Tanzania imeendelea kusisitiza adhma yake ya kuwa kituo kikuu cha uchimbaji madini barani Afrika, kupitia hatua zake mbalimbali za kimkakati na kiujumuishi ikiwemo...
By Gabriel MushiMay 5, 2024Serikali imesema inaendelea na juhudi za kutafuta fedha kiasi cha Sh tatu bilioni kwa ajili ya ujenzi wa daraja la Mto Mpiji ili...
By Gabriel MushiMay 3, 2024WAZIRI wa Madini amesema dhana ya “Vision 2030” inakusudia kuiendeleza sekta ya madini kwa kufanya tafiti za kina za jiofizikia; kujenga maabara ya...
By Gabriel MushiApril 30, 2024Wanamichezo wanaoshiriki Michezo ya Mei Mosi Taifa 2024 jijini Arusha wamefanya matendo ya huruma kwa kutoa fedha na vitu mbalimbali vyenye thamani ya...
By Gabriel MushiApril 30, 2024WAZIRI wa Madini, Anthony Mavunde leo Jumanne amewasilisha hotuba ya bajeti ya wizara hiyo na kuliomba Bunge liridhie na kupitisha makadirio ya Sh...
By Gabriel MushiApril 30, 2024Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi nchini (TUCTA), Tumaini Nyamhokya amefunga mashindano ya Michezo ya Mei Mosi Taifa 2024 jijini Arusha kwa...
By Gabriel MushiApril 29, 2024Rais wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan leo Jumatatu amehutubia viongozi pamoja na wageni mbalimbali walioshiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika...
By Gabriel MushiApril 29, 2024NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko ameipongeza Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) kwa kufanikiwa kudhibiti matukio ya...
By Gabriel MushiApril 28, 2024Waziri wa Madini, Anthony Mavunde ameitaka Kampuni ya Xin Tai Mining Company Limited kutimiza masharti ya mkataba wa ubia wa uwekezaji wa kutoa...
By Gabriel MushiApril 28, 2024Kampuni ya Mineral Access System Limited (MAST) inayoiwakilishwa kampuni ya Akmenite Limited Lithuania, inatarajia kutumia dola za Marekani milioni 15 (Sh 38.9 bilioni)...
By Gabriel MushiApril 23, 2024Rais wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan amewapongeza mabalozi wanaowakilisha Tanzania katika nchi mbalimbali duniani kwa kazi nzuri ya uwakilishi ambayo inaonekana kwa...
By Gabriel MushiApril 22, 2024WAKALA wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA), umetakiwa kuwa wakali na kuhakikisha sheria, taratibu na kanuni za usalama na afya mahali...
By Gabriel MushiApril 21, 2024Wakati Tanzania na Uturuki zikidhamiria kuongeza kiwango cha biashara hadi kufikia Dola za Kimarekani bilioni moja (Sh trilioni 2.5), ndani ya mwaka mmoja...
By Gabriel MushiApril 20, 2024Waziri wa Madini, Anthony Mavunde ameipongeza Kampuni ya Perseus kwa kufanikiwa kukamilisha wa mchakato wa ununuzi wa hisa za Kampuni ya Ore Corp...
By Gabriel MushiApril 19, 2024Rais wa Kenya, William Ruto ametangaza maombezo ya siku tatu kuanzia kesho Ijumaa kutokana na kifo cha Mkuu wa Majeshi nchini hiyo CDF-...
By Gabriel MushiApril 18, 2024SERIKALI za Tanzania na Uturuki zimekubaliana kuendeleza dhamira ya kuimarisha uhusiano wenye manufaa kwa pande zote mbili ili kuendelea kufungua milango ya fursa...
By Gabriel MushiApril 18, 2024Baraza la Chuo Kikuu cha Ankara, ambacho ni cha pili kwa ukubwa nchini Uturuki linatarajiwa kumtunuku Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,...
By Gabriel MushiApril 17, 2024Rais Samia Suluhu Hassan leo Jumatano amewasili nchini Uturuki kwa ziara ya kitaifa yenye lengo la kukuza uhusiano wa diplomasia ya siasa, uchumi...
By Gabriel MushiApril 17, 2024SERIKAL imepongezwa kwa utekelezaji wa mapendekezo ya sekta binafsi kupitia vikao na mikutano ya Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) ambapo sekta binafsi...
By Gabriel MushiApril 16, 2024RIPOTI ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali kwa Mwaka 2022/2023 imbeinisha kuwa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania ilitoa hati...
By Gabriel MushiApril 16, 2024WAZIRI wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemuagiza meneja wa Wakala wa barabara mkoa wa Dar es Salaam kufika katika barabara ya Gomvu – Kimbiji...
By Gabriel MushiApril 15, 2024WAZIRI wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Stargomena Tax amesema Juni mwaka huu wizara hiyo kwa kushirikiana na wizara ya fedha inatarajia...
By Gabriel MushiApril 15, 2024MBUNGE wa Gairo, Ahamed Shabiby (CCM), amesisitiza hoja yake kuwa njia rahisi ya kuwawezesha watanzania wote kuwa na Bima ya Afya (NHIF) ni...
By Gabriel MushiApril 9, 2024SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Tulia Ackson ametangaza msiba wa Mbunge wa Kwahani, Ahmed Yahya Abdulwakil (CCM), aliyefariki...
By Gabriel MushiApril 8, 2024Waziri wa Madini, Anthony Mavunde amesema Serikali itatekeleza programu ya Mining for a Brighter (MBT) kwa lengo la kuwainua wachimbaji wanawake na vijana....
By Gabriel MushiApril 8, 2024JUMLA ya abiria 17 kati ya 27 waliozama na meli ya MV Maman Benita kwenye Ziwa Tanganyika, wameokolewa huku juhudi za kuendelea kuwatafuta...
By Gabriel MushiApril 8, 2024Serikali imewataka viongozi wa Jumuiya za Hifadhi Wanyamapori (WMAs) kuzingatia matumizi sahihi ya fedha ili kuwanufaisha wananchi wa vijiji wanachama pia kuzingatia mikataba...
By Gabriel MushiApril 8, 2024SERIKALI imesema ipo katika hatua za mwisho kisheria kukamilisha mchakato wa umiliki wa Msitu wa Hewa ya Ukaa uliopo Kituti hadi Mgolo kwa...
By Gabriel MushiApril 8, 2024Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amesema Watanzania wanapaswa kumuenzi Hayati Edward Moringe Sokoine kwa kufanya kazi kwa bidii...
By Gabriel MushiApril 8, 2024WABUNGE wameitaka Serikali kuzuia magari yanayotumiwa na viongozi wake katika sehemu za starehe muda wa usiku pamoja na kuchukua hatua pindi yanapovunja sheria...
By Gabriel MushiApril 8, 2024Mbunge wa Moshi Mjini, Priscus Tarimo (CCM) ameitaka wizara ya afya kutekeleza mapendekezo yaliyotolewa na kamati mbalimbali za Bunge kwamba iliyokuwa Mamlaka ya...
By Gabriel MushiApril 8, 2024Serikali kupitia wakala ya barabara za vijijini na mijini (TARURA) mwaka wa fedha 2023/2024 imetenga kiasi cha Sh 61 milioni kwa kazi za...
By Gabriel MushiApril 8, 2024Waziri wa Madini, Anthony Mavunde amesema serikali itahakikisha inakuja na suluhisho la migogoro baina ya wachimbaji inayojitokeza katika eneo la machimbo ya madini...
By Gabriel MushiApril 7, 2024Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Slaaa amemuelekezw Katibu Mkuu wa wizara yake kuhakikisha Mkurugenzi wa Maendeleo ya Makazi na...
By Gabriel MushiApril 7, 2024Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa amewataka watumishi wa Sekta ya Ardhi kuhakikisha wanawahudumia wananchi kwa uadilifu na upendo...
By Gabriel MushiApril 6, 2024Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amesisitiza Mamlaka za Maji Nchini ikiwemo Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kuhakikisha...
By Gabriel MushiApril 6, 2024RAIS Samia Suluhu Hassan ameipongeza Klabu ya Yanga licha ya kutolewa na Mamelodi Sundowns katika hatua ya robo fainali ya mashindano ya ligi...
By Gabriel MushiApril 6, 2024Mbunge wa Dodoma Mjini, Anthony Mavunde (CCM) amewataka viongozi wa dini kuhimiza amani, mshikamano na upendo miongoni mwa watanzania kwa ustawi wa maendeleo...
By Gabriel MushiApril 5, 2024MBUNGE wa Singida Mjini, Mussa Sima ameitaka Serikali kuweka mipango imara itakayohakikisha shughuli za wafanyabiashara wanaotumia Soko Kuu la Ipembe haziathiri wakati ujenzi...
By Gabriel MushiApril 5, 2024Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo (CCM), ameitaka Serikali kutoa elimu kwa jamii kuhusu udhibiti wa mamba pamoja na kuendelea kujenga uzio katika sehemu...
By Gabriel MushiApril 5, 2024Waziri wa Madini, Anthony Mavunde amekutana na kufanya kikao kifupi na Mwenyekiti wa Bodi ya EITI Rt. Helen Clark katika Ofisi Ndogo za...
By Gabriel MushiApril 4, 2024MUFTI na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Dk. Sheikh Abubakar Zubeir bin Ali Mbwana ameitaka Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni, (BRELA) kutoa...
By Gabriel MushiApril 4, 2024Kamati ya Sera ya Fedha (MPC) imepandisha Riba ya Benki Kuu (Central Bank Rate-CBR) kutoka asilimia 5.5 iliyotumika katika robo ya kwanza ya...
By Gabriel MushiApril 4, 2024TAREHE 2 Aprili 2024, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alizindua mbio za Mwenge wa Uhuru mjini Moshi mkoani Kilimanjaro. Kutokana na umuhimu wa historia...
By Gabriel MushiApril 4, 2024Naibu Waziri wa nchi, Ofisi ya Rais (Utumishi na Utawala Bora), Ridhiwani Kikwete amesema katika mwaka huu wa fedha unaoishia 2023/2024, Serikali imepanga...
By Gabriel MushiApril 3, 2024Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imeendelea na zoezi la utoaji wa vifaa vya maunganisho mapya ya huduma...
By Gabriel MushiMarch 25, 2024MSEMAJI Mkuu wa Serikali, Mobhare Matinyi amesema katika kipindi cha uongozi wa miaka mitatu ya Rais Samia Suluhu Hassan, utalii ndio sekta inayoongoza...
By Gabriel MushiMarch 25, 2024KITUO cha Jemolojia Tanzania (TGC) kimejipanga kuwa Kituo bora cha mafunzo ya utambuzi, uthaminishaji, ukataji madini ya vito, uchongaji wa vinyago vya vito...
By Gabriel MushiMarch 20, 2024MJADALA kuhusu safari ya mwisho ya maisha ya Hayati Rais John Magufuli umeendelea kupamba moto baada ya Askofu Dk. Benson Bagonza wa Kanisa...
By Gabriel MushiMarch 19, 2024BARAZA la Taifa la Uwezeshaji wananchi Kiuchumi (NEEC) kwa kushirikiana na Taasisi mbalimbali za wanawake hapa nchini kesho Jumapili wameandaa hafla maalumu ya...
By Gabriel MushiMarch 9, 2024