MWANAUME kutoka Jamhiri ya Kidemokrasia ya Congo ameingia kwenye rekodi ya mfalme Solomoni baada ya kufunga pingu za maisha na mapacha watatu wa...
By Gabriel MushiMarch 3, 2022MWANAMKE mmoja mkazi wa mtaa wa Kawangware, Kaunti ya Nairobi nchini Kenya, amepandishwa kizimbani kwa tuhuma za kumng’ata sikio mpenzi na kulinyofoa kabisa....
By Gabriel MushiMarch 3, 2022WANANCHI wa wilaya ya Mkinga Mkoani Tanga wameeleza kufaidika na miradi ya Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) ambayo inajenga...
By Gabriel MushiMarch 2, 2022NI unyama ndivyo unavyoweza kuelezea baada ya mtoto Ian Macha mwenye umri wa mwaka mmoja na miezi nane kudaiwa kutendewa ukatili wa kingono,...
By Gabriel MushiMarch 2, 2022KAMPUNI ya uchimbaji madini ya dhahabu Geita (GGML) imetunukiwa tuzo ya kuwa kampuni bora inayoendesha shughuli za uchimbaji wa madini nchini kwa mwaka...
By Gabriel MushiMarch 2, 2022KATIKA kuunga mkono juhudi za wajasiriamali na kuhakikisha wanajikwamua kiuchumi na kujiongezea kipato, Halmashauri ya Morogoro imetoa mkopo wa Sh milioni 340 kwa ...
By Gabriel MushiFebruary 28, 2022KAMPUNI ya Uchimbaji madini ya dhahabu Geita (GGML) imetunukiwa tuzo ya Usalama ya Dunia ya 2021 kwa mwaka wa tatu mfululizo na kuifanya...
By Gabriel MushiFebruary 28, 2022NAIBU Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk amekutana na kumuaga Balozi wa Vatican nchini, Askofu...
By Gabriel MushiFebruary 23, 2022KAMPUNI ya uchimbaji wa madini ya dhahabu mkoani Geita (GGML) imetoa msaada wa Sh milioni 90 kudhamini Mkutano wa nne wa Uwekezaji wa...
By Gabriel MushiFebruary 23, 2022KUKAMILIKA kwa mradi wa kupeleka umeme kwenye Kampuni ya uchimbaji madini ya dhahabu ya Geita Gold Mining Limited (GGML) kunatarajiwa kutaliwezesha Shirika la...
By Gabriel MushiFebruary 23, 2022WANANCHI wametakiwa kutumia vipimo maalumu vinavyoonesha ugonjwa na aina ya matibabu yake sahihi, ili kuepukana na tatizo la usugu wa dawa. Anaripoti Regina...
By Gabriel MushiFebruary 21, 2022JUMLA ya Sh milioni 59 zinatarajiwa kutumika kukarabati madarasa sita katika Shule ya Msingi Chamwino (A) iliyopo katika Kata ya Chamwino jijini Dodoma....
By Gabriel MushiFebruary 21, 2022KADA mkongwe wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Waziri wa zamani wa Maliasili na Utalii, Balozi Khamis Kagasheki amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan...
By Gabriel MushiFebruary 21, 2022LICHA ya kupata chanjo tatu za kudhibiti maambukizi ya virusi vya Corona, janga hilo limebisha hodi katika familia ya Malkia Elizabeth wa Uingereza...
By Gabriel MushiFebruary 21, 2022MAMIA ya Wanachama kutoka Chama cha ACT Wazalendo wamekihama chama hicho na kujiunga na Chama cha Wananchi (CUF) akiwemo aliyekuwa Mgombea nafasi ya...
By Gabriel MushiFebruary 20, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan amesema katika ziara na mikutano aliyoifanya Barani Ulaya imeifanikisha Tanzania kukwamua miradi iliyokuwa imekwama. Amesema miradi hiyo ilikwama katikati...
By Gabriel MushiFebruary 20, 2022KANISA la Maombi na Maombezi kwa Mataifa yote (RUTACH) limepiga marufuku waumini wake kuacha mara moja kukata mauno pindi wanapokuwa wakiimba kwaya au...
By Gabriel MushiFebruary 20, 2022STAA wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul maarufu kama Diamond Platnumz kupitia kwenye ukurasa wake wa Instagram amewatangazia mashabiki wake kwamba ataachia EP yake...
By Gabriel MushiFebruary 20, 2022WAKAZI wa kijiji cha Chamasili katika kaunti ya Sabatia huko Vihiga nchini Kenya wamekumbwa na mshtuko baada ya kijana mmoja mwenyen umri wa...
By Gabriel MushiFebruary 20, 2022KATIBU Mkuu wa Jumuiya ya Kujihami ya NATO, Jens Stoltenberg amesema Urusi imepanga kufanya mashambulizi dhidi ya Ukraine. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea)....
By Gabriel MushiFebruary 20, 2022WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameridhia kuongeza muda wa siku saba kwa kamati maalum iliyopewa jukumu la kuchunguza mauaji yaliyofanyika Mtwara na Kilindi mkoani...
By Gabriel MushiFebruary 20, 2022IMEELEZWA kuwa Serikali imejibu kilio cha muda mrefu cha watumiaji wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga, kwa kuwezesha upatikanaji wa huduma...
By Gabriel MushiFebruary 20, 2022MWANAMUZIKI mahiri kutoka nchini Nigeria, Bukola Elemide maarufu kama ‘Asa’ ameachia ngoma yake mpya iitwayo Ocean aliyofanya na prodyuza maarufu, Prime, ikiwa ni...
By Gabriel MushiFebruary 19, 2022Dk. Ndumbaro awavisha vyeo viongozi TANAPA, NCAA Waziri wa Maliasili na Utalii Dk. Damas Ndumbaro leo tarehe 18 Februari, 2022 ameongoza zoezi la...
By Gabriel MushiFebruary 18, 2022Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Damas Ndumbaro amesema chanzo cha maduka ya nyamapori kuzorota nchini, ni wafanyabiashara waliopewa leseni za biashara hiyo...
By Gabriel MushiFebruary 18, 2022WAKATI filamu ya kihistoria ya “THE ROYAL TOUR” ambayo Rais Samia Suluhu Hassan ameshiriki akiwa Mwongozaji Mkuu wa watalii ikitarajiwa kuzinduliwa rasmi Aprili...
By Gabriel MushiFebruary 18, 2022KAMISHNA wa Kazi, Suzana Mkangwa ametoa rai kwa waandishi wa habari nchini kujiunga kwenye vyama vya wafanyakazi, ili kuhakikisha wanakuwa na nguvu ya...
By Gabriel MushiFebruary 17, 2022WAANDAAJI wa filamu wa Afrika Mashariki hususani waandishi wa miswada (script writters) wanatarajiwa kunufaika na mpango maalum ulioandaliwa na Taasisi ya Realness kwa...
By Gabriel MushiFebruary 16, 2022MUIMBAJI wa nyimbo za injili nchini Tanzania, Jane Misso amewaomba mashabiki zake kukaa mkao wa kula kwani sasa amenuia kurejea kwa kishindo baada...
By Gabriel MushiFebruary 16, 2022MBUNGE wa Kibamba (CCM), Issa Mtemvu, ameitaka Serikali ifanye ukaguzi maalumu wa asilimia 10 ya fedha za mapato ya halmashauri nchini, zinazotolewa kwa...
By Gabriel MushiFebruary 16, 2022SERIKALI kupitia Jeshi la Zimamoto na Uokoaji nchini imetenga bajeti ya maendeleo ya mwaka wa fedha 2021/2022 ya kiasi cha Sh bilioni mbili...
By Gabriel MushiFebruary 16, 2022SERIKALI ya Zanzibar, imezindua rasmi matumizi ya teknolojia mpya inayotambua maambukizi ya virusi vya korona (UVIKO-19) kupitia vipimo vya smaku umeme yaani electromagnetic....
By Gabriel MushiFebruary 16, 2022Rais wa zamani wa Honduras, Juan Orlando Hernandez amekamatwa na polisi nyumbani kwake kufuatia ombi la Marekani la kutaka kiongozi huyo apelekwa nchini...
By Gabriel MushiFebruary 16, 2022MAHAKAMA Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam, imeitupilia mbali kesi ya kupinga marekebisho ya Sheria ya Utekelezaji wa Haki za Msingi...
By Gabriel MushiFebruary 16, 2022BENKI ya Exim imekabidhi gari aina ya Toyota Vanguard kwa taasisi ya Work of Mary (Focolare Movement Tanzania) ya mkoani Iringa iliyoibuka mshindi...
By Gabriel MushiFebruary 15, 2022MAHAKAMA Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, Dar es Salaam, imetoa maamuzi juu ya madai yaliyotolewa na Mwenyekiti wa Chadema,...
By Gabriel MushiFebruary 14, 2022MPELELEZI Msaidizi, wa kesi ya uhujumu uchumi, inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake, Inspekta Tumaini Swila, amedai kuna fedha ambazo mwanasiasa...
By Gabriel MushiFebruary 14, 2022SERIKALI ya Tanzania imesema Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali itakapotafsiri sheria ya barabara ya mwaka 1932 pamoja na Kanuni zake za mwaka...
By Gabriel MushiFebruary 14, 2022SERIKALI ya Tanzania imefungua ubalozi mdogo (Konseli Kuu) katika Jiji la Lubumbashi, Jimbo la Haut Katanga, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Ofisi za...
By Gabriel MushiFebruary 14, 2022SERIKALI imebaini kuwa baadhi ya wafanyabiashara wamepandisha gharama za bidhaa mbalimbali mara tatu ya bei halisi. Pia imebaini kuwa kuna baadhi ya wafanyabiashara...
By Gabriel MushiFebruary 13, 2022MSEMAJI Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema hakuna aliyewahi kuupinga wala kuufuta ujenzi wa bandari ya Bagamoyo chini ya mradi wa Ukanda Maalumu...
By Gabriel MushiFebruary 13, 2022Msanii wa Bongo fleva, Rajab Abdul maarufu kama ‘Harmonize’ ametangaza ujio wa tamasha lake katika jiji la Dar es salaam liitwalo (Afro East...
By Gabriel MushiFebruary 8, 2022MSANII wa Bongofleva, Nasib Abdul maarufu kama Diamond Platnumz ameweka rekodi nyingine ya kuwa msaanii wa kwanza katika ukanda wa Afrika Mashariki kutumbuiza...
By Gabriel MushiFebruary 8, 2022JESHI la Polisi Mkoa wa Kigoma, linawashikilia watu sita wakituhumiwa kuhusika na matukio saba ya mauaji yaliyotokea katika nyakati tofauti mkoani humo. Anaripoti...
By Gabriel MushiFebruary 2, 2022HELMAN John, anadaiwa kumuuwa kwa kumpiga na mpini wa jembe mama yake, Celina William, akimdai fedha kiasi cha Sh. 300,000. Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Gabriel MushiFebruary 2, 2022MWANAJESHI wa Zambia amepandishwa cheo cha kijeshi kwa kumsaidia mwanamke mjamzito kujifungua mtoto katika shamba la mahindi. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Mwanajeshi...
By Gabriel MushiFebruary 2, 2022BAADHI ya wasomi kutoka Wilaya ya Ngorongoro, mkoani Arusha, wameiangukia Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan, iitishe meza ya majadiliano kati ya wananchi...
By Gabriel MushiJanuary 29, 2022Halmshauri Kuu ya Chama imepokea na kuthibitisha mapendekezo ya Kamati Kuu ya Chama juu wagombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa Taifa, Makamu Mwenyekiti...
By Gabriel MushiJanuary 28, 2022TAREHE 23 Januari, 2022 Waziri Mkuu Mstaafu Dk. Salim Ahmed Salim alitimiza miaka 80, leo nakuletea makala inayofafanua namna alivyombana pumzi aliyekuwa Rais...
By Gabriel MushiJanuary 28, 2022