

Jamaa aoa pacha watatu wanaofanana “Nawapenda wote

MWANAUME kutoka Jamhiri ya Kidemokrasia ya Congo ameingia kwenye rekodi ya mfalme Solomoni baada ya kufunga pingu za maisha na mapacha watatu wa...

Habari Mchanganyiko

Mwanamke anyofoa sikio la mpenzi wake kisa nauli bodaboda

MWANAMKE mmoja mkazi wa mtaa wa Kawangware, Kaunti ya Nairobi nchini Kenya, amepandishwa kizimbani kwa tuhuma za kumng’ata sikio mpenzi na kulinyofoa kabisa....

ElimuHabari Mchanganyiko

Ujenzi wa VETA wagusa maisha ya vibarua Mkinga

WANANCHI wa wilaya ya Mkinga Mkoani Tanga wameeleza kufaidika na miradi ya Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) ambayo inajenga...

Habari MchanganyikoKitaifa

UNYAMA; mtoto adaiwa kulawitiwa, afariki, wazazi waiangukia Serikali

NI unyama ndivyo unavyoweza kuelezea baada ya mtoto Ian Macha mwenye umri wa mwaka mmoja na miezi nane kudaiwa kutendewa ukatili wa kingono,...

Biashara

GGML yabeba tuzo kampuni bora katika sekta ya madini 2021

KAMPUNI ya uchimbaji madini ya dhahabu Geita (GGML) imetunukiwa tuzo ya kuwa kampuni bora inayoendesha shughuli za uchimbaji wa madini nchini kwa mwaka...

Biashara

Wajasiriamali 825 wanaufaika na mkopo Morogoro

KATIKA kuunga mkono juhudi za wajasiriamali na kuhakikisha wanajikwamua kiuchumi na kujiongezea kipato, Halmashauri ya Morogoro imetoa mkopo wa Sh  milioni  340 kwa  ...

Biashara

GGML yashinda tuzo ya usalama duniani kwa mwaka wa tatu mfululizo

KAMPUNI ya Uchimbaji madini ya dhahabu Geita (GGML) imetunukiwa tuzo ya Usalama ya Dunia ya 2021 kwa mwaka wa tatu mfululizo na kuifanya...

Tangulizi

Balozi Mbarouk amuaga balozi wa Vatican

NAIBU Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk amekutana na kumuaga Balozi wa Vatican nchini, Askofu...

BiasharaHabari Mchanganyiko

GGML wamwaga Sh milioni 90 mkutano wa madini

KAMPUNI ya uchimbaji wa madini ya dhahabu mkoani Geita (GGML) imetoa msaada wa Sh milioni 90 kudhamini Mkutano wa nne wa Uwekezaji wa...

BiasharaHabari Mchanganyiko

TANESCO kuvuna bilioni 5 mapato ya mwezi kutoka GGML

KUKAMILIKA kwa mradi wa kupeleka umeme kwenye Kampuni ya uchimbaji madini ya dhahabu ya Geita Gold Mining Limited (GGML) kunatarajiwa kutaliwezesha Shirika la...

error: Content is protected !!