WAZIRI wa Ujenzi na Uchukuzi nchini Tanzania, Profesa Makame Mbarawa amezindua ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) kipande cha Makutupora- Tabora kitakachogharimu Sh 4.6 trilioni. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea).
Kipande hicho chenye urefu wa kilomita 368 kitajengwa na Mkandarasi Yarp Markezi kutoka nchini Uturuki ambaye ndiye anayejenga vipande viwili vya Dar es Salaam-Morogoro na Morogoro- Makutupora.
Kabla ya kuzindua, Profesa Mbarawa amekagua mabanda mbalimbali yakiwemo ya Benki ya NMB waliohudhuria uzinduzi huo.
Leave a comment