WANAFUNZI wa Kitanzania wa TEHAMA kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na Chuo Kikuu cha Dodoma waliibuka miongoni mwa wanafunzi bora zaidi...
By Gabriel MushiMarch 23, 2022SERIKALI ya Tanzania imeombwa kufanya upya uchunguzi upya ili kubaini chanzo cha kuchafuka kwa maji ya Mto Mara na kufa kwa samaki mtoni...
By Gabriel MushiMarch 22, 2022WAKATI mjadala wa upatikanaji katiba mpya ukiendelea kushika kasi nchini, Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), umetaka usiendeshwe kisiasa kwani...
By Gabriel MushiMarch 22, 2022BAADA ya kushindwa kufanya kazi kwa takribani miaka 10 kutokana na sababu mbalimbali, hatimaye Serikali kupitia Ofisi ya Msajili wa Hazina imekabidhi Kiwanda...
By Gabriel MushiMarch 22, 2022MAHAKAMA ya Rufaa ya Tanzania, Kanda ya Iringa, kesho Jumatano, tarehe 23 Machi 2022, inatarajia kusikiliza rufaa ya Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP)...
By Gabriel MushiMarch 22, 2022WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa Qatar, Sheikh Khalid bin Khalifa bin Abdulaziz Al Thani ambapo wamekubaliana...
By Gabriel MushiMarch 22, 2022TUME ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) imetoa fursa kwa wanafunzi wabunifu kujiunga na Kumbi mama ya bunifu Buni Hub ambayo inaendesha...
By Gabriel MushiMarch 22, 2022RAIS wa Ukraine, Volodymyr Zelensky kesho Jumatano tarehe 23 Machi, 2022 anatarajiwa kuhutubia Bunge la Japan kwa njia ya mtandao. Hotuba yake inatarajiwa...
By Gabriel MushiMarch 22, 2022WAZIRI MKUU mstaafu wa Mali, Soumeylou Boubèye Maïga amefariki dunia jana tarehe 21 Machi, 2022 katika hospitali moja iliyopo jijini Bamako. Kwa mujibu...
By Gabriel MushiMarch 22, 2022Serikali ya Tanzania imekutana na Umoja wa Ulaya (EU) kujadili masuala mbalimbali yanayohusu Mkataba wa Ushirikiano wa Kiuchumi (EPA) kati ya Umoja huo...
By Gabriel MushiMarch 21, 2022Rais wa Uganda, Yoweri Museveni jana tarehe 20 Machi, 2022 ametangaza kifo cha Spika wa Bunge la 11 la Uganda, Jacob Oulanyah. Anaripoti...
By Gabriel MushiMarch 21, 2022JUMLA ya wanafunzi 16 wenye mahitaji maalumu katika Shule ya Msingi Subira iliyopo Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma, wamemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan...
By Gabriel MushiMarch 21, 2022MKE wa Mwenyekiti wa Chadema, Freema Mbowe, Dk. Lilian Mtei amesema Baba mkwe wake Aikael Mbowe ndiye aliyekuwa kiongozi wa ujenzi wa...
By Gabriel MushiMarch 20, 2022MWENYEKITI wa Chama cha Demokraria na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amesema kusimama katika misingi ya haki na ukweli ndilo agano aliloweka kati yake...
By Gabriel MushiMarch 20, 2022VIGOGO – Yanga wameendeleza wimbi la ushindi katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya kuizabua Klabu ya KMC mabao 2-0 usiku huu...
By Gabriel MushiMarch 19, 2022MWAKA mmoja wa Rais Samia Suluhu Hassan madarakani, unawezakuwa ni mwaka wa uchumi ambao hauhitaji sana takwimu kuelezea ukuaji wake, bali ni kwa...
By Gabriel MushiMarch 19, 2022MWENYEKITI wa Chama cha Chadema, Freeman Mbowe, amedai aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya alikuwa anatumia ofisi yake...
By Gabriel MushiMarch 19, 2022MGOGORO wa Ngorongoro umechukua sura mpya baada ya mashirika 20 ya kutetea wafugaji wa asili kutoa tamko wakilaani udhalilishwaji unaofanywa na watu wenye...
By Gabriel MushiMarch 19, 2022SPIKA wa Bunge la Tanzania, Dk. Tulia Ackson, amesema Serikali inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan imetoa asilimia 60.5 ya fedha zilizotengwa katika...
By Gabriel MushiMarch 19, 2022MARAFIKI wa Mshehereshaji (MC) Mwangata Fomma wametoa msaada kwa kuwalipia kadi za bima ya afya kwa watoto nane wa Kituo cha kulelea watoto...
By Gabriel MushiMarch 19, 2022MWENYEKITI wa Chama cha Chadema, Freeman Mbowe, amewasili nyumbani kwao wilayani Hai, Kilimanjaro na kupokelewa na mamia ya watu ikiwemo viongozi na wanachama...
By Gabriel MushiMarch 19, 2022NAIBU Waziri Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Mwanaidi Ali Khamis ameitaka jamii kuwaepusha watoto dhidi ya madhara ya matumizi mabaya...
By Gabriel MushiMarch 19, 2022KAMATI ya Bunge ya Miundombinu imempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu kwa kuendelea kutoa fedha kwa ajili ya kuendeleza...
By Gabriel MushiMarch 19, 2022WAZIRI wa Ujenzi na Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa ameipa maelekezo matano Bodi mpya ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), huku akisisitiza...
By Gabriel MushiMarch 19, 2022MWENYEKITI wa Chama cha ADC, Hamad Rashid amewapa neno wanasiasa wanaokataa kushiriki shughuli za kiserikali na vikao vya kisheria, akisema Baba wa Taifa,...
By Gabriel MushiMarch 19, 2022WAFANYAKAZI 105 wa Shirika la Ndege ya Fastjet Tanzania wamemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kuzuia ndege aina ya Embraer 190 (5H-FJH) ya shirika...
By Gabriel MushiMarch 19, 2022SPIKA wa Bunge la Tanzania, Dk. Tulia Ackson, amesema katika kipindi cha mwaka mmoja wa uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, nchi imepiga...
By Gabriel MushiMarch 19, 2022SERIKALI imesema itashirikiana na Kamati ya Kitaifa ya Udhibiti na Kuzuia Mauji ya Kimbari (TNCPG), ili kuhakikisha migogoro na matukio yoyote ambayo yanaweza...
By Gabriel MushiMarch 17, 2022ASKOFU wa Kanisa la Kiinjili la kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Karagwe Dk. Benson Bagonza ametaka tofauti zilizopo baina ya Askofu wa Doyosisi...
By Gabriel MushiMarch 17, 2022JANETH Magufuli, mjane wa aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano, Hayati John Magufuli, amesema Rais Samia Suluhu Hassan, amemheshimu kwa kukubali wito wake...
By Gabriel MushiMarch 17, 2022MADEREVA wa bajaji wenye ulemavu, wamefika katika Ofisi ya Mkuu wa Dar es Salaam, Amos Makalla, kufikisha kilio chao kinachodai wanafanyiwa vurugu na...
By Gabriel MushiMarch 17, 2022SERIKALI imesema ndani ya mwaka mmoja wa Rais Samia Suluhu jumla ya watumishi wa umma 190,781 wamepandishwa vyeo baada ya kusubiri kwa muda...
By Gabriel MushiMarch 17, 2022RAIS wa Urusi, Vladimir Putin ameyapiga mkwara mzito mataifa ya Magharibi sambamba na Marekani kutokana na kile anachokiita ni malengo ya kutaka kuwagawa...
By Gabriel MushiMarch 17, 2022ALIYEKUWA mtia nia katika kinyang’anyiro cha kuwania nafasi ya urais mwaka 2020 kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Mayrose Majinge ameanzisha...
By Gabriel MushiMarch 16, 2022Benki ya Exim Tanzania imekabidhi msaada wa madawati 100 yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 20 mkoani Mbeya ikiwa ni mwendelezo wa...
By Gabriel MushiMarch 16, 2022WAKATI Rais Samia Suluhu Hassan akitarajiwa kutimiza mwaka mmoja madarakani tangu alipoapishwa rasmi tarehe 19 Machi, 2021, sekta ya sanaa na burudani...
By Gabriel MushiMarch 16, 2022BENKI ya NMB na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), kupitia Wakala wa Serikali Mtandao ‘eGovernment Zanzibar’ wamesaini makubaliano ya ushirikiano, yatakayowezesha mifumo...
By Gabriel MushiMarch 16, 2022CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimeomba Serikali itoe ruzuku kwa ajili ya ununuzi wa mbolea ili kushusha bei yake iliyopanda maradufu hivi karibuni. Anaripoti Mwandishi...
By Gabriel MushiMarch 16, 2022WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mohamed Mchengerwa, amewataka wasanii ambao bado hawajachukua fedha za mirabaha yao, wakamilishe taratibu katika Chama cha Hakimili...
By Gabriel MushiMarch 16, 2022KADA mkongwe kutoka Chama cha ADA – Tadea na mgombea ubunge kwa awamu kadhaa katika jimbo la Nachingwea, Saliana Dovela ameeleza ‘kukoshwa’ na...
By Gabriel MushiMarch 16, 2022KATIKA uteuzi wa vigogo mbalimbali wa Serikali ambao umefanywa na Rais Samia Suluhu Hassan tarehe 14 Machi, 2022, jina la Humprey Polepole...
By Gabriel MushiMarch 15, 2022JESHI la Polisi Mkoani wa Shinyanga nchini Tanzania, linachunguza ili kumkamata mwanamke anayetuhumiwa kujifungua watoto pacha kisha kuwatupa jalalani eneo la Kambarage mjini...
By Gabriel MushiMarch 15, 2022JESHI la Polisi Mkoa wa Kigoma, limesema linawashikilia watu wanne kwa tuhuma za kuanzisha vurugu zilizopelekea raia, Juma Ramadhani kupigwa risasi na Polisi...
By Gabriel MushiMarch 15, 2022NAIBU Waziri wa Nishati, Stephen Byabato amesema marekebisho ya kanuni za utengenezaji na uwekaji vituo vya mafuta katika maeneo ya vijijini, yanatarajiwa kukamilika...
By Gabriel MushiMarch 15, 2022MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), umewapa mafunzo ya namna kufuatilia na kuripoti matukio ya ukiukwaji wa haki za binadamu,...
By Gabriel MushiMarch 15, 2022SPIKA wa Bunge la Tanzania, Dk. Tulia Ackson, amewataka wanawake wafanye maandalizi ya kugombea nafasi za uongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), katika...
By Gabriel MushiMarch 14, 2022WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka wakuu wa mikoa wahakikishe halmashauri zote nchini zinatumia vizuri mashine na mifumo iliyowekwa katika ukusanyaji wa mapato. Anaripoti...
By Gabriel MushiMarch 14, 2022MKURUGENZI wa lebo ya Wasafi Classic Baby (WBC), Naseeb Abdul ‘Diamond Platnums’ amesema mkali mwenzie wa Bongo fleva kutoka katika lebo hiyo, Raymond...
By Gabriel MushiMarch 14, 2022MRADI wa mafunzo ya kidigitali unaofahamika kama TECH4ALL DigiTruck wa unaodhaminiwa na kampuni ya Huawei nchini Kenya umetambuliwa kimataifa kwa kuongeza idadi ya...
By Gabriel MushiMarch 14, 2022VIONGOZI na wanachama wa kikundi cha Vijana Waendesha Bajaji (Viwaba) eneo la Mbalizi, katika halmashauri ya wilaya ya Mbeya mkoani hapa wameeleza namna...
By Gabriel MushiMarch 14, 2022