Sunday , 19 May 2024
Home gabi
1264 Articles148 Comments
Habari

Bodi ya mazao, NFRA zamwagiwa mabilioni kununua mahindi ya wakulima

  MKURUGENZI wa Idara ya Habari Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema Serikali imeidhamini Bodi ya Mazao Mchanganyiko kupatiwa mkopo...

Habari MchanganyikoTangulizi

Ripoti uchunguzi soko la Kariakoo kutua kwa Rais Samia

  RIPOTI ya uchunguzi wa ajali ya moto katika Soko la kimataifa la Kariakoo jijini Dar es Salaam, inatarajiwa kuwasilisha kwa Rais wa...

Makala & UchambuziMichezo

Mgomo wa madaktari ulivyomweka kwenye koma miaka 39 Jean Pierre, dunia yamlilia

  TAREHE 6 Septemba 2021, mwaka huu ulimwengu wa soka ulikumbwa na simanzi baada ya mchezaji wa zamani wa Ufaransa, Jean Pierre Adams...

KimataifaTangulizi

Mfahamu Kanali aliyemng’oa Rais wa Guinea

  MAMADY Doumbouya, Kanali kiboko aliyemmaliza utawala wa Rais wa Guinea, Alpha Conde amepata mafunzo ya kivita katika nchini za Israel, Ufaransa. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Jaji Mutungi, kuwakutanisha IGP Siro na viongozi wa vyama vya siasa

  MSAJILI wa Vyama vya Siasa nchini Tanzania, Jaji Francis Mutungi, ameitisha mkutano wa pamoja kati ya viongozi wakuu wa vyama vya siasa...

AfyaTangulizi

Johnson & Johnson wasitisha majaribio chanjo ya VVU Barani Afrika

  KAMPUNI ya Johnson & Johnson kutoka nchini Marekani imesitisha majaribio ya chanjo ya Virusi Vya Ukimwi (VVU) Barani Afrika baada ya chanjo...

Habari Mchanganyiko

Serikali yafungua milango utafiti wa DNA kwa makabila Tanzania

  SERIKALI imesema ipo tayari kushirikiana na watafiti kufanya utafiti wa vinasaba kwa makabila mbalimbali nchini ili kurahisisha upatikanaji wa matibabu ya magonjwa...

Michezo

Taifa Star dimbani leo kumenyana na DRC

  TIMU ya Taifa ya Tanzania, ‘Taifa Stars’ leo tarehe 2, Septemba inashuka dimbani katika Uwanja wa TP Mazembe mjini Lubumbashi katika Jamhuri...

Habari za SiasaTangulizi

Wabunge wamkaanga Askofu Gwajima, Silaa

  SAA chache baada ya Kamati ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kutoa azimio la kuwasimamisha mikutano miwili wabunge wa...

Habari za Siasa

Aibu mtuhumiwa kufia mikononi mwa polisi- Rais Samia

RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amelitaka Jeshi la Polisi kuacha kutumia nguvu kubwa katika utekelezaji wa majukumu yake ili kuondoka na aibu...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia aagiza kesi zisizo na ushahidi zifutwe

RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameliagiza Jeshi la Polisi nchini humo kurekebisha sheria ya kuweka mtu mahabusu pamoja na kufuta kesi ambazo...

Kimataifa

Jasusi mkuu CIA akutana kwa siri na Taliban

  MKUU wa Shirika la Ujasusi la Marekani, William Burns amefanya mkutano wa siri na mwanzilishi mwenza wa kikundi cha wanamgambo wa Taliban,...

Kimataifa

Kaka’ke rais aliyetimuliwa madaraka aikubali Taliban

KATIKA hali ya kushangaza, Kaka yake Rais aliyetimuliwa madarakani na kundi la wanamgambo wa Taliban huko nchini Afghanistan, Ashraf Ghani, Hashmat Ghani amesema...

Kimataifa

Mahakama yapiga chini marufuku ya kuvaa sketi fupi ‘minisketi’

Mahakama ya Katiba nchini Uganda imefuta sheria iliyokuwa imepiga marufuku wanawake na wasichana nchini humo kuvaa nguo fupi kufuatia shinikizo la wanaharakati. Imeandaliwa...

error: Content is protected !!