RAIS Samia Suluhu Hassan amechaguliwa kuwa mshindi wa tuzo ya Africa Road Builders–Babacar Ndiaye Trophy kwa mwaka 2022. Tuzo hiyo inatolewa kwa watu...
By Gabriel MushiApril 9, 2022JUMLA ya nchi 93 zimepiga kura kuunga mkono pendekezo la kusimamisha uanachama wa Urusi katika Baraza la haki za Binadamu la Umnoja wa...
By Gabriel MushiApril 9, 2022KATIKA kuthibitisha uwajibikaji wao kwa jamii, Benki ya NMB nchini Tanzania imetoa vifaa vya ujenzi vyenye thamani ya zaidi ya Sh.8 milioni kwa...
By Gabriel MushiApril 9, 2022NCHI ya Urusi iko hatarini kuondolewa ujumbe katika Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa (UNHRC), kufuatia hatua yake ya kuivamia...
By Gabriel MushiApril 7, 2022RAIS wa zamani wa Burkina Faso, Blaise Compaoré, amehukumiwa leo Jumatano tarehe 6 Aprili, 2022 kifungo cha maisha jela kwa kushiriki katika mauaji...
By Gabriel MushiApril 6, 2022BENKI ya NBC imezindua Kampeni ya ‘Jaza Kibubu Tusepe’ itakayojikita kwenye utoaji wa elimu kwenye masuala ya kifedha itakayoambatana na zawadi mbalimbali...
By Gabriel MushiApril 6, 2022CHAMA cha ACT Wazalendo kimetoa mapendekezo manne kwa Serikali ili kuimarisha sekta ya kilimo nchini na kuwakomboa wakulima katika wingu la umasikini. Pia...
By Gabriel MushiApril 6, 2022WAKATI Serikali ikiendelea kuboresha huduma za elimu na afya maeneo mbalimbali nchini, ujenzi wa kituo cha Afya Narung’ombe wilayani Ruangwa mkoani Lindi umetajwa...
By Gabriel MushiApril 6, 2022NAIBU Msajili wa Vyama vya Siasa, Sisty Nyahoza, amevitaka vyama vya siasa kuimarisha kwanza demokrasia ya ndani, kabla ya kutoka nje. Anaripoti Mwandishi...
By Gabriel MushiApril 6, 2022BEI za nishati ya mafuta ya petroli, dizeli na mafuta ya taa nchini imeongezeka kwa asilimia 11 hadi 21 kuanzia leo Jumatano tarehe...
By Gabriel MushiApril 6, 2022MKURUGENZI wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Dk. Wilson Mahera, amesema dosari zinazojitokeza katika chaguzi, zinasababishwa na watumishi wanaoajiriwa kwa...
By Gabriel MushiApril 5, 2022HATIMAYE mtuhumiwa Allen Mhina (31) aliyedaiwa kusambaza kipande cha video inayomuonesha Msanii wa Bongofleva, Joseph Haule ‘Profesa Jay’ akiwa amelazwa katika Hospitali ya...
By Gabriel MushiApril 5, 2022WATOTO wawili waliozaliwa nchini Ukraine katika siku za hivi karibuni wamepewa majina ya makombora ya kutoka ardhini hadi angani yaliyotengenezwa nchini Uingereza. Watoto...
By Gabriel MushiApril 5, 2022WAZIRI Mkuu wa zamani, Jaji Mstaafu Joseph Warioba, amekosoa mapendekezo ya kikosi kazi cha kuratibu maoni ya wadau wa demokrasia, kuhusu mchakato wa upatikanaji...
By Gabriel MushiApril 5, 2022MJASIRIAMALI mkazi wa Same mkoani Kilimanjaro nchini Tanzania, Ally Athuman Mnyone ameibuka na ushindi wa pikipiki ya miguu mitatu maalumu kwajili ya kubebea...
By Gabriel MushiApril 5, 2022HATIMAYE mgogoro uliodumu kwa zaidi ya miaka mitano kati ya wafanyakazi wa Kampuni ya Dar es Salaam Yacht Club na mwajiri wao, Brian...
By Gabriel MushiApril 5, 2022VIKAO vya Bunge la Tanzania vitaanza kurushwa mubashara kuanzia kesho Jumanne, tarehe 5 Aprili 2022. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma…(endelea). Taarufa hiyo imetolewa leo...
By Gabriel MushiApril 4, 2022WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolph Mkenda, amewataka vijana wasiingie katika siasa kwa ajili ya kutafuta maslahi yao binafsi, bali waingie...
By Gabriel MushiApril 4, 2022Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linawashikilia watu wawili kwa tuhuma za kujaribu, kukata baadhi ya vyuma vya ngazi ya...
By Gabriel MushiApril 4, 2022MAOFISA Ughani nchini watamilikishwa pikipiki zinazotolewa na Serikali baada ya kuzitumia kwa miaka miwili katika kutoa huduma kwa wakulima. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Hatua...
By Gabriel MushiApril 4, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan ametaja mafanikio kadhaa yaliyopatikana katika sekta ya kilimo baada ya Serikali kuweka mikakati mbalimbali na kusema sekta hiyo sasa...
By Gabriel MushiApril 4, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan ameiagiza Wizara ya Kilimo ianzishe mfuko wa pembejeo na wa maendeleo ya kilimo, kwa ajili ya kukabiliana na changamoto...
By Gabriel MushiApril 4, 2022IMEELEZWA kuwa kukamilika kwa ujenzi wa Kituo cha Afya Kifunda kilichopo Kata ya Lupilo katika Halmashauri ya Busokelo mkoani Mbeya, kumeokoa jahazi la...
By Gabriel MushiApril 4, 2022SAFARI ya Tanzania kutekeleza mfumo wa anwani za makazi na postikodi nchi nzima umeshika kasi lengo ni kuibadilisha nchi kuwa ya kidijitali ili...
By Gabriel MushiApril 4, 2022WAZIRI wa Kilimo, Hussein Bashe, amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan, atoe Sh 150 bilioni, kwa ajili ya kutoa ruzuku kwa wakulima kwa ajili...
By Gabriel MushiApril 4, 2022JUMLA ya Sh78. 8 bilioni zimeshatolewa na Benki ya NMB nchini Tanzania kwa wakulima kati ya Sh.100 bilioni walizotengewa kwa ajili ya kukopeshwa...
By Gabriel MushiApril 4, 2022KAMPUNI ya AngloGold Ashati kupitia Mgodi wake wa dhahabu Geita (GGML) imetoa kiasi cha Sh milioni 50 kwa Hospitali ya CCBRT ili kusaidia...
By Gabriel MushiApril 4, 2022MBIO za Mwenge wa Uhuru Kitaifa zimezinduliwa Jumamosi ya tarehe 2 Aprili 2022 na Makamu wa Rais wa Tanzania, Dk. Philip Mpango mkoani...
By Gabriel MushiApril 3, 2022WADAU wanaotoa msaada wa kisheria kwa wananchi, wameiomba Serikali itenge ruzuku kwa ajili ya kuwezesha shughuli hizo ili ziwe endelevu. Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Gabriel MushiApril 3, 2022RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Alhamis tarehe 31 Machi 2022 amefanya mabadiliko madogo ya baraza lake la mawaziri. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea)....
By Gabriel MushiMarch 31, 2022UKIMYA na usiri umeendelea kutawala kuhusu kukwama kwa miradi mitatu ya Halmashauri ya Kinondoni inayogharamiwa kwa vyanzo vya mapato ya ndani na kuitia...
By Gabriel MushiMarch 31, 2022SERIKALI ya Tanzania, imeshauriwa kuingiza katika mitaala ya elimu ya juu, ripoti za tafiti zilizofanywa na aliyekuwa Profesa Mshiriki wa Chuo Kikuu cha...
By Gabriel MushiMarch 31, 2022VILIO vya uchungu vimesababisha baadhi ya wasemaji katika ibada ya kuuaga mwili wa aliyekuwa Profesa Mshiriki wa Chuo Kikuu cha Mzumbe, Prosper Honest...
By Gabriel MushiMarch 31, 2022Mkuu wa Wilaya ya Korogwe, Basila Mwanukuzi ameahidi kuhakikisha maji yanafika kwenye shule ya Sekondari Mashewa ili kuwapunguzia kero ya maji wanafunzi wawapo...
By Gabriel MushiMarch 31, 2022BAADA ya kusota ‘benchi’ kwa muda wa mwaka mmoja na ushee, Kada aliyejipatia umaarufu kisiasa ndani ya CCM na baadaye ACT Wazalendo, Bernard...
By Gabriel MushiMarch 31, 2022HATIMAYE Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Philip Mangula ameng’atuka kwenye nafasi hiyo aliyoihudumu kwa miaka muda wa miaka 10. Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Gabriel MushiMarch 31, 2022RAIS wa Tunisia, Kais Saied amevunja Bunge alilokuwa amelisimamisha miezi nane iliyopita kutokana na maandamano makubwa nchini humo. Anaripoti Rhoda Kanuti kwa msaada...
By Gabriel MushiMarch 31, 2022MKUU wa Mkoa wa Njombe (RC) nchini Tanzania, Waziri Kindamba amewaomba wananchi kujitokeza kupata chanjo ya virusi vya korona (UVIKO-19) kwani haina tatizo...
By Gabriel MushiMarch 31, 2022MSHAMBULIAJI, wa zamani wa Manchester United, Ruud Van Nistelroy ameteuliwa kuwa kocha Mkuu wa Klabu ya PSV Eidhoven inayoshiriki Ligi Kuu nchini Uholanzi....
By Gabriel MushiMarch 31, 2022MBUNGE wa Ubungo, jijini Dar es Salaam nchini Tanzania, Profesa Kitila Mkumbo, ameiomba Serikali ifanye upanuzi wa Barabara ya kutoka Dar es Salaam...
By Gabriel MushiMarch 31, 2022WAZIRI wa Katiba na Sheria, George Simbachawene amezindua kongamano la msaada wa kisheria la 2022, pamoja na Ripoti ya Wadau wa Upatikanaji wa...
By Gabriel MushiMarch 31, 2022MABADILIKO makubwa yaliyofanywa na Benki ya NMB nchini Tanzania yamewaibua wakulima kufungua milango ya kukimbilia mikopo ya benki hiyo ili kujiimarisha kiuchumi. Anaripoti...
By Gabriel MushiMarch 30, 2022NILIPATA mshtuko mkubwa kupokea taarifa mbaya ya kifo cha Profesa Honest Ngowi kilichotokana na ajali ya gari kutoka kwa mwanachama mwenzetu wa kundi...
By Gabriel MushiMarch 30, 2022BENKI ya NMB nchini Tanzania imezindua huduma maalumu ya kuweka na kutoa fedha kirahisi kupitia wakala watakao tumia simu zao za mkononi tu....
By Gabriel MushiMarch 30, 2022WANANCHI wa Materereka katika Halmashauri ya Wilaya ya Madaba, mkoani Ruvuma wamesema ujenzi wa kituo cha afya kilichojengwa kwa fedha za tozo za...
By Gabriel MushiMarch 30, 2022UJENZI wa Kituo cha Afya Mtama mkoani Lindi umetajwa kuwa kichocheo cha maendeleo kwa wakazi wa eneo hilo hususani mafundi ujenzi ambao wameshukuru...
By Gabriel MushiMarch 30, 2022KATIBU Mkuu wa Wizara ya Madini, Adolph Ndunguru ameipongeza Kampuni ya (GGML) kwa kuzingatia sheria zinazosimamia sekta ya madini na kutekeleza majukumu yake...
By Gabriel MushiMarch 25, 2022KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji (PIC) imeridhishwa na usimamizi na utekelezaji wa miradi ya Maji ya Kibamba-Kisarawe na Pugu-Gongo la mboto...
By Gabriel MushiMarch 24, 2022MKUU wa Wilaya ya Kilosa, Alahj Majid Mwanga amewasimamisha kazi wenyeviti wa vitongoji vitatu kwa makosa mbalimbali ikiwemo matumizi mabaya ya madarakani. Anaripoti...
By Gabriel MushiMarch 24, 2022MWENYEKITI wa Tume ya Madini, Profesa Idris Kikula amewataka Maofisa Madini Wakazi wa mikoa nchini kuweka utaratibu wa kukutana na wachimbaji wa madini...
By Gabriel MushiMarch 24, 2022