Wednesday , 8 May 2024
Home gabi
1254 Articles146 Comments
Habari za Siasa

Mbunge ataka watu binafsi wapewe mikopo, vikundi vinakwama kurejesha

MBUNGE wa Lupembe, Edwin Swale (CCM), ameishauri Serikali ifanye mabadiliko ya sheria yatakayowezesha asilimia 10 za mapato ya halmashauri zinazotolewa kwa ajili ya...

Kimataifa

Jaji afuta sheria ya uvaaji barakoa kwenye vyombo vya usafiri Marekani

JAJI wa Mahakama moja katika jimbo la Florida nchini Marekani ameiondoa sheria ya uvaaji barakoa katika vyombo vyote vya usafiri nchini humo. Jaji...

Habari Mchanganyiko

COSTECH kumpiga jeki Kipanya, yalia wabunifu wengine kuingia mitini

TUME ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) imeunga mkono ubunifu wa gari la umeme la Mwandishi wa habari na mchoraji vibonzo maarufu...

Habari Mchanganyiko

Simulizi kifo cha Padri Dar, Polisi wasema…

UTATA umeibuka juu ya kifo cha Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Yohanne Paul II, iliyoko Mbezi Mshikamano, jijini Dar es Salaam, Padri Francis...

Burudika

Rayvanny ‘aifuta’ Wasafi

STAA wa Bongofleva ambaye pia ni Mmiliki wa rekodi lebo ya Next level Music, Raymond Mwaikyusa ‘Rayvanny’ ameendelea kuibua minong’ono kuhusu kujiondoa kwake...

Biashara

Benki ya NBC yazindua kampeni kuhamasisha kilimo cha ufuta Lindi

BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) imezindua kampeni maalum kwa wakulima wa zao la Ufuta katika mkoa wa Lindi inayofahamika kama ‘Jaza Kibubu...

Habari za Siasa

Bunge laonesha wasiwasi ukusanyaji maduhuli Serikali za Mitaa

KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa, imesema mwenendo wa makusanyo ya maduhuli ya mamlaka za Mikoa na Serikali...

Burudika

Mtunisha misuli nyota wa Marekani afariki dunia

MJENGA misuli wa Marekani Cedric McMillan amefariki akiwa na umri wa miaka 44, baada ya miaka kadhaa ya matatizo ya kiafya yaliyosababishwa na...

Habari Mchanganyiko

Majaliwa atoa maagizo kwa wenyeviti vijiji, vitongoji

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amewataka wenyeviti wa vijiji na vitongoji kutekeleza majukumu yao kwa uwazi, ikiwemo kuitisha mikutano ya wananchi. Anaripoti Mwandishi Wetu,...

Habari Mchanganyiko

Afrika Kusini yamshutumu Balozi wa Ukraine

AFRIKA Kusini imemshutumu Balozi wa Ukraine nchini humo, Liubov Abravitova kwa kutumia njia zisizo za kidiplomasia kuomba mazungumzo na Rais Cyril Ramaphosa. Hayo...

Habari Mchanganyiko

Rais Samia mgeni rasmi kilele Mei mosi Dodoma

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika maadhimisho siku ya wafanyakazi dunian (Mei mosi) yatakayofanyika...

Habari Mchanganyiko

Bajeti TARURA 2022/23 yaongezeka kwa bilioni 120

WAKALA wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA), imetengewa bajeti ya kiasi cha Sh. 802.29 bilioni, katika mwaka wa fedha wa 2022/23, ikiwa...

Habari Mchanganyiko

TMA kutoa tuzo kwa waandishi wa habari

MAMLAKA ya Hali ya Hewa nchini Tanzania (TMA), inatarajia kutoa tuzo kwa waandishi wa habari bora wa taarifa za hali ya hewa pamoja na...

Habari Mchanganyiko

Bajeti 2022/23 kutoa neema kwa wabunge, madiwani

MAKADIRIO ya Bajeti ya Wizara ya Ofisi ya Rais-TAMISEMI, kwa mwaka wa fedha 2022/23, yanatarajia kutoa neema kwa wabunge, kutokana na kuongezwa kwa...

Habari Mchanganyiko

TAMISEMI waomba bajeti ya Sh trilioni 8.77

Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa ya Ofisi ya Raia (TAMISEMI), imeliomba Bunge kuwaidhinishia bajeti yake kwa mwaka wa...

Habari Mchanganyiko

Wasafirishaji washauriwa kubana matumizi badala ya kupandisha nauli

BARAZA la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Usafiri Ardhini (LATRA CCC), limeshauri wadau wa usafirsihaji kuziba mianya ya upotevu wa mapato ili...

Habari Mchanganyiko

Kupanda kwa bei ya nauli kwaibua mvutano, wamiliki watishia kusitisha huduma

MVUTANO umeibuka katika kikao cha wadau cha kujadili bei mpya za nauli kilichoitishwa na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), baada ya Baraza...

Habari Mchanganyiko

UWADAR wataka nauli Dar iongozeke kwa Sh 400

UMOJA wa Usafirishaji Abiria Mkoa wa Dar es Salaam, umependekeza bei ya nauli ipande kwa Sh. 400, ili kukabiliana na ongezeko la gharama...

Habari Mchanganyiko

LATRA yaanza kupokea maoni nauli za mabasi

MAMLAKA ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), imeanza kupokea maoni ya wadau juu ya nauli za mabasi, ili kutafuta nafuu ya changamoto ya upandaji...

Habari Mchanganyiko

URU wanyweshwa maji yenye matope, mradi uligharimu bilioni 2

OFISI ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali imethibitisha kuwa Mradi wa Maji wa Mang’ana uliotekelezwa kwa ajili ya kusambaza maji...

Habari MchanganyikoTangulizi

Mkandarasi aliyepewa kazi TPA ‘apiga cha juu’ bilioni 64

OFISI ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) imebaini mkandarasi aliyepewa kazi ya kuongeza kina cha lango na sehemu ya...

Habari za Siasa

Mbunge: Serikali inawawekea vikwazo wananchi Ngorongoro

MBUNGE wa Ngorongoro Emmanuel Ole Shangai ameituhumu Serikali “inawawekea vikwazo vya kimaendeleo” wananchi wa Tarafa ya Ngorongoro mkoani Arusha kwa kuhamisha fedha za...

Habari MchanganyikoTangulizi

CAG aanika mabilioni yalivyochotwa TPA na kutafunwa Mwanza, ataka yarejeshwe

OFISI ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali imebaini kiasi cha Sh bilioni 22.64 kilichohamishwa kutoka makao makuu ya Mamlaka ya...

Biashara

Wizara ya Kilimo, NMB zatangaza neema sekta ya kilimo

WIZARA ya Kilimo na Benki ya NMB za nchini Tanzania, wameingia makubaliano ya kukuza sekta ya kilimo nchini humo ambapo benki hiyo imetenga...

Afya

Wananchi 10,000 kufaidika na Kituo cha Afya Sangambi

ZAIDI ya wananchi 10,000 kutoka katika Kata ya Sangambi, wilaya ya Chunya mkoani Mbeya wanatarajiwa kupata unafuu wa matibabu baada ya Kituo cha...

Habari MchanganyikoTangulizi

Watano mbaroni kwa kukutwa na dawa za kulevya Uwanja wa Ndege Dar

WATU watano wanashikiliwa na Jeshi la Polisi Kikosi cha Viwanja vya Ndege Tanzania, kwa tuhuma za kusafirisha dawa za kulevya. Anaripoti Mwandishi Wetu,...

Biashara

NMB yashiriki uzinduzi SGR Tabora

WAZIRI wa Ujenzi na Uchukuzi nchini Tanzania, Profesa Makame Mbarawa amezindua ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) kipande cha Makutupora- Tabora kitakachogharimu Sh...

Habari Mchanganyiko

CAG: Bil 18.5/- zilizokusanywa na KADCO hazikupelekwa TRA

KIASI cha Sh 18.5 bilioni zilizokusanywa na Kampuni ya Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KADCO) kama malipo ya tozo za kutumia...

Biashara

Airtel Tanzania yailipa Serikali Bil. 143

KAMPUNI ya Airtel Tanzania inayomilikiwa kwa ubia kati ya Serikali na sekta binafsi imetoa gawio la Sh 143 bilioni kwa Serikali kama faida...

Habari Mchanganyiko

Treni ya umeme kutoka Dar es Salaam -Morogoro kujaribiwa

MKURUGENZI Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa, amesema wiki ya mwisho ya mwezi Aprili, treni inayotumia umeme itatoka Dar es...

Biashara

Serikali yaanzisha mfumo ufuatiliaji bei za bidhaa

SERIKALI ya Tanzania, imeanzisha mfumo wa ufuatiliaji bei za bidhaa, ambao utawawezesha wananchi kutoa taarifa pindi watakapoona mabadiliko ya bei ya bidhaa sokoni,...

BiasharaTangulizi

Serikali yasema bei ya bidhaa Tanzania zipo chini

LICHA ya kuwepo kwa mfumuko wa bei za bidhaa duniani Serikali ya Tanzania imesema bei za bidhaa nchini mwake zipo chini ikilinganishwa na...

Biashara

Tanzania inaagiza asilimia 57 ya ngano Urusi, Ukrenia

WAZIRI wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara, Dk. Ashatu Kijaji amesema asilimia 57 ya ngano inayoagizwa kutokanje inatoka Urusi na Ukrenia. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea)....

Biashara

NMB yazindua teleza kidigitali, Majaliwa awapa heko

BENKI ya NMB nchini Tanzania, imefanya mapinduzi makubwa ya kibenki kwa kuzindua huduma kubwa tatu kupitia kampeni yake ya ‘Teleza Kidigitali.’ Anaripoti Mwandishi...

Biashara

Serikali kupunguza kodi kwenye sukari, mafuta

WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu Nchemba amesema Serikali itapunguza kodi ya sukari itakayoingizwa nchini kwa hadi asilimia 10 ili kupata unafuu...

Habari Mchanganyiko

ACT Wazalendo wataka tume huru uchunguzi masoko kuungua moto

CHAMA cha ACT Wazalendo kimeitaka Serikali iunde tume huru itakayojumuisha wafanyabiashara wadogo ‘wamachinga’ kuchunguza vyanzo vya masoko kuungua moto. Pia kimesema tume hiyo...

Biashara

Wenye viwanda watakiwa kuacha urasimu utoaji bidhaa

WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Dk. Ashatu Kijaji amewataka wamiliki wa viwanda vya saruji na sukari kupunguza urasimu katika utoaji wa bidhaa hizo....

Habari Mchanganyiko

Prof. Muhongo ataka Tanzania iwe na satelaiti yake

MBUNGE wa Musoma Vijijini, Profesa Sospeter (CCM) ameshauri Serikali kufikiria kuwa na satelaiti yake kwaajili ya tafiti zake za masuala mbalimbali ya maendeleo....

Habari za Siasa

Gambo alia soko la Tanzanite kuhamishiwa Mirerani

Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo (CCM) ameeleza hasara iliyopatikana kwa uamuzi wa Serikali kuhamishia soko la madini ya Tanzanite kutoka Arusha mjini...

Kimataifa

Zuma aikacha kesi yake, barabara zafungwa

RAIS wa zamani wa Afrika Kusini, Jacob Zuma ameshindwa kutokea kwenye kesi yake iliyounguruma leo katika Mahakama ya Pietermaritzburg katika jimbo la KwaZulu-nchini...

Habari Mchanganyiko

LHRC yaonya uibukaji mauaji ya Albino

KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu nchini (LHRC), kimeonya juu ya uibukaji mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi ‘Albino’ na kuitaka...

Habari Mchanganyiko

Miradi ya ujenzi yawainua wanawake Ruvuma

KATIKA kuunga mkono kauli ya ‘Kazi iendelee’ iliyoasisiwa na Rais Samia Suluhu Hassan, wanawake kutoka mkoani Ruvuna wamejitosa katika kazi za ufundi ujenzi...

Habari za Siasa

Kakoso: Bandari Karema haina maana bila reli, barabara

MBUNGE wa Mpanda Vijijini, Selemani Kakoso (CCM) amesema mradi wa wa ujnenzi wa Bandari ya Karema katika Ziwa Tanganyika hautakuwa na maana kama...

Habari za Siasa

Mbunge aitaka Serikali ianzishe kilimo cha makambi

MBUNGE wa Bukoba Vijijini, Dk. Jasson Rweikiza ameishauri Serikali kuanzisha utaratibu wa kilimo cha makambi ili kuongeza uzalishaji mali na ajira kwa vijana....

Habari Mchanganyiko

Ripoti LHRC 2021 yabaini matukio watu kupotezwa na ‘wasiojulikana’

RIPOTI ya Haki za Binadamu Tanzania ya 2021, iliyoandaliwa na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), imebaini uwepo wa matukio ya...

Habari Mchanganyiko

AZAKI wajinoa kutekeleza mapendekezo 187 ya UN

WADAU wa Asasi za Kiraia (AZAKI), wameandaa mpango mkakati wa utekelezaji mapendekezo 187 ya Umoja wa Mataifa (UN), ambayo Serikali ya Tanzania, imekubali...

Kimataifa

Upinzani wamkaba koo Rais Ufaransa, uchaguzi waingia duru ya pili

RAIS wa Ufaransa, Emmanuel Macron na kiongozi wa mrengo wa kulia Marine Le Pen wanatarajiwa kuingia katika duru ya pili ya uchaguzi mkuu...

Habari Mchanganyiko

NBC yaandaa futari kwa ajili ya wateja wake Zanzibar

BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) imeandaa hafla ya futari kwa ajili ya wateja wake visiwani Zanzibar, huku Spika wa Baraza la Wawakilishi,...

Habari Mchanganyiko

Papa Francisco amteua Padri Pisa Askofu Jimbo la Lindi

KIONGOZI wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francisco, amemteua Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino, Tawi la Arusha, Padre Wolfgang Pisa, kuwa Askofu...

error: Content is protected !!