Saturday , 4 May 2024
Home Gazeti Habari za Siasa Mtia nia Urais 2020 ageuka kiunganishi cha wachumba
Habari za Siasa

Mtia nia Urais 2020 ageuka kiunganishi cha wachumba

Spread the love

ALIYEKUWA mtia nia katika kinyang’anyiro cha kuwania nafasi ya urais mwaka 2020 kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Mayrose Majinge ameanzisha mtandao wa kukutanisha vijana wa kiume na kike ili kuwa wachumba.

Dk. Majinge amefunguka hayo mapema wiki hii katika mahojiano Maalum na MwanaHALISI Online na TV jijini Dar es Salaam.

Dk. Majinge amesema ameanzisha program hiyo baada ya kuona jamii inapata changamoto nyingi kutokana na mapenzi.

Amesema yeye na timu yake wameanzisha ili Programu hiyo ili kupunguza migogoro inayotokana na mapenzi.

“Watu wamekuwa wakijinyonga, wakiuana kwa sababu ya mapenzi sisi tunaponya majeraha yatokanayo na mapenzi lakini pia tunakutanisha watu na kuanzisha mahusiano kwa uwiano wa sifa,” amesema.

Kwa taarifa zaidi fuatilia mahojiano hayo kwenye Mwanahalisi TV.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari za SiasaTangulizi

Sabaya afutiwa kesi, ruksa kugombea uongozi

Spread the loveMwendesha Mashtaka Mkuu wa Serikali DPP leo Ijumaa amefuta rufaa...

Habari za Siasa

Serikali yasaka bilioni 3 kujenga daraja Mto Mpiji

Spread the loveSerikali imesema inaendelea na juhudi za kutafuta fedha kiasi cha...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema kwafukuta kisa chaguzi, Lissu aibua tuhuma nzito

Spread the loveCHAGUZI za kusaka viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Chadema waendelea kulilia katiba mpya

Spread the loveCHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeendelea kudai upatikanaji wa...

error: Content is protected !!